Watu wa town mnatuumiza sana sie wa mikoani na kauli zenu " aise huu mkoa bado sanaaa yaan hamna totoz kabisa"

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We Cheka lakini ujue nitarudia njiani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Halafu nakutana na bango langu chit chat
 
Muache uongo
Muache utapeli
Muwe wazi sehemu mnazoishi kama ni tandale, tandika, mtongani au mbagala mseme bila kificho sio kutuongopea bila sababu za msingi.
Mnavuja jasho kwa kugombania daladala huku mkija mikoani mnatudanganya usafiri wenu mkuu ni uber acheni mambo zenu nyie wa dar.
Fact
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Halafu nakutana na bango langu chit chat
Nikiwa narudi huku natupia bangooo!!!
 
Back
Top Bottom