Watu wa town mnatuumiza sana sie wa mikoani na kauli zenu " aise huu mkoa bado sanaaa yaan hamna totoz kabisa"

Watu wa town mnatuumiza sana sie wa mikoani na kauli zenu " aise huu mkoa bado sanaaa yaan hamna totoz kabisa"

Nyie ndio mnatuzingua ila kwakuwa tumeshawajua wala hamtupi pressure sasahivi
Eti mtu anatoka mkoani anataka aonane na wewe jumanne, ukimuuliza yuko wapi anakwambia yulo Kitunda! Watu tuna mishe zetu hamna muda wa kupoteza tusubirini huko mikoani maanake mna muda wa mchezo jembe si mwisho saa sita!
 
Back
Top Bottom