Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtuache jamaniMBAGALA unapandia gari dirishani wamkoani nimezoea napanda gari unaaanza kusubiria watu maajabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtuache jamaniMBAGALA unapandia gari dirishani wamkoani nimezoea napanda gari unaaanza kusubiria watu maajabu
wanawake wengi wanapenda vitu vinavyoonekana kama hayo magari ndio maana.Yap na ufikeeee tu na siku hizi nasikia Dar wanakodisha magari kwa sikuuu elf 20,
Anakodi anakufata nalo mpaka ubungo unasema bwana si ndo huyu anakupeleka kwenye zile nyumba za Mbweni wanazoachiwaga na matajir kusimamia zisichafuke unasemaaa eeeh mm ndo mother house wa mjengo looooooh wanaume wa dar mna dhambiii
AhahahaaaaaaNa nyimbo zao za kukariri sasa!!!
Mungu anakuona ujue kaka[emoji125][emoji125][emoji125]
Nafurahi kaka angu kusikia hivyoniko poa tu
Dada umecheka sana nipe siri[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hahahahah [emoji122] [emoji122] [emoji122]Umeonaaaa eeewh wakija mkoani wanashangaaa umejenga mjengo wanaumia kimoyo moyo
Siku wakifa wakiletwa kijijino wanakosa hata sehem ya kufikishia jeneza shangaaa alisema anakaa masaki
UNAKAA MASAKI KIJIJINI HAUNA HATA NYUMBA YA CHUMBA NA SEBULE MFYUUUUU
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bahati mbaya iwe weekend sasa, yuko na dadangu!!! Nitalia na nani mimi
Sasa simu ikizima itakuwaje jamaniiPower bank situmiagi mie na wala siipendi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
dada mm sijawai kuwa na roho mbaya kiasi hichoMungu anakuona ujue kaka
mzee watakusikia hahaha [emoji16] [emoji122] [emoji122]Hivi kwa mafuriko yale, Nani ataonekana? Hakuna atakayethubutu kukuonyesha kwake
Na siku hizi ndio katabia kake kakusingizia transformer [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We furahi tuu, sijui nitageukia wapi nkifika ubungo halafu simu ya Shunie izime charge
Mnanikumbusha utotoni tukienda kumtembelea bibi sisi wa Dar ndio tulikuwa ma star, wa mikoa mingine wanasubiri...naona wa mikoani mnaendeleza bifu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatuwatukani tunawaambia ukweli mpunguze sifa jamani watu wa dar khaah
Umeonaaaaa eee mtu alikwambia anakaa apartment kama ya Lemutuz kumbe kagodoro kamesombwa na mafurikoo thubutuHivi kwa mafuriko yale, Nani ataonekana? Hakuna atakayethubutu kukuonyesha kwake
We cheka tuu...Ahahahaaaaaa
[emoji16] [emoji122] [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtuache jamani
Basi sawa nitakuwa nakwambia unipe mitaa nikariri kama watu wa darUwe unasema nakufundisha chocho mm Dar ipo kiganjani
Wewe hujui humu JF wote wana magari?Teh teh teh
Wewe endelea kupambana na usafiri wa kupitia dirishani, mie mezoea mlangoni dirishani si pahala pangu.
Mekumbuka mbali sana jamani.... Wewe sio mtu mzuriiiDada umecheka sana nipe siri
Utavaaa dera mpaka kanisani kwenye harusi maajabu?