Watu waliomkufuru Mungu wakafariki dunia



Umeielewaje hiyo mistari?
 
Sitaki hata kuisoma hii link ila nna uhakika mwandishi wa makala ni mkiristo.na guadian ni gazeti la wakristo. Red Cross and Vatican helped thousands of Nazis to escape | World news | The Guardian
Sasa vipimo vyake vya hakika nani ana hakika kuwa ni sahihi?nani kakudanganya unaweza pima homa ya mwenzio kwa mshika wakati umetoka oga na maji baridi. In fact wakatoliki wana kosa kw wayahudi ila si hili kwa hitler..kosa lao ni ktk crusade walijaribu wabadili dini wayahudi kwa nguvu..wakiwa na ile dhana kuwa walimkana Yesu.HIli mapapa wawili waliotangulia wlaiomba msamaha. Ila ktk Nazi..waliwatorosha makasisis wao ambaow alilazimishwa kutumia jeshi la HItler au wafe....hii habari ni uhuni tuu, wa dunia ktk kujaribu tafuta kulipiga vita kanisa katoliki...hujasoma CIA walivyobusy kuchunguza vatican, kuingilia chaguzi zao etc...kulazimisha kanisa liruhusu ujinga kam kutoa(kuua kiumbe), ushoga etc....
 


Bado Kiranga
 
Last edited by a moderator:


Ametukuka yeye na Kuwa na Mwana!
 
Umeielewaje hiyo mistari?
Mistrai yenyewe inajichangaya, inaongea kama inashauri, na km inalazimisha,ila haijithibitishi kuwa ipo sahihi...ni msomaji kujaribu kuona kwa mapana zaidi.Msomaji pia anahitaji kuunganisha haraka na mistari mingine ya kurani yake ili ajitendee haki.Huwezi fuata hiyo mistari halfu bado Ukasoma Injil na bado ukabaki ..na ule mstari kwa kwanza wa Nguzo ya uislam.hakuna mungu ila allaha na mohamed ni mtume wake.Km tumekubaliana kuwa Yesu ni mbegu ya Neno la Mungu...na Mungu ana Neno Moja tuu, then tukakubaliana(hat Quran nayo) kuwa Injil ni Neno la Mungu....Yesu ni Injil....Na si kwa logic hiyo tuu,ila hata ukisoma..Injil inamsema Yesu,ni maelezo ya alichofanya na Kusema Yesu. NI ngumu sana kuwa Muislam huku ukiifuata Injil, lakini Pia Quran nayo inasema Huwezi kuwa Muislam kamili bila kuisoma Injil...mwenye akili hapa kuna shida. Na by far....Quran is all about allah..na muhamad....na jinsi anavyowekwa kwa mwenye akili ataona kuwa Muhamad kajiweka sana at par na Mungu(......na imetumika sana pale allaha anapopewa sathili zake....)..Naamini unaweza soma na utakuwa umesoma hilo ktk nakala yako.Cha kujiuliza waislam wa kweli waliochagua dini kwa hiari yao huwa wanatazama hilo vipi?
 
huoni hapo ni njama ya kulisafisha kanisa?hitler,pope piusXI na musolini lao lilikua moja na walikua na mkataba kabisa wa utawala wa hitler kuwapa support vatican,pia ujue kuwa enzi hizo rais wa italy dictator musolini alikua upande wa hitler.

Na ni musolini ndo aliingia mkataba na papa ili vatican iwe taifa huru ndani ya mji wa Rome,ITALY.
Sasa kama hitler aligeuka kwanini vatican ikaendelea kuwasapoti Nazi officials na kufacilitate utorokaji wao toka germany wakati vita ikielekea mwishoni?
 
Haha..kumbuka hiki ndicho kipindi wapalestina nao wanagombania na wayahudi kuachiwa nchi na mwingereza..na ?Hembu niambie na Sheikh mkuu wa Yerusalem...aliingiaje ktk mkataba na wote watatu..akiwepo HItler km Partner no moja?Kipindi HItler anaongea mazuri sana kuhusu uislam..? Hivi unajua kipindi hicho catholic na waislam walikuweje ktk mashariki ya kati....?bado kumbukumbu ya crusade haikuwa imekwisha..sasa wangingia mkataba gani tena.... Shida yako na wengine huwa mnaweka hisia, na vitu vya kusadikika ..ndio maana huwa mnafail sana ktk kukomboa fikra na watu wenu ktk hii dunia.hata mahali ushindi upo machoni penu.
 
Ametukuka yeye na Kuwa na Mwana!

Katika maneno yote hayo umeona hapo tu?

TAFSIRI YAKE:
Kuzaa na Kuzaliwa ni sifa za viumbe.

Ametukuka: Ina maanisha yeye ni wa level nyingine, si wa kumfananisha na viumbe.
 

Nioneshe inapojichanganya.
Nioneshe hiyo aya inapingana na aya ipi ya injili.
Niambie kwanini unaona kwamba inatofautiana na nguzo ya kwanza ya uislamu.
 
Ametukuka yeye na Kuwa na Mwana!
quran 4:171.

O people of scripture,do not commit excess in your religion or say about Allah except Truth.The messiah,jesus the son of mary was but a messenger of Allah and his word which he directed to mary and a soul(created at command) from him.
So beliave in Allah and his messengers and DO NOT SAY''three'' desist is better for you.indeed Allah is but one God,EXALTED IS HE ABOVE HAVING A SON.
To him belongs whatever is in the heaven and whatever is on earth.and sufficient is Allah as Dispaser of affairs.
 
