Kuna vijana 3 walikuwa wanafanya kazi kwa mtu leo hii. Ikafika sa 8, tajiri akasema kuna kazi nyingine hapa mkimaliza hiyo kuna laki yenu moja.
Wakasema kuna Wananchi wanacheza hatuwezi, mzee tunakuomba iwe kesho.
Tajiri anataka kesho waanze kujengea septic tank, lazima kazi hii imalizike leo. wakasema basi kazi kuliko kukosa mpira...Wananchi
Kumbuka vibarua hivyo ni vya shida, siyo kuwa kila siku vipo.!
Wakaondoka