Kainetics
Senior Member
- Jun 20, 2022
- 135
- 276
Kama umetumia swala la muonekano wa picha kufikia hio conclusion, basi hauko sahihi.
Ni kweli walikuwa weusi pichani, ila haimaanishi walikuwa hivyo kwenye uhalisia. Studies zinaonesha negatives za miaka hizo, zilikua zimetengenezwa specifically ku process ngozi ya wazungu na sio waafrika.
Ndo maana waafrika, furniture na hata chocolates zilikua na weusi kuliko zilivyokuwa perceived kwenye picha.
Unaweza pitia hiki ki mini Documentary kuhusu hilo, kwenye Vox.