Watu waliomkufuru Mungu wakafariki dunia


Mkuu sorry kwa kutokuendelea na mjadala wetu kwa Muda!

Unajua baada ya dhambi kuingia Dunia watu waliamua kujifanyia ibada zao na Kua na miungu Yao na Kuacha Imani au ibada ya Mungu Wa kweli!

Na pia Mungu aliweka maagano na Ibrahimu na uzao wake likiwemo na Lengo la kujidhirisha kwa Mungu ktk ulimwengu kupitia maagano ya Ibrahimu na uzao wake!

Na ndio Maana tunao baada ya hayo maagano na Ibrahimu Mungu hakuwaacha na alipenda wamtumikie na kumwabudu na akawa anajidhihifisha kupitia kwao! Kwahiyo ata Wa Wamisri sio Km wametengwa ktk huu ukombozi! Hapana!

Na pia kuhusu ukuhani! Mungu aliteua familia maalum kwa ajili ya kuhudumu ktk hema! Kwahiyo Kwahiyo kwa mtu tu kuhudumu ktk Hiyo hema ilikua Haiwezekani!
 

Sijakufahamu uzuri maelezo yako.
Mungu alotoa maagano ndo Mungu Yesu ama huyi tena ni mwangine...?!!
 

Mkuu meli hiyo haikuzama kwa sababu za kiasili kama watu wanavyodhani

Ilizamishwa

Nitaleta uzi hapa unaoweka wazi hayo na watu watachangia soon!!!!!!!!
 
mimi nachokataa ni kuwa hakuna miungu wengine kuna mungu mmoja tu ambae hakuzaa wala hakuzaliwa. Mungu wa isaka ndo ile miungu ya kipagani ambayo haipaswi kuitwa mungu.
Logic yako ipo flawed hapa: Mungu hakuzaliwa (ingawa nayo ni controversial: hakuna maandiko yanayoandika kabla ya Mungu na kuimba dunia kwa mapana).Kuzaa ni maamuzi na mipango yake ambayo hatuwezi mpangia.....hapa ndipo unayo shida kubwa sana kifikra....na kuzaa inategemea ni zaa ipi..hii ya kibinadamu..hata roho zetu zinavaa tuu mwili ,hazizaliwi na mwili....
 
Sijakufahamu uzuri maelezo yako.
Mungu alotoa maagano ndo Mungu Yesu ama huyi tena ni mwangine...?!!

I and my Father are one!

When you see me, You see the Father!

Before Abraham was, I am!
 


Mkuu ata ktk Quran Surat Al Nisa 171 ktk Hiyo aya kuna kipengele kinasema kwa! Ametukuka yeye (yaani Mungu) na Kuwa Na Mwana!

Kwahiyo Quran inasisitiza kukataa utatu Yani Trinity na Huku inasema Kua Mungu ana Mwana! Na hapo hapo tena inasisitiza Mungu Ni mmoja! Sasa hapo mtu unashindwa kuelewa ufate lipi?
 
Mkuu meli hiyo haikuzama kwa sababu za kiasili kama watu wanavyodhani

Ilizamishwa

Nitaleta uzi hapa unaoweka wazi hayo na watu watachangia soon!!!!!!!!

Mkuu ukileta huo Uzi nijulishe kwa PM tafadhali!
 
Mkuu meli hiyo haikuzama kwa sababu za kiasili kama watu wanavyodhani

Ilizamishwa

Nitaleta uzi hapa unaoweka wazi hayo na watu watachangia soon!!!!!!!!

kama umenisoama vizuri maelezo yangu hapo juu utaelewa kabisa kwamba hiyo meli ilizamishwa makusudi na nahoodaha husika wa meli haiwezekan mwamba ambao dereva anaujua ulivyo na ulipo kabpita zaidi ya mara miatano siku ya ufunguzi wa meli ya kisasa duniani aende kuugonga it doesnt make sense,instead alitakiwa awe makini sana na hicho chombo kipya
back to the topic ni kwamba naamini uwepo wa mungu na yeyote anaejaribu kujifanya yuko juu ya mungu au mungu hana uwezo juu yake basi akiamua within a second linaweza kumtokea la kumtokea
 

Wasichokijua hawa watu ni kuwa Quran ni copy kutoka kwenye Biblia
Lakini kibaya ni kuwa wakati wana copy walikuwa wanasahau baadhi ya mambo

Baada ya kuja kugundua kuwa wamesahau na wao wamejiita kuwa ni mitume wakaona kukiri kukosea ni kujishushia hadhi na ingekuwa ni kama kumfanya mungu wao kuwa alikosea kuwapa aya hivyo njia rahisi ni kutengeneza aya za kuyakana yale waliyoyasahau!
 
Mkuu ukileta huo Uzi nijulishe kwa PM tafadhali!

Usijali mkuu
Tuombe tu MODS waukubalie maana hapa huwezi kuweka tu uzi kama majukwaa mengine,wanakagua kwanza na wakiona umefit kwenye viwango vyao basi wanauruhusu

Let's pray for the best!
 

