Watu Wafurika kumuangalia Zari Mlimani City.

Watu Wafurika kumuangalia Zari Mlimani City.

Ila wabongo shikamo kwa shobo juzi nilikua Uganda on indepence day. Hakuna mganda alimshobokea Mondi njo sasa huku. Mpaka sometimes naona aibu kusema mi Mtanzania
Hiyo Ndio sifa YETU kuu Hatuna ubaguz. Wala usione aibu
 
Mama watoto wa Mwanamuziki Diamondplutnamz, Zari. Mchana wa Leo alisimamisha shughuli katika maduka yaliyopo Mlimani City Jijini Dar es salaam ,alipokwenda kuzindua Duka jipya la samani, Danube.

Watu walijazana nje ya duka jipya la Danube wakitaka Kumuona Zari Huku wakiimba Wifi..... Wifi........ Wifi

Na baada ya Kutoka hapo waliongozana na Mzazi mwenzie Diamondplutnamz, kuelekea Visiwani Zanzibar kwenye show yake usiku wa Leo.

View attachment 609379

View attachment 609380

View attachment 609381
KUMTIZAMA MUBASHARA NI BEI GANI???
 
Back
Top Bottom