Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Huku kesi dhidi ya Israel iliyofunguliwa ICJ na Afrika kusini ikinguruma kule Gaza ya kaskazini wananchi wameanza kurudi majumbani mwao kutoka kila upande walikokimbilia
Hayo yanatokea wakati hakuna hata lengo moja la vita lililowekwa na Israel ambalo limetimizwa.
Zaidi ya hayo kuna hali inayoitia kizunguzungu Israel kwani hali zilizobadilika baada ya miezi mitatu katika vita imelazimisha jeshi la IDF kurudisha askari nyumbani.
Kwenye mahakama ya kimataifa juu ya jinai za kivita Afrika kusini imeendelea kuichachafya Israel na kuiacha bila majibu.
Katika baadhi ya paragrafu za jalada la kesi zinaihoji Israel kwa kutaja baadhi ya majina ya watoto waliouliwa katika vita hivyo ikiuliza .Hawa walikuwa kwenye hema wakipigwa na baridi na katikati ya wazazi wao jee walihusikaje na vita mpaka wakauliwa.Jee walirusha kombora dhidi ya IDF ?