Walichofanya ni sawa na kulala na malaya ni raha ya muda mfup na ukishamaliza unaanza kujuta na kuona ni ujinga uliofanya..Kuna vijana 3 walikuwa wanafanya kazi kwa mtu leo hii. Ikafika sa 8, tajiri akasema kuna kazi nyingine hapa mkimaliza hiyo kuna laki yenu moja.
Wakasema kuna Wananchi wanacheza hatuwezi, mzee tunakuomba iwe kesho.
Tajiri anataka kesho waanze kujengea septic tank, lazima kazi hii imalizike leo. wakasema basi kazi kuliko kukosa mpira...Wananchi
Kumbuka vibarua hivyo ni vya shida, siyo kuwa kila siku vipo.!
Wakaondoka
hao lazima wawe wanavuta bhangiKuna vijana 3 walikuwa wanafanya kazi kwa mtu leo hii. Ikafika sa 8, tajiri akasema kuna kazi nyingine hapa mkimaliza hiyo kuna laki yenu moja.
Wakasema kuna Wananchi wanacheza hatuwezi, mzee tunakuomba iwe kesho.
Tajiri anataka kesho waanze kujengea septic tank, lazima kazi hii imalizike leo. wakasema basi kazi kuliko kukosa mpira...Wananchi
Kumbuka vibarua hivyo ni vya shida, siyo kuwa kila siku vipo.!
Wakaondoka
Umefananisha vituviwili tofautiWalichofanya ni sawa na kulala na malaya ni raha ya muda mfup na ukishamaliza unaanza kujuta na kuona ni ujinga uliofanya..
Hakuna nilipobisha... Nimesema ni sawa na kufanya mapenzi na malaya, ukishamaliza raha hiyo ya muda mfupi unabaki unajutia na kujiona mjinga.Umefananisha vituviwili tofauti
Sex ni raha sana