Watu wa town mnatuumiza sana sie wa mikoani na kauli zenu " aise huu mkoa bado sanaaa yaan hamna totoz kabisa"

wanawake wengi wanapenda vitu vinavyoonekana kama hayo magari ndio maana.
 
hahahahah [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Mnanikumbusha utotoni tukienda kumtembelea bibi sisi wa Dar ndio tulikuwa ma star, wa mikoa mingine wanasubiri...naona wa mikoani mnaendeleza bifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…