Watu wa town mnatuumiza sana sie wa mikoani na kauli zenu " aise huu mkoa bado sanaaa yaan hamna totoz kabisa"

Mnataka mabadiliko gani kwa mfano
Muache uongo
Muache utapeli
Muwe wazi sehemu mnazoishi kama ni tandale, tandika, mtongani au mbagala mseme bila kificho sio kutuongopea bila sababu za msingi.
Mnavuja jasho kwa kugombania daladala huku mkija mikoani mnatudanganya usafiri wenu mkuu ni uber acheni mambo zenu nyie wa dar.
 
Hapo unawaongelea ndugu zetu waliokuja kutafuta maisha...
 
Muache uongo
Muache utapeli
Muwe wazi sehemu mnazoishi kama ni tandale, tandika, mtongani au mbagala mseme bila kificho sio kutuongopea bila sababu za msingi.
Mnavuja jasho kwa kugombania daladala huku mkija mikoani mnatudanganya usafiri wenu mkuu ni uber acheni mambo zenu nyie wa dar.
Nakazia tena jamani
 
Jamani kwahiyo mnaokutana nao ndio wanaowaongopea eenh
 
Back
Top Bottom