Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Hellow
Watani zangu watu wakigoma wahaa Kwanini mwapenda sana kufanya kazi za kusafisha kucha hakuna kazi nyingine?
Dar mmekuja kusafisha kucha wazaramu au uko kigoma inatolewa ujuzi wa kusafisha kucha tu pekee yake tujuzane?
Mbona kuna kazi nyingi why kusafisha kucha wahaa embu mtujibu