Niombe kwa nani sasa mkuu??? nichagulie kati ya hako ka yesu kenu kazungu?? au lile jamaa kiongozi la wauza watumwa!.......af ujue nina uchungu nao mie hao!!! heee!!!Endelea kuomba na kukanyaga mafuta
Kwa Mungu we kiaziNiombe kwa nani sasa mkuu??? nichagulie kati ya hako ka yesu kenu kazungu?? au lile jamaa kiongozi la wauza watumwa!.......af ujue nina uchungu nao mie hao!!! heee!!!
tetetetetet!! sasa mie mungu wako namjua Mkuu??? huoni kama hunitendei haki??...ebu nambaie anavyoo fanana! labda ntakuelewa!!Kwa Mungu we kiazi
Viazi pia ni viumbe vyaketetetetetet!! sasa mie mungu wako namjua Mkuu??? huoni kama hunitendei haki??...ebu nambaie anavyoo fanana! labda ntakuelewa!!
yaani km hivi je ni;
mzungu, mkoloni!
mswahili, Mamakonde mjaluo au mzaramo
muhindi, .. kunhee! kuch! kuch!
muarabu, alwaaaaakbar!
mchina! hi haaa!
Au ana Rangi ZOOOTE! .......si umeumbwa kwa mfano wake ????sasa naomba kukuuliza mungu wa kiazi ndo unamuabaudu mkuu??
sasa hicho kinacho ongea hajakiumba yeye!Viazi pia ni viumbe vyake
Tupo kwenye zama ambazo picha ni nzuri kuliko aliyepigwa picha hiyo..!!Teknolojia ya camera imeimprove sana.