Watu wa town mnatuumiza sana sie wa mikoani na kauli zenu " aise huu mkoa bado sanaaa yaan hamna totoz kabisa"

Watu wa town mnatuumiza sana sie wa mikoani na kauli zenu " aise huu mkoa bado sanaaa yaan hamna totoz kabisa"

Tatizo tukija huko mikoani tunakuja kwaajili ya ishu maalum mfano kusalimu wazee,msiba,sherehe,matambiko nk sasa hayo mambo yakiisha nyuma geuka mbele tembea....ila nyinyi mkija town mnapenda kutuganda sana kwanza unakuja huku bila ishu maalumu utasikia ooh nimekuja kutembea ooh twende tukatembee niujue mji
 
Dada umewapa za uso
Yap na ufikeeee tu na siku hizi nasikia Dar wanakodisha magari kwa sikuuu elf 20,
Anakodi anakufata nalo mpaka ubungo unasema bwana si ndo huyu anakupeleka kwenye zile nyumba za Mbweni wanazoachiwaga na matajir kusimamia zisichafuke unasemaaa eeeh mm ndo mother house wa mjengo looooooh wanaume wa dar mna dhambiii
 
Sasa we thubutuuuuu kuzimaa tuu simu!!
Mwezi mzima sura yako inabembea kwenye status
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ebu tukalale uko
 
Back
Top Bottom