Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Ninyi ndio mnawapa vichwaIla jamani wabarikiwe kwa huduma wanayotupatia
Ila jamani wabarikiwe kwa huduma wanayotupatia
Hahaha..Hellow
Watani zangu watu wakigoma wahaa Kwanini mwapenda sana kufanya kazi za kusafisha kucha hakuna kazi nyingine?
Dar mmekuja kusafisha kucha wazaramu au uko kigoma inatolewa ujuzi wa kusafisha kucha tu pekee yake tujuzane?
Mbona kuna kazi nyingi why kusafisha kucha wahaa embu mtujibu
Wakimaliza kupaka kucha wanakupa happy ending?
Wewe mwehu nini?
Makasiriko ya nini wakati kauli yako ina utata
Sanaaa wabarikiwe huduma nafuu na nzuriIla jamani wabarikiwe kwa huduma wanayotupatia
Hellow
Watani zangu watu wakigoma wahaa Kwanini mwapenda sana kufanya kazi za kusafisha kucha hakuna kazi nyingine?
Dar mmekuja kusafisha kucha wazaramu au uko kigoma inatolewa ujuzi wa kusafisha kucha tu pekee yake tujuzane?
Mbona kuna kazi nyingi why kusafisha kucha wahaa embu mtujibu
Sanaaa wabarikiwe huduma nafuu na nzuri