MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Ukisikia ufisadi pesa zinachotwa Bank ujue Utopolo wana mgao mkubwa sana.Sasa hivi kuna dili la billion 350 najua litatiki tu.Sijui tutawaambia nini utopolo!Halafu TAKUKURU ( PCCB ) mbona mnakuwa Wapole hivi wakati kuna Klabu Moja tokea Juzi hadi Leo inahangaika kutaka Kuwahonga Wachezaji na Kocha Mkuu wa Dodoma Jiji FC ili Jumapili waifunge na Wautulize Moto ambao Umeshawaka Klabuni Kwao.
Kudadadeki zenu si mnajifanya mna Kikosi imara na Kututangazia kuwa nyie tayari ni Mabingwa? Sasa mnachokihangaikia ni nini na hizo Pesa zenu za Dhuluma na Utapeli wa Bidhaa zenu?
Na hapo bado mtauana tu mwaka huu.
timu ya hovyo!... ilikuonja ki 1 kwenye ngao,muwe na shukrani .Utopolo ni timu ya hovyo sana. Sio ajabu ndio waliwahi kufungiwa na CAF kwa sababu ya kutoa rushwa
Acha ujinga nenda takukuru haraka yanga hatuhangaiki na huo upuuziHalafu TAKUKURU ( PCCB ) mbona mnakuwa Wapole hivi wakati kuna Klabu Moja tokea Juzi hadi Leo inahangaika kutaka Kuwahonga Wachezaji na Kocha Mkuu wa Dodoma Jiji FC ili Jumapili waifunge na Wautulize Moto ambao Umeshawaka Klabuni Kwao.
Kudadadeki zenu si mnajifanya mna Kikosi imara na Kututangazia kuwa nyie tayari ni Mabingwa? Sasa mnachokihangaikia ni nini na hizo Pesa zenu za Dhuluma na Utapeli wa Bidhaa zenu?
Na hapo bado mtauana tu mwaka huu.
SureAcha ujinga nenda takukuru haraka yanga hatuhangaiki na huo upuuzi
Wana hofu na kitu chenye ncha Kali,wapake mafuta!!Naona Simba mnajitekenya mnacheka wenyewe π€£πππ
acheni undezi nyie! hizo ndio falsafa za mpira sasa mnachoshangaa nini?Halafu TAKUKURU ( PCCB ) mbona mnakuwa Wapole hivi wakati kuna Klabu Moja tokea Juzi hadi Leo inahangaika kutaka Kuwahonga Wachezaji na Kocha Mkuu wa Dodoma Jiji FC ili Jumapili waifunge na Wautulize Moto ambao Umeshawaka Klabuni Kwao.
Kudadadeki zenu si mnajifanya mna Kikosi imara na Kututangazia kuwa nyie tayari ni Mabingwa? Sasa mnachokihangaikia ni nini na hizo Pesa zenu za Dhuluma na Utapeli wa Bidhaa zenu?
Na hapo bado mtauana tu mwaka huu.
Weka ushahidi tafadhari..!! Bila ushahidi, huu ni udak7 kama udaku mwingineHalafu TAKUKURU ( PCCB ) mbona mnakuwa Wapole hivi wakati kuna Klabu Moja tokea Juzi hadi Leo inahangaika kutaka Kuwahonga Wachezaji na Kocha Mkuu wa Dodoma Jiji FC ili Jumapili waifunge na Wautulize Moto ambao Umeshawaka Klabuni Kwao.
Kudadadeki zenu si mnajifanya mna Kikosi imara na Kututangazia kuwa nyie tayari ni Mabingwa? Sasa mnachokihangaikia ni nini na hizo Pesa zenu za Dhuluma na Utapeli wa Bidhaa zenu?
Na hapo bado mtauana tu mwaka huu.
makolo si mlisema hii ni ligi ya mbuzi,sasa mtuache wananchi mwaka huu afe kipa afe beki ubingwa lazimaHalafu TAKUKURU ( PCCB ) mbona mnakuwa Wapole hivi wakati kuna Klabu Moja tokea Juzi hadi Leo inahangaika kutaka Kuwahonga Wachezaji na Kocha Mkuu wa Dodoma Jiji FC ili Jumapili waifunge na Wautulize Moto ambao Umeshawaka Klabuni Kwao.
Kudadadeki zenu si mnajifanya mna Kikosi imara na Kututangazia kuwa nyie tayari ni Mabingwa? Sasa mnachokihangaikia ni nini na hizo Pesa zenu za Dhuluma na Utapeli wa Bidhaa zenu?
Na hapo bado mtauana tu mwaka huu.
Achana na Wapuuzi, sisi tusio na upande tumeshagundua kuna timu ina mashabiki mbumbumbu hasa.Nchi hii kuendelea itakuwa vigumu sana, MTU anamjua kabisa mtu Fulani anataka kutoa rushwa, lakini kajikalia kimyaaa ndiyo Kwanza anatoa vitisho,dawa kuwawekea mtego wanase iwe fundisho Kwa wengine.
Halafu anabweka bweka tu humu badala ya kuchukua hatua ya kuchukua ushahidi kupeleka TAKUKURU, wakishindwa kutekeleza baadae baada ya ligi ifunguliwa kesi kwenye mahakama ya kimichezo kwaajili ya haki itendeke. Mimi mtu wanaokuja uzi wa namna hii huwa naona kama ni mtu wa propaganda tu.Nchi hii kuendelea itakuwa vigumu sana, MTU anamjua kabisa mtu Fulani anataka kutoa rushwa, lakini kajikalia kimyaaa ndiyo Kwanza anatoa vitisho,dawa kuwawekea mtego wanase iwe fundisho Kwa wengine.
Yaan saiv tunataka tuwatamanishe kama alivyofanya Man City kwa Liverpool,point moja tuWana hofu na kitu chenye ncha Kali,wapake mafuta!!