Watu waliofanya mitihani zamani wote wamenyimwa mikopo

Sasa hivi umenyoka kinyama,mimi na geology yng udom ulinidc sana bt nmelamba mkopo wa maana cna kilalulalu ka wewe.Ulkuwa unavunga mjanja ngja ukose 2 salama na uclas yako unajdai mtoto wa doss kumbe choka 2 now unataka kuzaa na HESLB kisa umenymwa mkopo wewe pimbi 2.

Mkuu umekashushia makavu!! Sasa hivi kamekuwa kapole utafikiri kananyolewa! Na mimi kuna kikaragosi eti kinanipigia mayowe utafikiri mimi ndiyo bodi!
 
Tukutane geology
 
safi sana jembe langu huyu dogo alikuwa anajifanya mjuaji na pia wa kishua,kumbe choka mbaya tu....
 
kwasababu ulikuwa mjuaji acha dunia ikufundishe,ningeweza kukusaidia ukapata hilo boom´kwa kuwa wewe ni much know...nenda ukafight kila la heri mdogo wangu.
we pimbi tu huna lolote,mm nitajilipia tu wala sina shida,hio bodi nilijua kama mkopo sio guarantee
 
Sasa hivi umenyoka kinyama,mimi na geology yng udom ulinidc sana bt nmelamba mkopo wa maana cna kilalulalu ka wewe.Ulkuwa unavunga mjanja ngja ukose 2 salama na uclas yako unajdai mtoto wa doss kumbe choka 2 now unataka kuzaa na HESLB kisa umenymwa mkopo wewe pimbi 2.
dogo mm nipo zangu zanzibar na wala sina mpango wa kuja huko,najua kama ni wewe uliekosa ulikua umeshajiua hivi sasa,pia nina plan B kwa vile mimi ni mznzibar tuna bodi yetu ya mikopo huku,na najua siwezi kukosa,na planC kujilipia coz nimejilipia tokea olevel..
 
Mkuu umekashushia makavu!! Sasa hivi kamekuwa kapole utafikiri kananyolewa! Na mimi kuna kikaragosi eti kinanipigia mayowe utafikiri mimi ndiyo bodi!
wewe unabakwa na wazazi wako,kukosa mkopo sijalia kama unavyofkiria,ile ni haki yangu kupata,na wala sitokwenda bodi kulialia coz najua nina alternative nyengine,tukutane UCLAS tar7,nenda zako huko kwenye chuo chako cha CCM huko
 
maku wewe unaogongwa na wazazi wako,still nakwenda kusoma course bora kuliko wewe...

Subiri umalize ukipata ajira ndo uta-conclude ubora wa kozi yako if that is the case!
afu starabika humu si wote waatoto wadogo so acha abusing language!
 
utanifanya nini..??siwezi kukosa kazi,mimi engineer wewe
 
samahani kwa kuingilia conversation za watu hapa but sidhani kama kukimbilia course za vipaumbele ndo kupata mkopo mimi ni mfano tosha tu nina kila vigezo nilimaliza form for 2007 na form six 2010 na pia nilichagua kusoma education nkapata chuo stefano moshi but mkopo wameninyima,kwa vigezo gani SIELEWI na pia washkaj zangu wamechaguliwa engineering wamekosa mkopo,SIELEWI vigezo gani maana sijawahi kuona mtu wa engineering kakosa mkopo ndo nmeshuhudia mwaka huu!!
 
wewe unabakwa na wazazi wako,kukosa mkopo sijalia kama unavyofkiria,ile ni haki yangu kupata,na wala sitokwenda bodi kulialia coz najua nina alternative nyengine,tukutane UCLAS tar7,nenda zako huko kwenye chuo chako cha CCM huko

Unafikri wote waliopata mkopo wamebebwa na ccm wew!??

Nyambafff!! Kwa taarifa yako mimi naenda SUA Kozi moja matata sana pale, nahisi utakuwa umeifehemu au vipi? Kikorokoto wewe!!
 
nilichogundua applicant waliofanya mitihani zamani eg 2002,2004,2006,2003 bodi imewanyima mikopo maana kila anaetoa namba yake hapa inaonyesha amekosa,..poleni mungu atafungua milango mengine

huu uchunguzi umeufanyie kichaka gani??? sample size, tittle ya rearch, na imefanywa na nani?? na dhumuni ni nini?
 
hivi waliomaliza miaka ya nyuma{Nyuma Ya 2010} wanaweza kupata mkopo wakijaza non-priority programme?
 
S0207/0036/2004 kapewa 85% xo co hao waliotoka A-level ndio wana majanga weng
 
Back
Top Bottom