Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza uchawi weweMbowe kaagizwa na Viongozi wa dini apumzike sasa
Hata mimi nahisi hivyo kama lengo ni kujenga chama. Mambo yote yanasemwa ni kupiga ramli kuonyesha jinsi tulivyo washirikina.Taarifa nilizozikusanya kutoka kwa watu wa karibu sana na Mbowe zinasema hata ridhaa ya Lisu kuondoa kusudio lake la kugombea umakamu mwenyekiti lilikubaliwa na mwenyekiti Mbowe. Kwa hiyo ana taarifa zote.
"Unajua hata ombi la Lisu kutaka kuondoa kusudio la kugombea umakamu mwenyekiti, kamanda Mbowe ana taarifa nalo, hivyo ana taarifa zote" Alisema mmoja wa watu hao ambaye hakutaka jina lake litajwe.
Mtu mwingine wa karibu (anonymous) alisema "Mitandaoni watu wanaongea mengi, cha msingi ni kila mtu kutumia uwlelewa wake kuchambua mazuri na kuachana na uzushi".
Habari ndiyo hiyo ndugu wasomaji.
Hapa tumeshindwa kabisa kuongea sera na principles, tumeishia kuongea watu.Taarifa nilizozikusanya kutoka kwa watu wa karibu sana na Mbowe zinasema hata ridhaa ya Lisu kuondoa kusudio lake la kugombea umakamu mwenyekiti lilikubaliwa na mwenyekiti Mbowe. Kwa hiyo ana taarifa zote.
"Unajua hata ombi la Lisu kutaka kuondoa kusudio la kugombea umakamu mwenyekiti, kamanda Mbowe ana taarifa nalo, hivyo ana taarifa zote" Alisema mmoja wa watu hao ambaye hakutaka jina lake litajwe.
Mtu mwingine wa karibu (anonymous) alisema "Mitandaoni watu wanaongea mengi, cha msingi ni kila mtu kutumia uwlelewa wake kuchambua mazuri na kuachana na uzushi".
Habari ndiyo hiyo ndugu wasomaji.
Kwahiyo kugombea uwenyekiti Chadema mpaka Mbowe"aridhie"?Mbona jibu lipo wazi. Rudia kusoma tena. Amesema kuwa Mbowe ana taarifa 'zote', hata Lisu kuondoa jina lake aliridhia.
Kwa hiyo yale aliyoyafanya Lisu jana siyo mapya, alikuwa anayajua kabla ya sisi sote.