Watu wa Yanga SC mkiendelea Kuwasumbua hasa Wachezaji na Kocha Mkuu wa Dodoma Jiji FC tutawatajeni ili Muumbuke

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Halafu TAKUKURU ( PCCB ) mbona mnakuwa Wapole hivi wakati kuna Klabu Moja tokea Juzi hadi Leo inahangaika kutaka Kuwahonga Wachezaji na Kocha Mkuu wa Dodoma Jiji FC ili Jumapili waifunge na Wautulize Moto ambao Umeshawaka Klabuni Kwao.

Kudadadeki zenu si mnajifanya mna Kikosi imara na Kututangazia kuwa nyie tayari ni Mabingwa? Sasa mnachokihangaikia ni nini na hizo Pesa zenu za Dhuluma na Utapeli wa Bidhaa zenu?

Na hapo bado mtauana tu mwaka huu.
 
Ukisikia ufisadi pesa zinachotwa Bank ujue Utopolo wana mgao mkubwa sana.Sasa hivi kuna dili la billion 350 najua litatiki tu.Sijui tutawaambia nini utopolo!
 
Halafu TAKUKURU ( PCCB ) mbona mnakuwa Wapole hivi wakati kuna Klabu Moja tokea Juzi hadi Leo inahangaika kutaka Kuwahonga Wachezaji na Kocha Mkuu wa Dodoma Jiji FC ili Jumapili waifunge na Wautulize Moto ambao Umeshawaka Klabuni Kwao.

Kudadadeki zenu si mnajifanya mna Kikosi imara na Kututangazia kuwa nyie tayari ni Mabingwa? Sasa mnachokihangaikia ni nini na hizo Pesa zenu za Dhuluma na Utapeli wa Bidhaa zenu?

Na hapo bado mtauana tu mwaka huu.
Acha ujinga nenda takukuru haraka yanga hatuhangaiki na huo upuuzi
 
Naona Simba mnajitekenya mnacheka wenyewe 🤣😍😍😍
 
Halafu TAKUKURU ( PCCB ) mbona mnakuwa Wapole hivi wakati kuna Klabu Moja tokea Juzi hadi Leo inahangaika kutaka Kuwahonga Wachezaji na Kocha Mkuu wa Dodoma Jiji FC ili Jumapili waifunge na Wautulize Moto ambao Umeshawaka Klabuni Kwao.

Kudadadeki zenu si mnajifanya mna Kikosi imara na Kututangazia kuwa nyie tayari ni Mabingwa? Sasa mnachokihangaikia ni nini na hizo Pesa zenu za Dhuluma na Utapeli wa Bidhaa zenu?

Na hapo bado mtauana tu mwaka huu.
acheni undezi nyie! hizo ndio falsafa za mpira sasa mnachoshangaa nini?

ina maana kuna timu hapa bongo inayocheza bila figisu?

nyie simba yenu mnafanya wakifanya wenzenu mnakaa mnapiga piga kelele acheni uzwazwa

yeyote yule anayejua maana ya mpira hawezi kuandika junk sms kama hii sababu asili ya mpira ni fitina

na ndio maana kukawa na kamati ya ufundi nk

sasa kama wewe una ushahidi uende na huo ushahidi wako TAKUKURU na sio kutisha tisha watu humu jukwaani kwa lengo la kupoozesha mbio za ubingwa
 
Halafu TAKUKURU ( PCCB ) mbona mnakuwa Wapole hivi wakati kuna Klabu Moja tokea Juzi hadi Leo inahangaika kutaka Kuwahonga Wachezaji na Kocha Mkuu wa Dodoma Jiji FC ili Jumapili waifunge na Wautulize Moto ambao Umeshawaka Klabuni Kwao.

Kudadadeki zenu si mnajifanya mna Kikosi imara na Kututangazia kuwa nyie tayari ni Mabingwa? Sasa mnachokihangaikia ni nini na hizo Pesa zenu za Dhuluma na Utapeli wa Bidhaa zenu?

Na hapo bado mtauana tu mwaka huu.
Weka ushahidi tafadhari..!! Bila ushahidi, huu ni udak7 kama udaku mwingine
 
Halafu TAKUKURU ( PCCB ) mbona mnakuwa Wapole hivi wakati kuna Klabu Moja tokea Juzi hadi Leo inahangaika kutaka Kuwahonga Wachezaji na Kocha Mkuu wa Dodoma Jiji FC ili Jumapili waifunge na Wautulize Moto ambao Umeshawaka Klabuni Kwao.

Kudadadeki zenu si mnajifanya mna Kikosi imara na Kututangazia kuwa nyie tayari ni Mabingwa? Sasa mnachokihangaikia ni nini na hizo Pesa zenu za Dhuluma na Utapeli wa Bidhaa zenu?

Na hapo bado mtauana tu mwaka huu.
makolo si mlisema hii ni ligi ya mbuzi,sasa mtuache wananchi mwaka huu afe kipa afe beki ubingwa lazima
 
Nchi hii kuendelea itakuwa vigumu sana, MTU anamjua kabisa mtu Fulani anataka kutoa rushwa, lakini kajikalia kimyaaa ndiyo Kwanza anatoa vitisho,dawa kuwawekea mtego wanase iwe fundisho Kwa wengine.
Achana na Wapuuzi, sisi tusio na upande tumeshagundua kuna timu ina mashabiki mbumbumbu hasa.
 
Nchi hii kuendelea itakuwa vigumu sana, MTU anamjua kabisa mtu Fulani anataka kutoa rushwa, lakini kajikalia kimyaaa ndiyo Kwanza anatoa vitisho,dawa kuwawekea mtego wanase iwe fundisho Kwa wengine.
Halafu anabweka bweka tu humu badala ya kuchukua hatua ya kuchukua ushahidi kupeleka TAKUKURU, wakishindwa kutekeleza baadae baada ya ligi ifunguliwa kesi kwenye mahakama ya kimichezo kwaajili ya haki itendeke. Mimi mtu wanaokuja uzi wa namna hii huwa naona kama ni mtu wa propaganda tu.
 
Back
Top Bottom