Watu wake wa karibu: Mbowe ana taarifa zote kuhusu Lisu kugombea uenyekiti, Porojo za mitandaoni ni kuchangamsha genge tu

Hili jambo limewaumiza sana CCM! Na kinachowauma zaidi ni kwamba hswakujua hizi move za CHADEMA tangu August😀😀😀
 
Hata mimi nahisi hivyo kama lengo ni kujenga chama. Mambo yote yanasemwa ni kupiga ramli kuonyesha jinsi tulivyo washirikina.
 
Hapa tumeshindwa kabisa kuongea sera na principles, tumeishia kuongea watu.
 
Mbona jibu lipo wazi. Rudia kusoma tena. Amesema kuwa Mbowe ana taarifa 'zote', hata Lisu kuondoa jina lake aliridhia.

Kwa hiyo yale aliyoyafanya Lisu jana siyo mapya, alikuwa anayajua kabla ya sisi sote.
Kwahiyo kugombea uwenyekiti Chadema mpaka Mbowe"aridhie"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…