Watu wajinga wanapopewa PhD za heshima!

Watu wajinga wanapopewa PhD za heshima!

Ku-struggle ni jambo moja na ku-acquire academic credentials ni jambo lingine. Tusilazimishe eti kwasababu mtu amefanikiwa kiuchumi au kimaisha basi apewe academic rewards. Huo ni ujinga mwingi
Naona mkuu anataka Kila Alie struggle akapata maisha tumpe PhD. Tutakuwa na taifa la wapumbavu sana. Kama qanapwnda hiyo title waende shule
 
Masikini akipata, mataco hulia mbwata
 
Back
Top Bottom