Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umekashushia makavu!! Sasa hivi kamekuwa kapole utafikiri kananyolewa! Na mimi kuna kikaragosi eti kinanipigia mayowe utafikiri mimi ndiyo bodi!
tumuombe mungu atasaidia inshallah
Tukutane geology
safi sana jembe langu huyu dogo alikuwa anajifanya mjuaji na pia wa kishua,kumbe choka mbaya tu....
wanatafuta visababu visivyo vya msingi, nimemaliza dip 2012 au wanacheck miaka ya kumaliza fomu 4?
mi mbn nimemalz dip mwaka jana tu, na nimekosa..
Yeah..nimeiona some where iyo kitu, wamemnyima mkopo na sababu wameandika hajamaliza form six au diploma ndani ya miaka mitatu ilopita, kama wapo walopata na hawajafanya mitihani ndani ya miaka mitatu ilopita basi HESLB watakuw ni wababaishaji kupita maelezo.
Form six au diploma.
View attachment 115196
Hii ni haki kweli eti bageti haitoshi/imeisha kweli?? Mimi jumatatu naenda kufia bodi mpaka kieleweke..
wameaza lini kuweka sababu ya kukosa mkopo mana account zingine ni not secure tu. Ila pole sana, nenda kapiganie haki yako utapata
mimi kuna jamaa yangu amemaliza 2001 amepata tena asilimia mia halafi mimi nimemaliza 2006 sijapata hata nauli tu ya kuhangaika huku na kule kufanya hizo application zao for nothing.wanaboa sana kwakweli,nimeamini ndiomaana kuna watu wanafanyaga matukio ya ajabu sana halafu wanaonekanaga sio kumbe kuna wasababishi na siku zote MUANZAJI HAONEKANAGI ILA MMALIZAJI NDIO ANAONEKANAGA