Watu wa town mnatuumiza sana sie wa mikoani na kauli zenu " aise huu mkoa bado sanaaa yaan hamna totoz kabisa"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukienda kwao eheheeheheh balaaaaaaaa wote wanakaaa Sinza na Masaki hawajawahi kusema nakaa Tandale au kwenye pagale la Boss wangu nimeziba chumba kimoja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu labda huko kwenu lakini sisi tukienda moshi huwa hatutamani kurudi dasilamu sema basi tu majukumu ya kimaisha,,ila sijawahi kumuona mtu anaenda moshi anaboreka aisee
Kumbe ndiyo maana unapaelewa kimara kumbe chagga boy.!
 
Wanaume wa dar wakija mkoani wanaijishaua sasa subiri uende Dar mpaka unarud mkoani huwez kuonana naye
Sitaki kuamini wewe nae wa mkoani..! Sasa mbona mshana Jr anaishi kibamba sisiem???

Angalizo huwa sitongozi madem wa mikoani.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mfyuuuuu unitaje nimekosea nini mie jamani kwani nishawahi kukukimbia
Ni mara ngapi unanikimbia wewe shunie embu usinitoneshe kidonda, ulinivurugia bajeti yangu ya usafiri kabisa. Nyie watu wa dar sio watu wazuri kabisa [emoji57]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…