Watu waliokataa Magufuli asiongezewe Miaka ndio haohao wanashadadia Mbowe aendelee kuongoza. Ndio haohao wanakapinga CCM isiendelee! Unafiki mtupu!

Kwa nini kama CHADEMA, ACT na vyama vingine vyote vya upinzani ni dhaifu msijichange mkaanzisha chama kingine cha upinzani kitakachokuwa imara kupambana na CCM??
MBOWE ALIPOINGIA MAKUBALIANO NA SAMIA MOJA YA AJENDA YA SIRI WALIYO KUBALIANA NI KUTOKURUHUSU CHAMA CHOCHOTE KIPYA CHA SIASA KWA SASA ...Huo mtego ...mbowe alijua kuzuia chama kipya ni kuzuia wafuasi wa JPM wakose chama mbadala na kusababisha chadema ibaki kuwa chama kikuu cha upinzani na samia alikusudia hivyo hivyo kwa ccm kuwakwamisha wanao ichukia ccm na wafuasi wa JPM kukosa mbadala ...ndiyo unaona leo watu awahitaki CCM na upinzani pia ila watu wamekosa mbadala
 
Kwa hiyo sasa wafuasi wa JPM wanakaa upande gani kuelekea 2025?
CCM imeshindaje kwa 99% na mamilioni ya kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliosimamiwa na Mchengerwa??
 
Mpo salama!

Watu wenye ndimi mbili. Watu wenye mawe mawili ya kupimia ni watu Hatari Sana popote walipo. Ni watu wanafiki na muda wowote wanaweza kukuuza.

Alipokuwepo Magufuli, Chawa wake walitoa maoni Yao kuwa Magufuli aongezewe Muda, Magufuli atawale milele, na kama Magufuli angekataa wapo walioapa wangemshikia kiboko kumlazimisha aendelee kutawala. Yalikuwa ni maoni Yao.

Sisi wengine maoni yetu tulikataa tukasema Hapana. Miaka yake ikiisha inatosha. Wengine tukasema Katiba hairuhusu lakini Katiba ni kitabu tuu tunaweza kukibadilisha sehemu ndogo (Constitution amendment) ili kuweka kipengele cha kuongeza Muda.

Haya walewale ambao waliwaka, walimkalia kooni JPM ambaye yeye mwenyewe hata hakuwahi kusema ataongeza Miaka zaidi ya yeye kutamka hataongeza Miaka. Leo hii kile walichokuwa hawakitaki kwa JPM wanakifanya kwenye chama Chao.

Mbowe hata angekuwa kiongozi mzuri kama Malaika, kumuongezea Miaka mingine juu ya ishirini sio Sawa.

Alafu Mbowe angetakiwa aonyeshe uzuri wake katika kuandaa viongozi wengine wazuri zaidi yake wa kumrithi.

Siongei kumtetea Lisu awe kiongozi nope! Anaweza kugombea mtu mwingine Nje ya Lisu na akawa kiongozi wa CHADEMA hii itaonyesha kuwa CHADEMA inaakiba ya kutosha ya viongozi.

Kama kuna watu wanaona Mbowe aendelee Basi wasishangae wale wanaoona CCM iendelee.

Wanasema Mbowe kaitoa CHADEMA Mbali.
Watu wanasema CCM imeitoa nchi Mbali.

Uongozi mzuri ni pamoja na kuweza kuachia nafasi wengine waongoze.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Wewe ni mtu unayeheshimika sana, wengi tunaamini una uelewa mpana sana.
Chadema hakijawahi kushika dola, Kiko kwenye harakati za kupambana kushika dola. Kuongoza chama siyo SAWA na kuongoza nchi. Mashariki ya kati nchi ya Israel inaongoza kwa kuwa na demokrasia Bora kuliko wote ukanda ule, lakini huyu Netanyahu amekuwa waziri mkuu kwa muda gani?
Kama Chadema akiwemo Lisu mwenyewe waliondoa ukomo wa madaraka, na yeye amekiri alisimamia mapatano ya kuhakikisha waliojitokeza kuhoji au kubadilisha mfumo aliwashughulikia kama msimamizi mkuu wa nidhamu ndani ya chama, Kwa Nini tusisubiri mchakato mzima uanze na kuisha na siye tukosoe pale ambako hapakuwa sawa?
Ikiwa Kuna haja ya kuweka ukomo hilo si linawezekana kwenye vikao vya chama na ni rahisi tu!!
Tuhuma za chama cha ccm kuingilia uchaguzi hilo halikwepeki, Chadema ni tishio kwa ccm sana tu.
Sisi wengine ni watu wazima, tulishuhudia nguvu ya Mrema, 1995 na ukweli tushukuru sana uwepo wa Mwl. Nyerere ambaye alisaidia sana kuidhibiti serikali isiingilie kampeni za wagombea. Ilifikia hatua Mwalimu anahutubia huku magari yenye vipasa sauti vyenye sauti kubwa na mziki,vikikatiza kwenye mikutano yake ya kumnadi Mkapa na kusimamisha mkutano kwa muda, lakini Mwalimu hakupaniki bali aliwavumilia tu,je Hawa watawala na polisi tulionao sasa wanaweza kuvumilia na watadhibitiwa na nani?
Kama kweli tunataka mabadliko ni wananchi ndio wanayaanzisha, Mrema aliweza kwa kuwa alikuwa na mtaji wa watu ambao aliwapata akiwa waziri wa mambo ya ndani, japo kiuhalisia hakufaa kuwa Rais, kutokana na style yake ya kutoheshimu Sheria na haki za binadamu.
Tundu Lisu ni jasiri na ana uthubutu wa kufanya chochote bila kujali kitamgharimu nini, binafsi, ukweli tunaomsikia tunamuamini,hata hivyo wapo wanaofanya naye kazi kwa karibu kwenye ofisi Moja,ni viziri nao tuwasikilize wanamuonaje?
Amelalamikia kuhusu rushwa ndani ya Chadema, basi afanye kama alivyofanya Dr. Slaa Mwembechai, 2008/2010 kututajia hao waliopewa na Abdul.
 
