RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Umehama Viva Tower ?Woiiii naanzaje kuishi huko jamani niko zangu mbezi kwa msuguri mie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umehama Viva Tower ?Woiiii naanzaje kuishi huko jamani niko zangu mbezi kwa msuguri mie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inabidi unipe namba zako tuu aki, transformer ikileta shida nikupigie tushauriane
Taratibu hakuna dawa hospitalinYaani acha tuu jamani
Plz shem, save me from this mess (shambulio la aibu)Kikohozi tena?
I can't help?
LEO KIMALIKIA TU
Dar si wamekuja kutafuta maishaKivipi wapo Dar au Mkoani?
Usithubutu kabisaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Rrondo jamaniUmehama Viva Tower ?
Nacheka sanaUsithubutu kabisaaa
Hurumia mbavu zanguuuWanabond makope mawigi wanajipaka mapoda wanakuwa kama manyauuu makuchaaa kama wanaenda kumenya karanga maajabu
Etiii wanaenda kwenye harusi kazi hawafanyi wanawaza muda wa kutunza tu mfyuuuu
Au wewe unaonaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muache uongoMnataka mabadiliko gani kwa mfano
Nimtoa siri...Rrondo jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaaaha alafu wanabakishaga soda nusu wakifika wanakupa umalizie shenzwiiii kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nacheka sana
Hapo unawaongelea ndugu zetu waliokuja kutafuta maisha...Muache uongo
Muache utapeli
Muwe wazi sehemu mnazoishi kama ni tandale, tandika, mtongani au mbagala mseme bila kificho sio kutuongopea bila sababu za msingi.
Mnavuja jasho kwa kugombania daladala huku mkija mikoani mnatudanganya usafiri wenu mkuu ni uber acheni mambo zenu nyie wa dar.
Nakazia tena jamaniMuache uongo
Muache utapeli
Muwe wazi sehemu mnazoishi kama ni tandale, tandika, mtongani au mbagala mseme bila kificho sio kutuongopea bila sababu za msingi.
Mnavuja jasho kwa kugombania daladala huku mkija mikoani mnatudanganya usafiri wenu mkuu ni uber acheni mambo zenu nyie wa dar.
Naona poa tu mm jamani ukuje basiAu wewe unaonaje
Jamani kwahiyo mnaokutana nao ndio wanaowaongopea eenhMuache uongo
Muache utapeli
Muwe wazi sehemu mnazoishi kama ni tandale, tandika, mtongani au mbagala mseme bila kificho sio kutuongopea bila sababu za msingi.
Mnavuja jasho kwa kugombania daladala huku mkija mikoani mnatudanganya usafiri wenu mkuu ni uber acheni mambo zenu nyie wa dar.
Alafu ni waharibifu sana sijui kwa nini itabidi tuwafanyie maombiNa saivi DEMISS nawaona tu waume zao waliohamia Dodoma wanavyotaka kuigeuza sodoma na gomora ama kweli watu wa Dar wana shidaaaaa
Naachaje kuja sasa!!! Lazima nikujeeeNaona poa tu mm jamani ukuje basi