[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hahaaaaha alafu wanabakishaga soda nusu wakifika wanakupa umalizie shenzwiiii kabisa
Ni wa mkoani waliokuja dar kutafuta maishaWadada wa Dar
La moyoni hiloooHatuwaachi tunataka tuwarekebishe kidogo, ooh dar dar dar kwani dar imekuwa mbinguni mpunguze kujishaua mfyuuuuu [emoji57]
Ushamba ukiisha watatuelewaInabidi tuwazoee tu
Na saivi DEMISS nawaona tu waume zao waliohamia Dodoma wanavyotaka kuigeuza sodoma na gomora ama kweli watu wa Dar wana shidaaaaaHatuwaachi tunataka tuwarekebishe kidogo, ooh dar dar dar kwani dar imekuwa mbinguni mpunguze kujishaua mfyuuuuu [emoji57]
hahahah [emoji16] [emoji122]Hujui wa dsm maneno mengi vitendo zero. Wanaeza kukuahidi ikulu, fika dar sasa uone utakavyoachwa kwenye mataa.
Nilitambua hawana magari mvua zilipoanza kunyeshaWewe hujui humu JF wote wana magari?
Oooh nitalia miyeeeeeSalam zimefika, nimepewa last warning inabidi kumsikiliza
Akii tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Naonekana chizi ujue
Hao ndio wanafujo kweli kweli...ujuaji mwingiNi wa mkoani waliokuja dar kutafuta maisha
waelezeNdio najitahidi kuwaeleza [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Zamu ya nan leooo [emoji4][emoji2][emoji444][emoji444][emoji444][emoji444][emoji445][emoji445][emoji445]
Zamu ya manifongooo[emoji444] [emoji445] [emoji445] [emoji444] [emoji444] [emoji442] [emoji442]
Zamu yako itafika usijali baria wanguuu[emoji442] [emoji442] [emoji444] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445]
Na ushamba hauwezi kuwaisha leoUshamba ukiisha watatuelewa
Ungechekesha alafu unachana pembeni unavaa na taiti maajabu umvishe mbibi wa kijijinHahahaha
Nilikuwa mjanja kidogo, nkagomaa
Umeonaaaa eeeh waongooooHujui wa dsm maneno mengi vitendo zero. Wanaeza kukuahidi ikulu, fika dar sasa uone utakavyoachwa kwenye mataa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akii tena
Nitapata presha, uzime simu?!
KhaaaaNa ushamba hauwezi kuwaisha leo
Nakuona mama wacheka tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na ndio kwenye makelele sana wakienda mkoani kwao fujo tuHao ndio wanafujo kweli kweli...ujuaji mwingi