Nimekusoma mkuu!!!!
 
Usijali mkuu
Tuombe tu MODS waukubalie maana hapa huwezi kuweka tu uzi kama majukwaa mengine,wanakagua kwanza na wakiona umefit kwenye viwango vyao basi wanauruhusu

Let's pray for the best!

Poa Mkuu!
 


Ni kweli Mkuu!

Walikua wakichagua Yale wayapendayo! Na kwa bahati mbaya Wakati Imani Hiyo inaanza karne ya 6 kulikua na wimbi kubwa la kumpinga Yesu na lilikua linasimamia ktk kudai Kua Mungu Ni mmoja, hana mfano Wa kitu chochote na wala hazai! Kwahiyo hii Imani ilianza ndio ikakuta Hilo vuguvugu na wao wakaona liko Na Mashiko wakalichukua Hilo wazo ktk mafundisho Yao!
 
uankosea kitu hapa hembu rudia nilichoandika..Quran haina habari ya Kabla ya Mungu,na existence yake..sasa kusema hakuzaliwa au alizaliwa ni aburdity...km huji alianza vipi? Baada ya Mungu kuwepo..then kuzaa au kutozaa ni suala lake Binafsi, na pengine kwa kujua tuu na si kumpangia..hata aina ya uzazi tuufikirio si lazima uwe hivyo..ndio maana nimekuambia hata Roho zetu hazizaliwi na mwili,huwa zinauvaa mwili...na kuuacha tunapokufa.Sasa hii mistari yako na kukimbilia kupinga utatu..si jambo sahihi kwa hoja yangu.Utatu hata wakristu wenyewe wapo wanaotofautiana...Ila hata hiyo Quran yenyewee inathibitisha kuwa Yesu ni mwana wa Mungu ..ndio maana haina baba yake ila ina maelezo jinsi alivyopatikana...Quran ina michanganyiko kibao ila mbaya zaidi ni huu w akufananisha Adam na Yesu ktk kuzaliwa wakati ..Adamu hakuzaliwa ..aliumbwa.na kupuliziwa pumzi ya Mungu.Yesu alizaliwa kwa Mimba kutungwa kwa "Neno la Mungu"..huwa nashindwa elewa kwanini waislam huwa hawashtuki sana KUSIKIA kuwa Yesu ni Neno la Mungu,na Hilo neno ndilo Mungu hutumia kuumba.Na Yesu ktk Quran Kaumba Ndege. Pamoja na quran kuchanganya sana,ila sijui kwanini waislam wanashindwa sana kukatiza ktk mistari na kupata snapshots.Sasa utatu unamnyima vipi Mungu uhuru wa kuzaa akipenda..na hakuna maamdniko yanayoweza mnyima Mungu kuzaa ktk historia yake..hata kesho anaweza zaa kwa jinsi apendavyo..ktk njia nyingi sana alizojalia viumbe wake..km bacteria,km migomba, km binadamu ,kwa uwezo wa roho mtakatifu na njia nyingine..
 
Bahati Mbaya sana Gaddafi hakuwahi win battle na Ukristu ktk maisha yake yote..pamoja na kumwaga hela sana Italia hajafanikiwa sana.pamoja na kupigana Jihad na Tz kwa vile Nyerere alikuwa Mkristu na Amin muislam, aishindwa vibaya na kujikuta kaleta mateka na si jeshi, baadaye tena akapigana na jinamizi lake mwenyewe ..pale Uganda ili akubalike na kuifnaya uganda ya kiislam, na Africa nzima iwe ya kiislam, matamshi ya Kibabe Kuwa YESU ANGEKUWA HAI BASI ANGEKUWA MFUASI WA MOHAMED...na KWAMBA AFRICA INGEUKUMBATIA UISLAM INGEFANIKIWA SANA....imeishia kuonyesha failure ktk maisha yake binafsi na ya walybya. Huwa najiuliza km Gaddafi aliamini sana uislam kwanini tena anaamini kuwa Yesu hayupo hai, au anasema kuwa kweli alikufa?
 

Mkuu nilikuelewe ulichokua umesema lkn Mimi Nilipenda tu kuongezea kitu hapo Hasa ktk point ya Mungu kuweza kuzaa!

Na pia ktk hoja yako hii niongezee kitu kingine Ni kwamba Quran pia inamsema Yesu Kua yeye Ni Neno hii Ni sawa na bible inavyomtaja Yesu Kua Ni neno!
 
Hitler naye alisema Ukristu ni dini ya hovyo sana, km wajerumani wangechagua dini km uislam,dini ya watu dhaifu ila imewasaidia ku conquer mataifa na kuwa imara,wangekuwa na heshima na mafanikio zaidi.katafuta urafiki na Shiekh mkuu wa Jerusalem ili wawaangamize wayahudi..haikuchukua Muda Hilter akangushwa na kuifanya ujerumani koloni la US hadi leo.Na bado Ukristu ndio unaelezea mafanikio ya Ujerumani Ulaya kuliko mataifa mengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…