Watu wake wa karibu: Mbowe ana taarifa zote kuhusu Lisu kugombea uenyekiti, Porojo za mitandaoni ni kuchangamsha genge tu

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Taarifa nilizozikusanya kutoka kwa watu wa karibu sana na Mbowe zinasema hata ridhaa ya Lisu kuondoa kusudio lake la kugombea umakamu mwenyekiti lilikubaliwa na mwenyekiti Mbowe. Kwa hiyo ana taarifa zote.

"Unajua hata ombi la Lisu kutaka kuondoa kusudio la kugombea umakamu mwenyekiti, kamanda Mbowe ana taarifa nalo, hivyo ana taarifa zote" Alisema mmoja wa watu hao ambaye hakutaka jina lake litajwe.

Mtu mwingine wa karibu (anonymous) alisema "Mitandaoni watu wanaongea mengi, cha msingi ni kila mtu kutumia uwlelewa wake kuchambua mazuri na kuachana na uzushi".

Habari ndiyo hiyo ndugu wasomaji.
 
Umeeleza nusunusu, unasema mbowe alijua kusudio la kuondoa kugombea umakamu mwenyeketi, je alijua kusudio la kugombea nafasi ya mwenyekiti?
 
Mbona jibu lipo wazi. Rudia kusoma tena. Amesema kuwa Mbowe ana taarifa 'zote', hata Lisu kuondoa jina lake aliridhia.

Kwa hiyo yale aliyoyafanya Lisu jana siyo mapya, alikuwa anayajua kabla ya sisi sote.
 
mbowe ndo alikosea kumpelekea mgombea nafasi ya makamo ngoja Sasa wakutane tuone
 
Haahaa, Hata asingejua haijalishi lissu katumia haki yake kama mwanachadema kugombea
 
Taarifa nilizozikusanya kutoka kwa watu wa karibu sana na Mbowe zinasema hata ridhaa ya Lisu kuondoa kusudio lake la kugombea umakamu mwenyekiti lilikubaliwa na mwenyekiti Mbowe. Kwa hiyo ana taarifa zote.

"Unajua hata ombi la Lisu kutaka kuondoa kusudio la kugombea umakamu mwenyekiti, kamanda Mbowe ana taarifa nalo, hivyo ana taarifa zote" Alisema mmoja wa watu hao ambaye hakutaka jina lake litajwe.

Mtu mwingine wa karibu (anonymous) alisema "Mitandaoni watu wanaongea mengi, cha msingi ni kila mtu kutumia uwlelewa wake kuchambua mazuri na kuachana na uzushi".

Habari ndiyo hiyo ndugu wasomaji.
Na tayari Lissu anayo kura ya Mbowe. Wapiga ramli wa Lumumba ndiyo wanahangaika kila baada ya dakika mbili wanaanzisha uzi kuleta uchonganishi wakati hawa jamaa wanapata kinywaji pamoja, hakika usilolijua ni sawa na usiku wa kiza kinene, CCM wamepigwa tiktak katika hili.
 
Bora CHADEMA imchague Lisu ili CCM is hike adabu. Mbowe ni mstaarabu sana alijitahidi kutaka maridhiano kuepusha machafuko CCM ikajataa inazungushazungusha tu mambo. Sasa Tundu Lisu akichaguliwa ndio CCM watamkumbuka Mbowe. Na kiukweli kwa hali ilipofikia inahitajika siasa za confrontation.
 
Umeeleza nusunusu, unasema mbowe alijua kusudio la kuondoa kugombea umakamu mwenyeketi, je alijua kusudio la kugombea nafasi ya mwenyekiti?
Mbona Lissu alieleza vizuri jana kuwa aliondoa kusudio la kugombea nafasi ya Makamu mwenyekiti na badala yake akapeleka barua ya kusudio la kuomba kugombea nafasi ya Mwenyekiti, sasa unafikiri barua hizo ambazo ziko kwa Katibu Mkuu Mwenyekiti atakosa kujua? Hata ile juzi J4 kwenye press waliyofanya pamoja jambo hilo lilikuwa linafahamika ndiyo maana Mbowe aliwaambia waandishi kuwa kuna mambo yanapikwa kitaalamu huko ndani.
 
mbowe ndo alikosea kumpelekea mgombea nafasi ya makamo ngoja Sasa wakutane tuone
Mbowe hatagombea kupambana na Lissu Mbowe ni smart sana hawezi kukipasua chama. sikiliza kwa umakini hotuba ya Lissu mwisho alisema anamatumaini Mbowe atamuunga mkono.
 
