Watu waliofanya mitihani zamani wote wamenyimwa mikopo

Mkuu umekashushia makavu!! Sasa hivi kamekuwa kapole utafikiri kananyolewa! Na mimi kuna kikaragosi eti kinanipigia mayowe utafikiri mimi ndiyo bodi!

Kachalii kalikuwa na mbwembwe sana sasahivi chali.
 
tumuombe mungu atasaidia inshallah

Kweli mkuu nami namuomba MUNGU awasaidie wengine wapate wewe hata usipopata utajilipia tu coz ka uliweza kujlpia olevel na alevel chuo hamna shida.HESLB plz waangalien hawa watu
 
mimi kuna jamaa yangu amemaliza 2001 amepata tena asilimia mia halafi mimi nimemaliza 2006 sijapata hata nauli tu ya kuhangaika huku na kule kufanya hizo application zao for nothing.wanaboa sana kwakweli,nimeamini ndiomaana kuna watu wanafanyaga matukio ya ajabu sana halafu wanaonekanaga sio kumbe kuna wasababishi na siku zote MUANZAJI HAONEKANAGI ILA MMALIZAJI NDIO ANAONEKANAGA
 
Mdau yani sielewi hata wametumia vigezo gani,mimi nimemaliza form 4 mwaka 2006 na nimechaguliwa CIVIL ENGINEERING ya ARDHI lakini wamenitosa mkopo
 
wadau eeh,msifike huko bhana kuzozana sio mpango,wote vijana na wote bado tupo kwenye mapambano,kama nimto wote bado hatujavuka mto tunachotofautiana ni namna tu ya uvukaji wa huu mto,kuna wengine tunavuka kwa miguu huku tunaomba mungu tuvuke salama tusije liwa na mamba,na kuna wengine wanavuka na mtumbwi huku wanaomba mungu pia mtumbwi usije pinduka wakaja liwa na mamba pia.so chamsingi tushikamane na kuombeana safari bado ni ndefu na tunapoenda ndio pagumu kuliko hapa tulipo.God bless to EVERYBODY,PA1
 
Yeah..nimeiona some where iyo kitu, wamemnyima mkopo na sababu wameandika hajamaliza form six au diploma ndani ya miaka mitatu ilopita, kama wapo walopata na hawajafanya mitihani ndani ya miaka mitatu ilopita basi HESLB watakuw ni wababaishaji kupita maelezo.
 
wanatafuta visababu visivyo vya msingi, nimemaliza dip 2012 au wanacheck miaka ya kumaliza fomu 4?
 
mi mbn nimemalz dip mwaka jana tu, na nimekosa..
 

Hii ni haki kweli eti bageti haitoshi/imeisha kweli?? Mimi jumatatu naenda kufia bodi mpaka kieleweke..
 

mimi nimemaliza diploma mwaka jana 2012 lakini wameninyima mkopo
 
Na kwanini hawakusema tangu awali aliyemariza miaka mitatu nyuma hatopewa mkopo hvy asihangaike kuombal? Heslb ni wezi wakubwa na kama wapo humu nawaambia nyinyi ni wezi,matapeli wakubwa.hv mgesema tangu awali aliyemariza miaka mitatu nyuma hapewi mkopo mtu huyo angeomba huo mkopo? Mlitaka mkusanye elfu thelathini zao za bure, mlaaniwe milele na pesa hizo mlizotudhurumu ninaomba zikawasababishie mfe kifo kibaya kabisa, wengine mkafukuzwe kazi.mbw nyie.
 

dogo ingia katika website ya bodi ya mikopo ya zanzibar uangalie jina langu,mimi nina plan b
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…