Taarifa nilizozikusanya kutoka kwa watu wa karibu sana na Mbowe zinasema hata ridhaa ya Lisu kuondoa kusudio lake la kugombea umakamu mwenyekiti lilikubaliwa na mwenyekiti Mbowe. Kwa hiyo ana taarifa zote.
"Unajua hata ombi la Lisu kutaka kuondoa kusudio la kugombea umakamu mwenyekiti, kamanda Mbowe ana taarifa nalo, hivyo ana taarifa zote" Alisema mmoja wa watu hao ambaye hakutaka jina lake litajwe.
Mtu mwingine wa karibu (anonymous) alisema "Mitandaoni watu wanaongea mengi, cha msingi ni kila mtu kutumia uwlelewa wake kuchambua mazuri na kuachana na uzushi".
Habari ndiyo hiyo ndugu wasomaji.