Watu waliokataa Magufuli asiongezewe Miaka ndio haohao wanashadadia Mbowe aendelee kuongoza. Ndio haohao wanakapinga CCM isiendelee! Unafiki mtupu!

Watu waliokataa Magufuli asiongezewe Miaka ndio haohao wanashadadia Mbowe aendelee kuongoza. Ndio haohao wanakapinga CCM isiendelee! Unafiki mtupu!

Gentleman!
Unamatusi ya Rejereja kwa CHADEMA. Wewe ni mtani wao?

Unaelewa nini kuhusu kubadili gear angani?
Nani waasisi wa kubadili gear angani?

Kuwaita Wanachadema wanamawenge sio Sawa gentleman
Makamu mwenyekiti wa Chadema Taifa, akiwa kule Nairobi Kenya akifanya mahojiano na kituo kimoja cha television na nguli moja wa habari anaitwa Paul Nabiswa, sia alieleza kwamba kwasasa Chadema ni vuguvugu na, ni kama ina wawenge hivi 🤣

hayo sio maneno yangu gentleman.

hata hivyo,
mpaka kubadili gia angani, yapo mambo makuu mawili yanazungumzwa.

nisamehe kwa maelekezo marefu kidogo.

Jambo la kwanza,
ni kwamba, makamu mwenyekiti amesense na kuthibitisha kupitia vyombo vyake binafsi kwamba, there is no way atashinda umamakamu mwenyekiti Taifa chadema kwenye uchaguzi huu. Na tatizo ni uzibe, mizizi imara na nguvu ya ushawishi wa kiongozi wa chama wa sasa.

Na hiyo maana yake, akikosa kua makamu mwenyekiti wa Chadema Taifa, hawezi pia kupata fursa au nafasi ya kua mgombea urais kupitia chadema. Mambo haya ndiyo hasa ndiyo yakamlazimu kuchukua uamuzi wa kupambana na hivyo vizingiti huko juu.

Kumbuka, tayari ameshaandaa destination mpya ikiwa hatafanikiwa kumbeat mwamba wa kaskazini, kwasababu haitawezekana tena kuishi ndani ya chadema.

Jambo la pili,
hili ni la kimkakati na ni la kimataifa.
Wakati akipikea matibabu huko ughaibuni, mabwenyenye mbalimbali wa huko walimuhoji kulikoni ukawa hivyo,

kwa kujiamini sana muungwana aliwaeleza kwamba ilikaribia kidogo sana niwe Rais wa nchi, kwasababu nina ufuasi na ushawishi mkubwa nmo nchini mwangu, kwahiyo hii ndiyo njia waliitumia kunislow down,

hata hivyo sijakata tamaa, bado na nia ya kua Rais,. Akawambia mkinisaidia nikapona, halafu mkanibackup au mkanifadhili kwa hali na mali kidogo tu, nitashinda urais kirahisi sana kwasababu bado ni akubalika sana. Muungwana akasahau kwamba anawahadaa mabwenyenye..

Sasa wakati umefika na uchaguzi umekaribia. Mtakumbuka hata kujiandikisha kupiga kura hakujiandikisha. Alipoenda Akawambia sasa maandalizi ya uchaguzi ndani ya chama yameanza, nifanyieni mafekeche ya mkwanja basi?

mabwenyenye yakamuuliza unagombea? Mungwana akajibu Yes, ila aliposema anagombea umakamu mwenyekiti, yakaguna na kujawa baridi kwamba muungwana hayuko serious.

wakamuuliza,
wewe si umedai ushawishi wako ni mkubwa na wafuasi wako ni wengi, iweje ugombee umakamu mwenyekiti badala ya uenyekiti Taifa? Maana yake your not influencial right?

Muungwana akapata baridi kidogo 🤣

ndipo akawatangazia mabwenyenye kwamba anakuja kugombea uenyekiti Taifa ili hatimae apate fursa ya kugombea urais kwa ufadhili and mabenyenye,

stay tuned,
haijaisha 🐒
 
Lissu ni mwanachadema ana haki ya kulaamikia chochote ndani ya CHADEMA, wewe mwanaCCM huna haki ya kulalamikia chochote ndani ya CHADEMA, unatakiwa ulalamikie mambo yaliyo ndani ya CCM.
Lissu hafai kuwa kiongozi mwenye maamuzi ya mwisho katika jambo lolite. Ametawaliwa na jazba, dharau na kisasi. Ni mtu anayedhani ana akili kuliko watu wengi, ni dikteta wa kiwango cha Magufuli
 
Yanga/Simba haiendeshwi kwa Kodi zetu, lkn CDM inaendeshwa kwa Kodi za wananchi ndio maana CAG anawakagua matumizi yao.
Serikali ina utaratibu wa kugawa pesa za walipa kodi katika SACCOS?
CHADEMA haindeshwi kwa kodi za wananchi inapewa ruzuku kama ambavyo makanisa na misikiti wanavyopewa ruzuku na serikali.
 
