Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Tutoke sasa sio sawa dada upo tuSawa dada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutoke sasa sio sawa dada upo tuSawa dada
Sawa kakahahaha usijali
Asee kweli kabisa. Kamji kadogo kyenye mambo mengi.Mkuu labda huko kwenu lakini sisi tukienda moshi huwa hatutamani kurudi dasilamu sema basi tu majukumu ya kimaisha,,ila sijawahi kumuona mtu anaenda moshi anaboreka aisee
HahahaOooh nitalia miyeeeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ewaaaaa
Sitamwacha salama
EwaaaaaaEti mtu anatoka mkoani anataka aonane na wewe jumanne, ukimuuliza yuko wapi anakwambia yulo Kitunda! Watu tuna mishe zetu hamna muda wa kupoteza tusubirini huko mikoani maanake mna muda wa mchezo jembe si mwisho saa sita!
Tuondoke banaKhaaaa
Tukalale sie
Sawa dadaTuondoke bana
Sawa dada bado upo tuSawa dada
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Sawa dada bado upo tu
aya banaWatu mikoani mfunge milango mlale sasa msije kuliwa na fisi maana mkoani giza likiingia tu ni usiku mnene na wanyama kama fisi wanaanza kutembea!
KAMA RAISI TU ANAPENDA MAMBO MAZURI SEMBUSE DEMISS THUBUTU LABDA MUNGU NDO HAPENDI
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti mtu anatoka mkoani anataka aonane na wewe jumanne, ukimuuliza yuko wapi anakwambia yulo Kitunda! Watu tuna mishe zetu hamna muda wa kupoteza tusubirini huko mikoani maanake mna muda wa mchezo jembe si mwisho saa sita!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tutoke sasa sio sawa dada upo tu
Poa, mambo vipi?Shikamoo mkuu
Sawa tumewaskia nyie wa dar, ngoja tufunge milango tulale. Lakini si bora siye tunaolala ndani kuliko nyie mnaolala vibarazani eti joto yaan nyie mnavituko sanaWatu mikoani mfunge milango mlale sasa msije kuliwa na fisi maana mkoani giza likiingia tu ni usiku mnene na wanyama kama fisi wanaanza kutembea!
Hao wengi wao washatolewa lindaz na popobawaSawa tumewaskia nyie wa dar, ngoja tufunge milango tulale. Lakini si bora siye tunaolala ndani kuliko nyie mnaolala vibarazani eti joto yaan nyie mnavituko sana
Nimesikia kwenye Azam tv kuwa mnaanza mchezo huo mkiwa watoto. Ukiwakolea mnahamia Dar ndugu zenu wanawakana na kusema nyie wa Dar!Hao wengi wao washatolewa lindaz na popobawa
[emoji16]Hao wengi wao washatolewa lindaz na popobawa