Mnamo 2005 Kevin Berthia alienda kwenye daraja la Golden Gate kukatisha maisha yake.
Aliishia kuzungumzia maisha yake na afisa Kevin Briggs kwa dakika 92 akiwa pembezoni mwa daraja.
Baada ya Miako 10 Berthia na Briggs wanakutana kwenye daraja hilo wakiwa na hali ya tofauti na mara ya kwanza walipokutana kwenye daraja hilo.