Mtoa hoja huna akili hata kidogo ila usiseme nakutukana. Hujui kuwa kwa Magufuli Katiba ilikuwa haimruhusu kuongeza hata siku moja baada ya mihula yake miwili wakati Mbowe yeye katiba ya chama chake haina ukomo, inamruhusu kugombea hata milele akitaka. Suala ni KATIBA
Wewe ndio huna akili ambae hujui kuwa KATIBA ya CDM ilikua na ukomo wa miaka 10, lkn 2006 ikafanyiwa mabadiliko kuondoa ukomo. Kama ambavyo hio katiba haikumruhusu Magufuli lkn chawa wake wakawa wanasema ifanyiwe mabadiliko kwa kuondoa ukomo wenye akili tukawakatalia kwa nguvu na kelele zote.
 
Badala ya kupiga porojo zako ungepigania mambo ya serikali yatenganishwe na chama.
Na sio nchi zetu hizi, sema Tanzania. Kenya, Zambia, Malawi, Ghana, Senegal na nchi nyingine nying tu za Afrika wamefanikiwa kutenganisha chama na serikali.

Serikali ipi?
Serikali hii ya CCM sio Chama?
Au hujui serikali yetu ni chama cha mapinduzi?

CHADEMA ndio inajinasibu itakuwa tofauti na CCM(serikali iliyopo madarakani) lakini mienendo yake inafanana na CCM.

Mfano, wewe unasema Mimi sio mwanachadema sipaswi kuongea mambo ya CHADEMA.
Unataka niiseme serikali kama Nani?
Mimi sio mserikali.
Mimi sio CCM.

Hoja yako Ile, inakujia wewe MWENYEWE kuwa hata wewe HUTAKIWI kuisema serikali kwa sababu wewe sio mserikali na wewe sio CCM.

Mwisho utajigundua kuwa unamawe mawili ya kupimia, au unandimi mbili.
 
Chama ni Mali ya Umma na kikipata kura nyingi za Wananchi kinapata Ruzuku ambayo ni Kodi za Wananchi

Hapa unasemaje Chama sio Mali ya Umma?
Mbona hata makanisa na misikiti wanapata ruzuku ya serikali? Je nayo ni mali ya umma?
 
Serikali ina utaratibu wa kugawa pesa za walipa kodi katika SACCOS?
CHADEMA haindeshwi kwa kodi za wananchi inapewa ruzuku kama ambavyo makanisa na misikiti wanavyopewa ruzuku na serikali.
Kwa nini CDM inakaguliwa matumizi yake, huku Makanisa na misikiti wakiwa hawakaguliwi?..
 
Serikali ina utaratibu wa kugawa pesa za walipa kodi katika SACCOS?
CHADEMA haindeshwi kwa kodi za wananchi inapewa ruzuku kama ambavyo makanisa na misikiti wanavyopewa ruzuku na serikali.

Kanisa gani linapewa ruzuku?
Shilingi ngapi na kwa utaratibu upi?
 
Chama ndio serikali.
Kwa tawala za nchi Zetu. Ukikitaja chama unazungumzia serikali na ukitaja serikali unazungumzia chama.

Mpaka hapo utaona ugumu wa kukitoa chama kilichopo madarakani kwa sababu hapo unazungumzia kuitoa serikali madarakani.

Kwa upande wa chama, yaani level ya chama.
Hujawahi kujiuliza kwa nini mbunge wa chama Fulani yeye kila mwaka ndiye anagombea Jimbo Fulani kana kwamba hakuna watu wengine?

