Watu wajinga wanapopewa PhD za heshima!

Watu wajinga wanapopewa PhD za heshima!

Ku-struggle ni jambo moja na ku-acquire academic credentials ni jambo lingine. Tusilazimishe eti kwasababu mtu amefanikiwa kiuchumi au kimaisha basi apewe academic rewards. Huo ni ujinga mwingi
Tatizo lipo kwenu nyinyi madocta kuacha kazi zenu na kukimbilia kwenye siasa unazani kitatokea nn ayo ndo mazara yake......kila mtu anaona ajiite Dr.......
 
Tatizo lipo kwenu nyinyi madocta kuacha kazi zenu na kukimbilia kwenye siasa unazani kitatokea nn ayo ndo mazara yake......kila mtu anaona ajiite Dr.......
Hizo ni struggle za kimaisha. Kila mtu anaingia kwenye siasa, wasanii, wakulima, wafugaji, waganga wa kienyeji, wachungaji na makahaba. Mbona hawatafuti uchungaji wa mchongo?
 
Serikali ikiamua hata leo hii kwa kuipitia wizara ya elimu hizo digrii zote za mchongo zinarudi kabatini. Na ma PhD holder fake wataikimbia hiyo title wenyewe. Si waziri wa elimu anatengeneza tu kanuni kuwa wale wote wenye PhD wafike TCU na vielelezo vyao na hawaruhusiwi kutumia hiyo title mpaka ithibitishwe na wizara basi.

Lakini kwa jinsi nilimvyosikiliza waziri Mkenda bungeni ni kama vile anakwepa wajibu wake matokeo yake ikabidi madame spika afanye kazi ya waziri wa elimu kwa kuwapiga spana za uso wale wenye PhD fake.
 
Suala la PhD (Doctor of Philosophy) zinazotolewa kama za heshima, sasa si tu linakera, bali sasa linarahisisha na kudharaulisha maana hasa ya elimu.

Kama PhD, a pinnacle of acchieved learning, research na contribution to natural understsnding, linaanza kuwa la kisiasa nchini, basi tumefikia our lowest stage of educational stupidity.

Kwamba hata wale wenye PhD za ukweli, zinazotokana na kuuliza, kujiuliza na kuandika research papers zenye mchango mkubwa kitaifa na kimataifa, halafu ukapata PhD za kina Babu Tale, na huku kina Prof Mkenda wako kimya, basi hata higher learning nchi hii haina maana yoyote.

Dr Babu Tale, Dr Msukuma, na kwa bahati mbaya kabisa wanaingizwa kina wanasiasa mashuhuri , kuwa kitaaluma wako sawa na Dr Ndulu, Dr Ng'wandu na Prof Mawenya, Prof Rweyemamu, Pro Mazengo, basi hatuna haja ya kuwa na vyuo vya elimu ya juu.

Yaani kama Msukuma, ukijulikana tu, basi unapewa PhD ya heshima.

Tukumbuke, mtu mjinga si yule aliyeelimika.
Mimi kwa mtazamo wangu naona mtu akitaka PhD basi arudi darasani asome aipate
Hizi za bure zifutwe aisee.
Haiwezekani wengine waumize akili darasani kuzipata, halafu wengine wapewe bure
Eti wote ni Madokta.

Hicho kisingizio kwamba mtu amefanya mambo makubwa kwenye jamii aisee hicho ni kichaka.

Kila mmoja wetu anafanya mambo makubwa kwa jamii kulingana na uwezo wake ulipoishia.

Hao waliofanya mambo makubwa wapongezwe tu kwa mchango wao ila siyo huu ujinga wa kugawana PhD kama karanga.
 
Serikali ikiamua hata leo hii kwa kuipitia wizara ya elimu hizo digrii zote za mchongo zinarudi kabatini. Na ma PhD holder fake wataikimbia hiyo title wenyewe. Si waziri wa elimu anatengeneza tu kanuni kuwa wale wote wenye PhD wafike TCU na vielelezo vyao na hawaruhusiwi kutumia hiyo title mpaka ithibitishwe na wizara basi.

Lakini kwa jinsi nilimvyosikiliza waziri Mkenda bungeni ni kama vile anakwepa wajibu wake matokeo yake ikabidi madame spika afanye kazi ya waziri wa elimu kwa kuwapiga spana za uso wale wenye PhD fake.
Kwani iyo PhD ndo imemuweka hapo bungeni boss mpaka wapigwe spana kama vyet fake.......acha roho mbayaaaaa Boss
 
Kwani PhD ya Bashiru zaidi ya kuiba kura na kununua wapinzani brutaly ina faida gani kwa Taifa?

Uprofesa wa Lipumba na Babu Tale si Bora Babu Tale??
Babu Tale na Mkubwa Fela nani mwenye mchango mkubwa kwenye kuinua wasanii?? Marehemu Ruge na Babu Tale nani mwenye mchango mkubwa kwenye sekta ya muziki hapa nchini?
 
Ni kiwango cha juu cha upumbafu Nyerere alikuwa nazo kama nne hivi lakini hakuwahi kujiita Dokta , kuja viwatu vimenunua hizo pHd feki kwenye vyuo vya mchongo ole wako isimuite dokta kitaumana, hii yote ni sababu ya kudhani kwamba kila kitu ni shortcut, tunatakiwa kujitafakari sana mbona China Malaysia etc hawaendekezi huu upuuzi? eti babu tale naye analazimisha tena bungeni aitwe dokta Stupid kabisa darasa la saba kichwani mweupe kisa ana kiubunge cha mchongo anafokea watu.
Nasikia hata chuo aliponunua hiyo PhD hakijui jina.. [emoji23]
 
Hakuna PhD yoyote Tanzania iliyowahi kuwa na maana ya kuisaidia nchi hii

Hakuna Ubunifu, Ugunduzi wala Nakala mpya ya wakati wa sasa

Tuna wasomi wakubwa lakini wapo kinadharia tu.
 
Back
Top Bottom