Mbona jibu lipo wazi. Rudia kusoma tena. Amesema kuwa Mbowe ana taarifa 'zote', hata Lisu kuondoa jina lake aliridhia.

Kwa hiyo yale aliyoyafanya Lisu jana siyo mapya, alikuwa anayajua kabla ya sisi sote.
Nashangaa mno watu wanavyojidanganya kuwa lisu kakurupuka
 
Taarifa nilizozikusanya kutoka kwa watu wa karibu sana na Mbowe zinasema hata ridhaa ya Lisu kuondoa kusudio lake la kugombea umakamu mwenyekiti lilikubaliwa na mwenyekiti Mbowe. Kwa hiyo ana taarifa zote.

"Unajua hata ombi la Lisu kutaka kuondoa kusudio la kugombea umakamu mwenyekiti, kamanda Mbowe ana taarifa nalo, hivyo ana taarifa zote" Alisema mmoja wa watu hao ambaye hakutaka jina lake litajwe.

Mtu mwingine wa karibu (anonymous) alisema "Mitandaoni watu wanaongea mengi, cha msingi ni kila mtu kutumia uwlelewa wake kuchambua mazuri na kuachana na uzushi".

Habari ndiyo hiyo ndugu wasomaji.
I can see the logic behind there!

Kutokana na mapito ambayo CDM imeyapitia katika siku zile za utawala wa JPM. Mantiki zinanituma kuwa M/Taifa ni Mh. Lissu, na mpeperusha bendera, na pia mgombea wa kinyang'anyiro cha nafasi ya urais kwa upande wa CDM ni Mh. Mbowe.

Mapito na changamoto nyingi zenye kujaa machozi, jasho, na damu ambazo CDM imezipitia si jambo rahisi kusambaratika kiurahisi hivi. Kutokana kauli za M/Kiti na Makamu wake za hivi karibuni, natambua hata Mchungaji pamoja na wale wengine wengi waliounga mapema jitihada ni mapandikizi yaliyowekwa ndani ya CCM ili kupata habari. nyeti na za kimkakati Naiona CDM kimkakati imepenya ndani ya CCM.

And the penetration now is really deep. What come around,
goes around.
 
natambua hata Mchungaji pamoja na wale wengine wengi waliounga mapema jitihada ni mapandikizi yaliyowekwa ndani ya CCM ili kupata habari. nyeti na za kimkakati Naiona CDM kimkakati imepenya ndani ya CCM.
Itakuwa ni habari njema, kama ni kweli.
 
Taarifa nilizozikusanya kutoka kwa watu wa karibu sana na Mbowe zinasema hata ridhaa ya Lisu kuondoa kusudio lake la kugombea umakamu mwenyekiti lilikubaliwa na mwenyekiti Mbowe. Kwa hiyo ana taarifa zote.

"Unajua hata ombi la Lisu kutaka kuondoa kusudio la kugombea umakamu mwenyekiti, kamanda Mbowe ana taarifa nalo, hivyo ana taarifa zote" Alisema mmoja wa watu hao ambaye hakutaka jina lake litajwe.

Mtu mwingine wa karibu (anonymous) alisema "Mitandaoni watu wanaongea mengi, cha msingi ni kila mtu kutumia uwlelewa wake kuchambua mazuri na kuachana na uzushi".

Habari ndiyo hiyo ndugu wasomaji.
Hiyo ishu ilikuwa tangu august vilaza ndio wamejua baada ya press conference🤣
 
Back
Top Bottom