Au upande wa viti maalumu.
Chama ndiyo serikali iliyopo madarkani. Serikali iliyopo madarkani ndiyo chama chao ungekihoji Kwa nini hakipendi mabadiliko kwenye katiba Yao. Hivi ni Kwa nini rais aliyetokana na CCM lazima awe mwenyekiti wa chama? Maana ukishachaguliwa kuwa rais wa nchi, hupaswi kupendelea watu unaowaongoza kwakuwa wote ni wananchi wako.? Napendekeza rais asiwe m/kiti wa chama. Pia tunachojadili bado hakijatokea maana hata uchaguzi huo wa chama Cha chadema bado unakuja.
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema Taifa, akiwa kule Nairobi Kenya akifanya mahojiano na kituo kimoja cha television na nguli moja wa habari anaitwa Paul Nabiswa, sia alieleza kwamba kwasasa Chadema ni vuguvugu na, ni kama ina wawenge hivi 🤣

hayo sio maneno yangu gentleman.

hata hivyo,
mpaka kubadili gia angani, yapo mambo makuu mawili yanazungumzwa.

nisamehe kwa maelekezo marefu kidogo.

Jambo la kwanza,
ni kwamba, makamu mwenyekiti amesense na kuthibitisha kupitia vyombo vyake binafsi kwamba, there is no way atashinda umamakamu mwenyekiti Taifa chadema kwenye uchaguzi huu. Na tatizo ni uzibe, mizizi imara na nguvu ya ushawishi wa kiongozi wa chama wa sasa.

Na hiyo maana yake, akikosa kua makamu mwenyekiti wa Chadema Taifa, hawezi pia kupata fursa au nafasi ya kua mgombea urais kupitia chadema. Mambo haya ndiyo hasa ndiyo yakamlazimu kuchukua uamuzi wa kupambana na hivyo vizingiti huko juu.

Kumbuka, tayari ameshaandaa destination mpya ikiwa hatafanikiwa kumbeat mwamba wa kaskazini, kwasababu haitawezekana tena kuishi ndani ya chadema.

Jambo la pili,
hili ni la kimkakati na ni la kimataifa.
Wakati akipikea matibabu huko ughaibuni, mabwenyenye mbalimbali wa huko walimuhoji kulikoni ukawa hivyo,

kwa kujiamini sana muungwana aliwaeleza kwamba ilikaribia kidogo sana niwe Rais wa nchi, kwasababu nina ufuasi na ushawishi mkubwa nmo nchini mwangu, kwahiyo hii ndiyo njia waliitumia kunislow down,

hata hivyo sijakata tamaa, bado na nia ya kua Rais,. Akawambia mkinisaidia nikapona, halafu mkanibackup au mkanifadhili kwa hali na mali kidogo tu, nitashinda urais kirahisi sana kwasababu bado ni akubalika sana. Muungwana akasahau kwamba anawahadaa mabwenyenye..

Sasa wakati umefika na uchaguzi umekaribia. Mtakumbuka hata kujiandikisha kupiga kura hakujiandikisha. Alipoenda Akawambia sasa maandalizi ya uchaguzi ndani ya chama yameanza, nifanyieni mafekeche ya mkwanja basi?

mabwenyenye yakamuuliza unagombea? Mungwana akajibu Yes, ila aliposema anagombea umakamu mwenyekiti, yakaguna na kujawa baridi kwamba muungwana hayuko serious.

wakamuuliza,
wewe si umedai ushawishi wako ni mkubwa na wafuasi wako ni wengi, iweje ugombee umakamu mwenyekiti badala ya uenyekiti Taifa? Maana yake your not influencial right?

Muungwana akapata baridi kidogo 🤣

ndipo akawatangazia mabwenyenye kwamba anakuja kugombea uenyekiti Taifa ili hatimae apate fursa ya kugombea urais kwa ufadhili and mabenyenye,

stay tuned,
haijaisha 🐒

Lisu ashinde au asishinde tunazingatia hoja zake.

CHADEMA inahitaji Mwenyekiti mpya
 
Chama ndiyo serikali iliyopo madarkani. Serikali iliyopo madarkani ndiyo chama chao ungekihoji Kwa nini hakipendi mabadiliko kwenye katiba Yao. Hivi ni Kwa nini rais aliyetokana na CCM lazima awe mwenyekiti wa chama? Maana ukishachaguliwa kuwa rais wa nchi, hupaswi kupendelea watu unaowaongoza kwakuwa wote ni wananchi wako.? Napendekeza rais asiwe m/kiti wa chama. Pia tunachojadili bado hakijatokea maana hata uchaguzi huo wa chama Cha chadema bado unakuja.

Hayo ndio tunalalamikia Miaka nenda Rudi lakini inashangaa vyama vya upinzani vikifanya yaleyale. Hiyo ndio Hoja.
 
