Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
Wewe subir tuDada zao nao wamefanya kipi cha ajabu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe subir tuDada zao nao wamefanya kipi cha ajabu?
Waambie dada wakija mkoan wanatutesa sana sisi na kaka zetuLa moyoni hili nyie wanaume wa dar msiwe hivi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwahiyo hata mm huwa unanifanyia hivyo eenh
Loooh siyo kwa cheko hilo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimemfungia mkuu,soon atarud hapaJolie jolie upo wap mama la mama
Sema ukweli labda sm imeharibikaNimemfungia mkuu,soon atarud hapa
Sasa sisi dada zao tumekukosea nn mdogo wanguWewe subir tu
Wamekusikia mdogo wangu haiwezi jirudia tenaWaambie dada wakija mkoan wanatutesa sana sisi na kaka zetu
hahaha......aiseeeeHawaniogopi wanakaa tandika na tandale chumba kinatisha akija mkoani full masifa nakaa Masaki mfyuuuu
Ukienda Dar anakupiga porojo eti mkutane Platnum Mapinga au kibo complex Tegeta kujifanya yuko vizur kumbe anakaa Mwananyamala komakoma ndani ndani.
Wanaume wengi wa Dar ni Mayahaya
Aiseee hii kali[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe tranfoma huwa inaharibika na simu yako kuzimaa
Mdogo wangu unanipaga raha hujui tuLoooh siyo kwa cheko hilo
Kuna wadada wapo huko kipindi bado mdogo wakaja na mazawad masimu makubwa surual wamesuka manywele marefu wakasema wanafanya kazi Posta Red onion hotelSasa sisi dada zao tumekukosea nn mdogo wangu
Wewe tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu wa dar mpunguze misifa hiyo
Thubutu kuna huyo nilienda Dar akawa hapatikani siku nipo kwenye kimbinyiko nimeshafika kibaigwa ananipigia simu eti alikabwa na mateja cha kushangaa namba yangu katoa wapiWamekusikia mdogo wangu haiwezi jirudia tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna wadada wapo huko kipindi bado mdogo wakaja na mazawad masimu makubwa surual wamesuka manywele marefu wakasema wanafanya kazi Posta Red onion hotel
Sasa mwaka jana nikatimba huko nikaenda bar moja inaitwa Fair way kama unaenda Bunju katikati ya Tegeta na Boko eeeh nikakuta ni wahudumu wa Bar
Cha ajabu watoto wao wamewaacha mkoani ikabid waniambie nitunze siri nikawaambia nataka nije mnapokaa lahaulaaaaaa
Chumba kimoja wanakaa watu 9 Ila siku wakirudi mkoani huwa tunakoma watoto weupeee Demiss miye mpaka nataman nipake Mkorogo wa Maimartha wa Jesse nifanane nao.
Na yale manywele wanayarusha kama wakorea nywele mpaka gutako zinafika hapo Demiss nimesuka twende kilioni.
Wadada wa dar mna dhambi kama kaka zenu
Hawa ndo wanatuharibu sisi wa mkoani
Nakaziaaaaahahaha......aiseeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Demiss hurumia mbavu zanguThubutu kuna huyo nilienda Dar akawa hapatikani siku nipo kwenye kimbinyiko nimeshafika kibaigwa ananipigia simu eti alikabwa na mateja cha kushangaa namba yangu katoa wapi
Mfyuuuuu