Watu wakigoma Dar mmekuja kufanya nini?

Watu wakigoma Dar mmekuja kufanya nini?

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Hellow

Watani zangu watu wakigoma wahaa Kwanini mwapenda sana kufanya kazi za kusafisha kucha hakuna kazi nyingine?

Dar mmekuja kusafisha kucha wazaramu au uko kigoma inatolewa ujuzi wa kusafisha kucha tu pekee yake tujuzane?

Mbona kuna kazi nyingi why kusafisha kucha wahaa embu mtujibu
 
Hahaha..
Pia wanauza madafu, na kahawa😁
 
Hellow

Watani zangu watu wakigoma wahaa Kwanini mwapenda sana kufanya kazi za kusafisha kucha hakuna kazi nyingine?

Dar mmekuja kusafisha kucha wazaramu au uko kigoma inatolewa ujuzi wa kusafisha kucha tu pekee yake tujuzane?

Mbona kuna kazi nyingi why kusafisha kucha wahaa embu mtujibu

Wakujibu wewe, si mtujibu, wastaarabu wanapongeza wahangaikaji wanaotafuta kipato cha halali, sio kuwabeza...
 
Back
Top Bottom