Mfano, wewe unasema Mimi sio mwanachadema sipaswi kuongea mambo ya CHADEMA.
Unataka niiseme serikali kama Nani?
Mimi sio mserikali.
Mimi sio CCM.

Hoja yako Ile, inakujia wewe MWENYEWE kuwa hata wewe HUTAKIWI kuisema serikali kwa sababu wewe sio mserikali na wewe sio CCM.

Mwisho utajigundua kuwa unamawe mawili ya kupimia, au unandimi mbili.
Mambo ya CHADEMA unayotakiwa kuongelea ni sera zake ambazo wamesema watatumia kutawala nchi, sio jinsi wanavyowapata viongozi hususani kama hawavunji sheria zozote za nchi. Mwenyekiti wa CHADEMA anavyopatikana haimuathiri mwananchi yeyote kwa namna yeyote ile.
Mserikali ni kitu gani?
Serikali inawajibika kwa raia wote, sio waserikali na CCM tu. Serikali ya Tanzania inawajibika kwa raia wote Watanzania hata walio wafungwa magerezani. Huelewei nini hapo?!
 
Kwa nini unipangie mambo ya kuongea kuhusu CHADEMA.
Alafu nyienyie mnakataza na kupiga kelele mnapoona serikali ikizuia watu wasiseme baadhi ya issues?

Mmeamua kujidhalilisha?

Yaani kama wewe unaitamkaga demokrasia, sijui HAKI za binadamu lakini kumbe ni unafiki unaokusumbua.
 
Magufuli alikuwa Rais wa nchi, Mbowe ni mwenyekiti wa CHADEMA.
Nchi ni ya watu wote, wenye vyama na wasio na vyama, wenye dini, wasio na dini wapagani n.k
CHADEMA ni ya wanachadema

Magufuli alikuwa Rais wa nchi, Mbowe ni mwenyekiti wa CHADEMA.
Nchi ni ya watu wote, wenye vyama na wasio na vyama, wenye dini, wasio na dini wapagani n.k
CHADEMA ni ya wanachadema
Duuuh.....

Kuna mawili hapa.

Mosi unajua ulichoandika ni crap lakini hauna jinsi nyingine maana ndicho kinachokuweka mjini.

Pili wewe ni wale watu waliopata platform ya kuandika au kuskika ila kuna virutubisho ubongo ulikosa.
 
Mpo salama!

Watu wenye ndimi mbili. Watu wenye mawe mawili ya kupimia ni watu Hatari Sana popote walipo. Ni watu wanafiki na muda wowote wanaweza kukuuza.

Alipokuwepo Magufuli, Chawa wake walitoa maoni Yao kuwa Magufuli aongezewe Muda, Magufuli atawale milele, na kama Magufuli angekataa wapo walioapa wangemshikia kiboko kumlazimisha aendelee kutawala. Yalikuwa ni maoni Yao.

Sisi wengine maoni yetu tulikataa tukasema Hapana. Miaka yake ikiisha inatosha. Wengine tukasema Katiba hairuhusu lakini Katiba ni kitabu tuu tunaweza kukibadilisha sehemu ndogo (Constitution amendment) ili kuweka kipengele cha kuongeza Muda.

Haya walewale ambao waliwaka, walimkalia kooni JPM ambaye yeye mwenyewe hata hakuwahi kusema ataongeza Miaka zaidi ya yeye kutamka hataongeza Miaka. Leo hii kile walichokuwa hawakitaki kwa JPM wanakifanya kwenye chama Chao.

Mbowe hata angekuwa kiongozi mzuri kama Malaika, kumuongezea Miaka mingine juu ya ishirini sio Sawa.

Alafu Mbowe angetakiwa aonyeshe uzuri wake katika kuandaa viongozi wengine wazuri zaidi yake wa kumrithi.

Siongei kumtetea Lisu awe kiongozi nope! Anaweza kugombea mtu mwingine Nje ya Lisu na akawa kiongozi wa CHADEMA hii itaonyesha kuwa CHADEMA inaakiba ya kutosha ya viongozi.

Kama kuna watu wanaona Mbowe aendelee Basi wasishangae wale wanaoona CCM iendelee.

Wanasema Mbowe kaitoa CHADEMA Mbali.
Watu wanasema CCM imeitoa nchi Mbali.

Uongozi mzuri ni pamoja na kuweza kuachia nafasi wengine waongoze.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Kwa hio magufuli alitaka ukomo wa chama chake uondolewe au ukomo wa kuongoza nchi Yani ccm ni kokoro la matakataka.
 
Back
Top Bottom