Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Makamu mwenyekiti wa Chadema Taifa, akiwa kule Nairobi Kenya akifanya mahojiano na kituo kimoja cha television na nguli moja wa habari anaitwa Paul Nabiswa, sia alieleza kwamba kwasasa Chadema ni vuguvugu na, ni kama ina wawenge hivi 🤣Gentleman!
Unamatusi ya Rejereja kwa CHADEMA. Wewe ni mtani wao?
Unaelewa nini kuhusu kubadili gear angani?
Nani waasisi wa kubadili gear angani?
Kuwaita Wanachadema wanamawenge sio Sawa gentleman
hayo sio maneno yangu gentleman.
hata hivyo,
mpaka kubadili gia angani, yapo mambo makuu mawili yanazungumzwa.
nisamehe kwa maelekezo marefu kidogo.
Jambo la kwanza,
ni kwamba, makamu mwenyekiti amesense na kuthibitisha kupitia vyombo vyake binafsi kwamba, there is no way atashinda umamakamu mwenyekiti Taifa chadema kwenye uchaguzi huu. Na tatizo ni uzibe, mizizi imara na nguvu ya ushawishi wa kiongozi wa chama wa sasa.
Na hiyo maana yake, akikosa kua makamu mwenyekiti wa Chadema Taifa, hawezi pia kupata fursa au nafasi ya kua mgombea urais kupitia chadema. Mambo haya ndiyo hasa ndiyo yakamlazimu kuchukua uamuzi wa kupambana na hivyo vizingiti huko juu.
Kumbuka, tayari ameshaandaa destination mpya ikiwa hatafanikiwa kumbeat mwamba wa kaskazini, kwasababu haitawezekana tena kuishi ndani ya chadema.
Jambo la pili,
hili ni la kimkakati na ni la kimataifa.
Wakati akipikea matibabu huko ughaibuni, mabwenyenye mbalimbali wa huko walimuhoji kulikoni ukawa hivyo,
kwa kujiamini sana muungwana aliwaeleza kwamba ilikaribia kidogo sana niwe Rais wa nchi, kwasababu nina ufuasi na ushawishi mkubwa nmo nchini mwangu, kwahiyo hii ndiyo njia waliitumia kunislow down,
hata hivyo sijakata tamaa, bado na nia ya kua Rais,. Akawambia mkinisaidia nikapona, halafu mkanibackup au mkanifadhili kwa hali na mali kidogo tu, nitashinda urais kirahisi sana kwasababu bado ni akubalika sana. Muungwana akasahau kwamba anawahadaa mabwenyenye..
Sasa wakati umefika na uchaguzi umekaribia. Mtakumbuka hata kujiandikisha kupiga kura hakujiandikisha. Alipoenda Akawambia sasa maandalizi ya uchaguzi ndani ya chama yameanza, nifanyieni mafekeche ya mkwanja basi?
mabwenyenye yakamuuliza unagombea? Mungwana akajibu Yes, ila aliposema anagombea umakamu mwenyekiti, yakaguna na kujawa baridi kwamba muungwana hayuko serious.
wakamuuliza,
wewe si umedai ushawishi wako ni mkubwa na wafuasi wako ni wengi, iweje ugombee umakamu mwenyekiti badala ya uenyekiti Taifa? Maana yake your not influencial right?
Muungwana akapata baridi kidogo 🤣
ndipo akawatangazia mabwenyenye kwamba anakuja kugombea uenyekiti Taifa ili hatimae apate fursa ya kugombea urais kwa ufadhili and mabenyenye,
stay tuned,
haijaisha 🐒