1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
- Thread starter
- #341
washamba wa njini sio[emoji16]Nyie ndo washamba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
washamba wa njini sio[emoji16]Nyie ndo washamba
Wanaume wa dar wakija mkoani wanaijishaua sasa subiri uende Dar mpaka unarud mkoani huwez kuonana naye
Na mimi ntakuwa wa kwanza kukomentNikiwa narudi huku natupia bangooo!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ney lini nimekuzimia simu jamaniHata wale wanaozima cm na kudanganya ni transformer imeleta shida pia wapo included
Wakuja wana fujo sana....si mnawaona wakirudi kusalimia huko mikoani!we acha hizo neno
Sio kila aliepo Dar ni wa Dar....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana nimewaongelea nyie wote wa dar msitake kujitenga
Nyie ndio mnatuzingua ila kwakuwa tumeshawajua wala hamtupi pressure sasahiviWalugaluga mkija mnazingua
Sio kila aliepo Dar ni wa Dar....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana nimewaongelea nyie wote wa dar msitake kujitenga
Sawa dada[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ebu tukalale uko
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wametudanganya sana Dear tumewashtukia sasa
hahahahaUsiku mwema watu wa Dar ushindi umeenda mkoani mfyuuuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kama nakuonaNa mimi ntakuwa wa kwanza kukoment
Ulale unono mdogo wanguUsiku mwema watu wa Dar ushindi umeenda mkoani mfyuuuu
Ewaaaaasawa dada usijali nitakwambiaa...nitakufata kabisa.
Wakuja wana fujo sana....si mnawaona wakirudi kusalimia huko mikoani!
NakaziaSio kila aliepo Dar ni wa Dar....
EwaaaaaNa mimi ntakuwa wa kwanza kukoment
hahaha usijaliEwaaaaa
Angalia tuu usijesema gari imepata pancha kaka
Eti mtu anatoka mkoani anataka aonane na wewe jumanne, ukimuuliza yuko wapi anakwambia yulo Kitunda! Watu tuna mishe zetu hamna muda wa kupoteza tusubirini huko mikoani maanake mna muda wa mchezo jembe si mwisho saa sita!Nyie ndio mnatuzingua ila kwakuwa tumeshawajua wala hamtupi pressure sasahivi
KhaaaaNakazia