Mpo salama!

Watu wenye ndimi mbili. Watu wenye mawe mawili ya kupimia ni watu Hatari Sana popote walipo. Ni watu wanafiki na muda wowote wanaweza kukuuza.

Alipokuwepo Magufuli, Chawa wake walitoa maoni Yao kuwa Magufuli aongezewe Muda, Magufuli atawale milele, na kama Magufuli angekataa wapo walioapa wangemshikia kiboko kumlazimisha aendelee kutawala. Yalikuwa ni maoni Yao.

Sisi wengine maoni yetu tulikataa tukasema Hapana. Miaka yake ikiisha inatosha. Wengine tukasema Katiba hairuhusu lakini Katiba ni kitabu tuu tunaweza kukibadilisha sehemu ndogo (Constitution amendment) ili kuweka kipengele cha kuongeza Muda.

Haya walewale ambao waliwaka, walimkalia kooni JPM ambaye yeye mwenyewe hata hakuwahi kusema ataongeza Miaka zaidi ya yeye kutamka hataongeza Miaka. Leo hii kile walichokuwa hawakitaki kwa JPM wanakifanya kwenye chama Chao.

Mbowe hata angekuwa kiongozi mzuri kama Malaika, kumuongezea Miaka mingine juu ya ishirini sio Sawa.

Alafu Mbowe angetakiwa aonyeshe uzuri wake katika kuandaa viongozi wengine wazuri zaidi yake wa kumrithi.

Siongei kumtetea Lisu awe kiongozi nope! Anaweza kugombea mtu mwingine Nje ya Lisu na akawa kiongozi wa CHADEMA hii itaonyesha kuwa CHADEMA inaakiba ya kutosha ya viongozi.

Kama kuna watu wanaona Mbowe aendelee Basi wasishangae wale wanaoona CCM iendelee.

Wanasema Mbowe kaitoa CHADEMA Mbali.
Watu wanasema CCM imeitoa nchi Mbali.

Uongozi mzuri ni pamoja na kuweza kuachia nafasi wengine waongoze.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
🙋‍♂️✍️🎯👌👍👊👏🤝🙏💐🎁🛡️
 
Kwa hiyo sasa wafuasi wa JPM wanakaa upande gani kuelekea 2025?
CCM imeshindaje kwa 99% na mamilioni ya kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliosimamiwa na Mchengerwa??
Samia awezi kufanya uchaguzi hata siku moja....2025 pia hakuta kuwa na uchaguzi wowote bali uhuni tu
 
Kuwa mwanachama wa cdm ni hairi sio lazima lakini kuwa mtanzania sio hiari so usilinganishe mifano miwili ya ovyo
 
wengine tukisema hii nchi ina viongozi wa hovyo hatumaanishi viongozi wa serikalini tu.
Hadi Kwenye ma vyama vya siasa kumejaa maviongozi ya hovyohovyo tu.
Mfano lipumba ni kiongozi wa hovyo sana, Mbowe pia ni kiongozi wa hovyo tu.
Ndio maana hii nchi imekwama
 
Wafuasi wa JPM wamejipangaje kwa hilo??
Sisi tuna furaha tu maana wapumbavu waliokataa neema ya kupata rais mzalendo ndiyo wanaolia na kusaga meno nitajie hata mtu mmoja wa jpm aliye matatani kwa sasa zaidi ya yulewa arusha ambaye naye kashinda kesi ...wasiojulikana wanafyeka wapumbavu waliomtukana JPM
 
Mpo salama!

Watu wenye ndimi mbili. Watu wenye mawe mawili ya kupimia ni watu Hatari Sana popote walipo. Ni watu wanafiki na muda wowote wanaweza kukuuza.

