kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
Watu wa zamani pichani walikua weusi sana, mbona sasa Waafrika wengi ni weupe? Kwanini
Ukiangalia picha za zamani za miaka 1700 1800 huko Waafrika wote inaonekana walikua weusi kabisa
Sasa miaka hii na miaka michache ya nyuma kuanzia 1900 na hadi sasa Waafrika wengi ni weupe.
Hapa nazungumzia weupe sana,na ambao wapo brown watu weusi tii ni wachache sio wengi sana mfano katika jamii fulani
Mfano nzuri angalieni Wachaga wengi tu ni weupe kabisa, lakini mfano Wajaluo wengi ni weusi tii kabisa
Sasa kwanini sasa hivi kwanini Waafrika tunasemaga ni weusi tii wakati kuna Rangi nyingi humu barani? Wapo weusi, maji ya kunde, brown, weupe na weupe sana kupitiliza yaani unakuta hadi tofauti yake na muerope ni nywele tu na lens ya jicho mfano nzuri angalia Wamarangu.
Sasa kwanini hivi? Watu wa zamani pichani walikua weusi sana, mbona sasa Waafrika wengi ni weupe? Kwanini?