Katika maneno yote hayo umeona hapo tu? TAFSIRI YAKE: Kuzaa na Kuzaliwa ni sifa za viumbe. Ametukuka: Ina maanisha yeye ni wa level nyingine, si wa kumfananisha na viumbe.
-Kuzaliwa ni entry roho ktk mwili ili kuwa sifa za kidunia....na kufa ni kuondoka.... -Yesu asingekuwa mwalimu bora km angefanya yote kwa wanadamu akiwa na sifa za malaika..halafu akatuambia kuwa yeye ni mfano bora wetu.....ingekuwa too obvious kuwa aliyofanya ni malaika tuu wanaweza.Ila laifanya ktk mwili wa Binadamu...haha..sijui mohamed nini kilimkuta kwa CV yake mhh......sidhani km kila kitu kilikuwa mfano bora.
 
Cha kujifunza ni kwamba pamoja na makosa mengi mtu unayoweza fanya jitahidi sana usimkane Yesu yesu kutaka mdhalilisha...kwani kala kicheko hakijaisha utakuwa umeshindwa bila jijua. Hata hapa bongo wapo watu kibao wana enjoy sana kuwadhalilisha wakristu au kufanya mizaha sana ktk Jina la Yesu....wengine ni wakristu wa siasa kali ila hupata mapigo mabaya mapema sana. Kwanini ktk mizaha yako Yesu awe sehemu ya mizaha?Km humtaki si umwache,kwani kumtukana kwa km mbadala wa mfuasi wake kunakusaidia nini?
 

Kwa tafsir yako hii inamaanisha nini?
Kwamba yesu ni Mungu au Malaika?
 
mkataba naosema ni kati ya papa pius,hitler na baadae musolini ndo ametoa ok vatican iwe nchi,haya mambo mbona yako documented ?wakati wa utawala wa hitler hapakuwepo na harakati za mapambano kati ya wapalestina na wayahudi,kipindi hicho wayahudi walikua wakirudi palestina na kununua ardhi za wapalestina kiustarabu,kumbe ilikua gia ya kuingilia,walipokua wengi na wakaanzisga mapambano ya silaha na wapalestina,hapo ni miaka ya 1946-1948 lilipoundwa taifa la israel,kipindi hicho hitler kafa siku nyingi.

Kuhusu muft wa jerusalem pengine ndo wakimtumia kuwezesha uvamizi wa ardhi nitaresearch nipate data za kumhusu.
 
hivi kuna watu wanaomkashifu yesu kuzidi wakristo na wayahudi?..hivi we jamaa intanet unaitumia kuingia jf peke,maana ni kama vile hujui hasa what is going on.maandiko ya wakristo kwa mamilioni yapo online yanamkashifu yesu,kuna hadi picha zinamwonyesha yesu as a gay,zote source ni huko kwa nduguzo wazungu.kuna mabilioni ya article we google,lakini huwezi ona site toka kwa waislamu ikimpaint yesu kwa dharau.

Unajua talmud ya wayahudi inasema nini kuhusu yesu?..GOOGLE
 
Kwa tafsir yako hii inamaanisha nini? Kwamba yesu ni Mungu au Malaika?
Haha..hembu rudia nilichoandika......(Nimesema angekuja na mfano wa Malaika)..Mungu hana umbile maalumu kihivyo..hata malaika ingawa malaika wanakuja kwa maumbile fulani ili kuwafikia binadamu. Point hapa si ama Malaika ama Mungu...ila angakuja kwa umbile lisilo la kibidamu..kama watu wangesema ndio maana wao hawawezo fuata matendo yake, ama wangamfuata kwa woga... Nikupe mfano rahisi..Hivi unaonaje Leo Ritz akija mitaani kula ugali kwa chumvi...?Si itakuwa too artificial?
 

Sasa niambie...
Yesu ni Mungu au
Ni kiumbe tu wa Mungu ambaye ana cheo cha Utume kwa Mungu au
Ni mtoto wa Mungu biological au
Yote hapo juu.
 
Sasa umeanza uongo kw amaslahi ya dini..mkataba wa Roma ukamhusu Hitler...?Mbona hujajibu Sheikh mkuu wa ala Aqsa wa Jerusalem naye alikuwa ktk mkataba wa kuipa uhuru Vatican?Unakwepa nini sasa. Ni km leo Pengo alivyo concerned na usalama wa minority Zenj km zenj itajitenga, km hapa Tuu wakristu si salama.Halafu akijaribu watorosha wakristu watakoanza geuzwa kuwa Chambo km Syria ktk vita za waislam..nae aamabiwe anamsaidia mbabe wa Zenj.Km Leo Catholic waambiwe wanamsaidia Assad wakati magaidi wa Kiislama ktk nchi ya KIIslam bil aibu wanateka Masista wa Kikristu na kuwafanya chambo ktk ugonvi wa kiislam...Kweli Ukristu ni Ukombozi.....Ukristu ni sarafu..
 
hivi unajua kuwa Elisha alifufua watu(kwa mjibu wa bible)?.

Elisha alilisha watu weeengi mikate michache na wakala na kusaza.
Pia wajua kuwa elia alipaa mbinguni?(bible).
Hivi haiwezi kuwa waandishi na mafarisayo walicopy na kupaste baada ya kufanya editing toka masimulizi ya zama za akina elisha?
 
Sasa niambie... Yesu ni Mungu au Ni kiumbe tu wa Mungu ambaye ana cheo cha Utume kwa Mungu au Ni mtoto wa Mungu biological au Yote hapo juu.
Haha..kwanza umemaliza na kukubaliana na wengine kuhusu Mazazi na Nature ya Yesu kabla hujahitimisha kirahisi hivi?Km hukuweza jibu hoja za Uzazi nini..ni wazi utakuja haya mambo ya kurudiarudia forever.. Hembu niambie Babake ni nani?au hana Baba..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…