LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Hilo kwa sasa Lumumba ndio furaha yaoMbowe ni hitaji la wananchi kwa sasa. Pia katiba ya CHADEMA inamruhusu kugombea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo kwa sasa Lumumba ndio furaha yaoMbowe ni hitaji la wananchi kwa sasa. Pia katiba ya CHADEMA inamruhusu kugombea.
Ila akili za Watanzania nyingi zina shida yaani unalinganisha urais na mwenyekiti wa chama? Hii haijakaa sawa!Haya walewale ambao waliwaka, walimkalia kooni JPM ambaye yeye mwenyewe hata hakuwahi kusema ataongeza Miaka zaidi ya yeye kutamka hataongeza Miaka. Leo hii kile walichokuwa hawakitaki kwa JPM wanakifanya kwenye chama Chao.
Mbowe hata angekuwa kiongozi mzuri kama Malaika, kumuongezea Miaka mingine juu ya ishirini sio Sawa.
Ni sehemu gani ya katiba ya nchi inasema chama cha siasa ni mali ya umma? Na unamiliki vipi wewe kama sehemu ya huo umma?Kwaiyo chama ni Mali ya umma sio kikundi Cha watu wachache na machawa labda muanzishe kikundi Cha kikabila Cha kufa na kuzikana Cha watu wa kaskazini na machawa wenu ila sio chama Cha siasa
Siasa ziko hivyoMpo salama!
Watu wenye ndimi mbili. Watu wenye mawe mawili ya kupimia ni watu Hatari Sana popote walipo. Ni watu wanafiki na muda wowote wanaweza kukuuza.
Alipokuwepo Magufuli, Chawa wake walitoa maoni Yao kuwa Magufuli aongezewe Muda, Magufuli atawale milele, na kama Magufuli angekataa wapo walioapa wangemshikia kiboko kumlazimisha aendelee kutawala. Yalikuwa ni maoni Yao.
Sisi wengine maoni yetu tulikataa tukasema Hapana. Miaka yake ikiisha inatosha. Wengine tukasema Katiba hairuhusu lakini Katiba ni kitabu tuu tunaweza kukibadilisha sehemu ndogo (Constitution amendment) ili kuweka kipengele cha kuongeza Muda.
Haya walewale ambao waliwaka, walimkalia kooni JPM ambaye yeye mwenyewe hata hakuwahi kusema ataongeza Miaka zaidi ya yeye kutamka hataongeza Miaka. Leo hii kile walichokuwa hawakitaki kwa JPM wanakifanya kwenye chama Chao.
Mbowe hata angekuwa kiongozi mzuri kama Malaika, kumuongezea Miaka mingine juu ya ishirini sio Sawa.
Alafu Mbowe angetakiwa aonyeshe uzuri wake katika kuandaa viongozi wengine wazuri zaidi yake wa kumrithi.
Siongei kumtetea Lisu awe kiongozi nope! Anaweza kugombea mtu mwingine Nje ya Lisu na akawa kiongozi wa CHADEMA hii itaonyesha kuwa CHADEMA inaakiba ya kutosha ya viongozi.
Kama kuna watu wanaona Mbowe aendelee Basi wasishangae wale wanaoona CCM iendelee.
Wanasema Mbowe kaitoa CHADEMA Mbali.
Watu wanasema CCM imeitoa nchi Mbali.
Uongozi mzuri ni pamoja na kuweza kuachia nafasi wengine waongoze.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar
Magufuli angeongezewaje muda wakati yuko kaburini mwanangu?Mpo salama!

Kwa sasa Dar es salaam
Umeandika Nini mkuu ? Mbona ni kama unajaribu kupotosha ukweliMagufuli alikuwa Rais wa nchi, Mbowe ni mwenyekiti wa CHADEMA.
Nchi ni ya watu wote, wenye vyama na wasio na vyama, wenye dini, wasio na dini wapagani n.k
CHADEMA ni ya wanachadema
Ni sehemu gani ya katiba inayosema chama ni Mali ya familia?Ni sehemu gani ya katiba ya nchi inasema chama cha siasa ni mali ya umma? Na unamiliki vipi wewe kama sehemu ya huo umma?
Ukisoma vigezo vya kusajili chama utaonaNi sehemu gani ya katiba ya nchi inasema chama cha siasa ni mali ya umma? Na unamiliki vipi wewe kama sehemu ya huo umma?
Kiongozi mbona IQ inatia mashaka sana ili uweze kuongoza nnchi ni lazima upite kwenye chama sasa ukianza kuwa Kiongozi wa kalne kwenye chama inamaana hata kwenye nnchi ukipewa ridhaa lazima utakataa kutokaMagufuli alikuwa Rais wa nchi, Mbowe ni mwenyekiti wa CHADEMA.
Nchi ni ya watu wote, wenye vyama na wasio na vyama, wenye dini, wasio na dini wapagani n.k
CHADEMA ni ya wanachadema
wewe ndo hujui.ulishawahi kusoma hizo katiba za hivyo vyama??.Nenda kasome kwanza uelimike ndo uje kukaza fuvu uku mtandaoni.Narudia tena wewe unachanganya kati ya chama na kikundi Cha kikabila Cha kufa na kizikana harafu usifananishe chama Cha siasa na ushabiki wa usimba na uyanga
Kuna watu wako uku mitandaoni na hawajui chochote zaidi yakukurupuka kwa mihemko kwakujiandikia hisia zao binafsi badala ya uhalisia.Uelewa wa wengi wetu uko chini sana.Acha wazimu basi chama cha Siasa sio mali ya umma?
Mbowe anataka kuongoza nchi?Kiongozi mbona IQ inatia mashaka sana ili uweze kuongoza nnchi ni lazima upite kwenye chama sasa ukianza kuwa Kiongozi wa kalne kwenye chama inamaana hata kwenye nnchi ukipewa ridhaa lazima utakataa kutoka
Magufuli angeongezewaje muda wakati yuko kaburini mwanangu?
Magufuli angeongezewaje muda wakati yuko kaburini mwanangu?
Kwaiyo kama hataki kugombea kwe uchaguzi wa nnchi anatakiwa kuwa mwenyekiti wa chama ambacho kinajinasibu democracy imetamalaki awe yeye milele?Mbowe anataka kuongoza nchi?
Alitaka kuongoza nchi 2015 au 2020??
Na wewe ni chawa wa nani?Haahaa machawa wa mbowe kazi mnayo...
Ni kwa sababu alitaka kuongezewa muda ndiyo Mungu akamsepesha kaburiniMagufuli angeongezewaje muda wakati yuko kaburini mwanangu?