Watu waliokataa Magufuli asiongezewe Miaka ndio haohao wanashadadia Mbowe aendelee kuongoza. Ndio haohao wanakapinga CCM isiendelee! Unafiki mtupu!

Haya walewale ambao waliwaka, walimkalia kooni JPM ambaye yeye mwenyewe hata hakuwahi kusema ataongeza Miaka zaidi ya yeye kutamka hataongeza Miaka. Leo hii kile walichokuwa hawakitaki kwa JPM wanakifanya kwenye chama Chao.

Mbowe hata angekuwa kiongozi mzuri kama Malaika, kumuongezea Miaka mingine juu ya ishirini sio Sawa.
Ila akili za Watanzania nyingi zina shida yaani unalinganisha urais na mwenyekiti wa chama? Hii haijakaa sawa!
 
Kwaiyo chama ni Mali ya umma sio kikundi Cha watu wachache na machawa labda muanzishe kikundi Cha kikabila Cha kufa na kuzikana Cha watu wa kaskazini na machawa wenu ila sio chama Cha siasa
Ni sehemu gani ya katiba ya nchi inasema chama cha siasa ni mali ya umma? Na unamiliki vipi wewe kama sehemu ya huo umma?
 
Mpo salama!

Watu wenye ndimi mbili. Watu wenye mawe mawili ya kupimia ni watu Hatari Sana popote walipo. Ni watu wanafiki na muda wowote wanaweza kukuuza.

Alipokuwepo Magufuli, Chawa wake walitoa maoni Yao kuwa Magufuli aongezewe Muda, Magufuli atawale milele, na kama Magufuli angekataa wapo walioapa wangemshikia kiboko kumlazimisha aendelee kutawala. Yalikuwa ni maoni Yao.

Sisi wengine maoni yetu tulikataa tukasema Hapana. Miaka yake ikiisha inatosha. Wengine tukasema Katiba hairuhusu lakini Katiba ni kitabu tuu tunaweza kukibadilisha sehemu ndogo (Constitution amendment) ili kuweka kipengele cha kuongeza Muda.

Haya walewale ambao waliwaka, walimkalia kooni JPM ambaye yeye mwenyewe hata hakuwahi kusema ataongeza Miaka zaidi ya yeye kutamka hataongeza Miaka. Leo hii kile walichokuwa hawakitaki kwa JPM wanakifanya kwenye chama Chao.

Mbowe hata angekuwa kiongozi mzuri kama Malaika, kumuongezea Miaka mingine juu ya ishirini sio Sawa.

Alafu Mbowe angetakiwa aonyeshe uzuri wake katika kuandaa viongozi wengine wazuri zaidi yake wa kumrithi.

Siongei kumtetea Lisu awe kiongozi nope! Anaweza kugombea mtu mwingine Nje ya Lisu na akawa kiongozi wa CHADEMA hii itaonyesha kuwa CHADEMA inaakiba ya kutosha ya viongozi.

Kama kuna watu wanaona Mbowe aendelee Basi wasishangae wale wanaoona CCM iendelee.

Wanasema Mbowe kaitoa CHADEMA Mbali.
Watu wanasema CCM imeitoa nchi Mbali.

Uongozi mzuri ni pamoja na kuweza kuachia nafasi wengine waongoze.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar
Siasa ziko hivyo
 
Kwa sasa Dar es salaam
Magufuli angeongezewaje muda wakati yuko kaburini mwanangu?
 
Magufuli alikuwa Rais wa nchi, Mbowe ni mwenyekiti wa CHADEMA.
Nchi ni ya watu wote, wenye vyama na wasio na vyama, wenye dini, wasio na dini wapagani n.k
CHADEMA ni ya wanachadema
Umeandika Nini mkuu ? Mbona ni kama unajaribu kupotosha ukweli
Vyama vyote vya siasa vilivyosajiliwa na serikali na vinapewa ruzuku ambayo ni Kodi ya wananchi ya wananchi ni vya wananchi wote .
Ndiyo maana hakuna chama Cha wanachama bali vyama vyote ni Mali ya umma
Ndo maana unaweza ukawa mwana CCM Leo na kesho ukawa mwana CHADEMA na kura ukawapigia ACT Wala kusiwe na shida kisheria
IBADA NJEMA INAANZIA NYUMBANI
UNAWEZAJE KUHUBIRI DEMOKRASIA NCHINI KAMA NDANI YA CHAMA CHAKO HUTAKI DEMOKRASIA
 
Ni sehemu gani ya katiba ya nchi inasema chama cha siasa ni mali ya umma? Na unamiliki vipi wewe kama sehemu ya huo umma?
Ni sehemu gani ya katiba inayosema chama ni Mali ya familia?
 
Magufuli alikuwa Rais wa nchi, Mbowe ni mwenyekiti wa CHADEMA.
Nchi ni ya watu wote, wenye vyama na wasio na vyama, wenye dini, wasio na dini wapagani n.k
CHADEMA ni ya wanachadema
Kiongozi mbona IQ inatia mashaka sana ili uweze kuongoza nnchi ni lazima upite kwenye chama sasa ukianza kuwa Kiongozi wa kalne kwenye chama inamaana hata kwenye nnchi ukipewa ridhaa lazima utakataa kutoka
 
Narudia tena wewe unachanganya kati ya chama na kikundi Cha kikabila Cha kufa na kizikana harafu usifananishe chama Cha siasa na ushabiki wa usimba na uyanga
wewe ndo hujui.ulishawahi kusoma hizo katiba za hivyo vyama??.Nenda kasome kwanza uelimike ndo uje kukaza fuvu uku mtandaoni.
 
Acha wazimu basi chama cha Siasa sio mali ya umma?
Kuna watu wako uku mitandaoni na hawajui chochote zaidi yakukurupuka kwa mihemko kwakujiandikia hisia zao binafsi badala ya uhalisia.Uelewa wa wengi wetu uko chini sana.
 
Kiongozi mbona IQ inatia mashaka sana ili uweze kuongoza nnchi ni lazima upite kwenye chama sasa ukianza kuwa Kiongozi wa kalne kwenye chama inamaana hata kwenye nnchi ukipewa ridhaa lazima utakataa kutoka
Mbowe anataka kuongoza nchi?
Alitaka kuongoza nchi 2015 au 2020??
 
Mbowe anataka kuongoza nchi?
Alitaka kuongoza nchi 2015 au 2020??
Kwaiyo kama hataki kugombea kwe uchaguzi wa nnchi anatakiwa kuwa mwenyekiti wa chama ambacho kinajinasibu democracy imetamalaki awe yeye milele?
 
Back
Top Bottom