Alipokuwepo Magufuli, Chawa wake walitoa maoni Yao kuwa Magufuli aongezewe Muda, Magufuli atawale milele, na kama Magufuli angekataa wapo walioapa wangemshikia kiboko kumlazimisha aendelee kutawala. Yalikuwa ni maoni Yao.

Sisi wengine maoni yetu tulikataa tukasema Hapana. Miaka yake ikiisha inatosha. Wengine tukasema Katiba hairuhusu lakini Katiba ni kitabu tuu tunaweza kukibadilisha sehemu ndogo (Constitution amendment) ili kuweka kipengele cha kuongeza Muda.

Haya walewale ambao waliwaka, walimkalia kooni JPM ambaye yeye mwenyewe hata hakuwahi kusema ataongeza Miaka zaidi ya yeye kutamka hataongeza Miaka. Leo hii kile walichokuwa hawakitaki kwa JPM wanakifanya kwenye chama Chao.

Mbowe hata angekuwa kiongozi mzuri kama Malaika, kumuongezea Miaka mingine juu ya ishirini sio Sawa.

Alafu Mbowe angetakiwa aonyeshe uzuri wake katika kuandaa viongozi wengine wazuri zaidi yake wa kumrithi.

Siongei kumtetea Lisu awe kiongozi nope! Anaweza kugombea mtu mwingine Nje ya Lisu na akawa kiongozi wa CHADEMA hii itaonyesha kuwa CHADEMA inaakiba ya kutosha ya viongozi.

Kama kuna watu wanaona Mbowe aendelee Basi wasishangae wale wanaoona CCM iendelee.

Wanasema Mbowe kaitoa CHADEMA Mbali.
Watu wanasema CCM imeitoa nchi Mbali.

Uongozi mzuri ni pamoja na kuweza kuachia nafasi wengine waongoze.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Unawasema akina Yericko & CO???
Rule of law
 
Magufuli alikuwa Rais wa nchi, Mbowe ni mwenyekiti wa CHADEMA.
Nchi ni ya watu wote, wenye vyama na wasio na vyama, wenye dini, wasio na dini wapagani n.k
CHADEMA ni ya wanachadema
Haahaa unafiki hautaishi kamwe, wanasiasa waepuke ndimi 2
 
Lissu anajua 100% hawezi kushinda, na wahafidhina na wachumia tumbo ndani ya CHADEMA hawawezi kuruhu ashinde.
Lakini kama ataruhusiwa kugombea, au atafanyiwa mizengwe akakatwa atakua ameingia katika vitabu vya kihistoria, na angalau lengo lake moja litakuwa limefanikiwa!
Kumbuka Lissu ni mwanaharakati, wanaharakati lengo lao ni kupaza sauti, sauti ikisikika lengo limetimia!
Mkuu umeongea lini na lissu kuhusu huo ubashiri Wako? Je mbowe asipochukua fomu lissu hawezi mshinda odero?
 
Mbona Tanzania kila mwaka inachukua pesa za walipa kodi wa Marekani na Ulaya lakini bado inakataa ushoga??
Haahaa Kazi ipo, ndo maana watanzania walio wengi wanaamini lengo la wanasiasa ni kuvuna tu na sio vinginevyo
 
Najuta kupoteza muda wangu kuipambania CHADEMA miaka yote hii. Niliyakanusha ma-ccm yaliposema cdm ni saccos ya mtu.
Mtazamo wangu wa sasa. Heri tubaki na ccm tu. Zimwi likujualo .. kuliko zimwi jipya ambalo tayari limeonekana litang'ang'ania madaraka miaka 1000. Narudi kujituliza na Simba na Yanga. CCM KAMATIA HAPOHAPO. NA UCHAGUZI MKUU MWAKANI KAMA MWAKA HUU. SAFI SANA.
Huu mtazamo ndo unaosababisha wengi warudi nyuma, mbowe kapiga 20, anadai ni ya kukomaa, lipumba 25, linapokuja swala la ccm kutaka kubadili katiba kwenye ukomo wa uongozi, lipumba na mbowe wanazungumza mpaka mishipa ya shingo inawatoka kupinga😅😂
 
Mtoa hoja huna akili hata kidogo ila usiseme nakutukana. Hujui kuwa kwa Magufuli Katiba ilikuwa haimruhusu kuongeza hata siku moja baada ya mihula yake miwili wakati Mbowe yeye katiba ya chama chake haina ukomo, inamruhusu kugombea hata milele akitaka. Suala ni KATIBA
Haahaa kwani SI bunge lingebadili tu katiba? Shid nn?
 
Lissu hafai kuwa kiongozi mwenye maamuzi ya mwisho katika jambo lolite. Ametawaliwa na jazba, dharau na kisasi. Ni mtu anayedhani ana akili kuliko watu wengi, ni dikteta wa kiwango cha Magufuli
Haahaa machawa wa mbowe kazi mnayo...
 
Back
Top Bottom