Watu waanza kurudi kwenye majumba yao Gaza ya kaskazini huku majeshi ya Israel yakiondoka kwa kasi.

Watu waanza kurudi kwenye majumba yao Gaza ya kaskazini huku majeshi ya Israel yakiondoka kwa kasi.

Ndio kushindwa kwenyewe huko.
Houth wamechangia sana kuiminya Israel.
Waisrael hawawezi kurudi mashambani kwao na wamechoka kukaa kwenye mahoteli kwa gharama za serikali.
Netanyahu alidhani ni kazi ndogo tu,
Vita iisikiye tu Netanyahu amejiweka kwenye wakati mgumu sana kwa kweli , uchumi umedorora , kwenye vita nako ameungaza billion of dollar bila kuwamaliza hamasi na kurudisha mateka , maadui wengi wameongezeka , diplomasia kwa basdhi ya nchi imezorota mfumuko wa bei kill mahala ...ngoja tuone mwishowi

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom