Watu waliomkufuru Mungu wakafariki dunia

Watu waliomkufuru Mungu wakafariki dunia

Haha..hivi hii mistrai inakushawihsi kweli..?hiyo mbon ani km suggestion ya mtu asiyeelewa tuu. Hivi muhamada anategemea wakristu wamwache Nabii ambeye ni Neno La Mungu wamafuatea ala na muhamad km mtu me wake.Hivi hujasoma mawazi kinzani ya muhamad, watu wasome Injil, Torati na Zaburi halafu waache wanawaofuata mwafuate muahamad?kun ahja gani tena ya kusoma Injili halfu umwache Injil mwenyewe?

Umeielewaje hiyo mistari?
 
Sitaki hata kuisoma hii link ila nna uhakika mwandishi wa makala ni mkiristo.na guadian ni gazeti la wakristo. Red Cross and Vatican helped thousands of Nazis to escape | World news | The Guardian
Sasa vipimo vyake vya hakika nani ana hakika kuwa ni sahihi?nani kakudanganya unaweza pima homa ya mwenzio kwa mshika wakati umetoka oga na maji baridi. In fact wakatoliki wana kosa kw wayahudi ila si hili kwa hitler..kosa lao ni ktk crusade walijaribu wabadili dini wayahudi kwa nguvu..wakiwa na ile dhana kuwa walimkana Yesu.HIli mapapa wawili waliotangulia wlaiomba msamaha. Ila ktk Nazi..waliwatorosha makasisis wao ambaow alilazimishwa kutumia jeshi la HItler au wafe....hii habari ni uhuni tuu, wa dunia ktk kujaribu tafuta kulipiga vita kanisa katoliki...hujasoma CIA walivyobusy kuchunguza vatican, kuingilia chaguzi zao etc...kulazimisha kanisa liruhusu ujinga kam kutoa(kuua kiumbe), ushoga etc....
 
1. Mtengenazaji meli ya titanic.
Baada ya kutengeneza meli ya TITANIC, mwandishi wa habari alimuuliza ni kiasi gani ilikuwa salama, nae akajibu " Ni salama sana na haiwezi kuzama na hata mungu hawezi kuizamisha".
Nafikiri unajua kilichotokea kuhusu TITANIC
2.AZUZA (mwanamuziki brazil)
Alipokuwa kwenye show yake ndani ya jiji la Rio dejeneiro , alichukua sigara akaanza kuvuta, akachukua nyingine kisha akairusha juu na kusema " Mungu na hiyo yako , chukua na wewe uvute. Alifariki akiwa na miaka 32 kwa ugonjwa wa kansa ya mapafu, ambayo iliharibu sana mapafu yake kuliko mgonjwa yeyote.
3.Christina hewt (mwandishi)
Huyu alikaririwa akisema " Nimesoma vitabu vyote duniani, ila hakuna kitabu kibaya kama biblia, siku chache baada ya kusema maneno hay, mwili wake ulikutwa umeunguzwa moto ambao haijajulikana hadi Leo umesababishwa na nini.
4. John Lennon (muimbaji)
Wakati alipokuwa akihojiwa na waandishi wa habari la gazeti la america alinukuliwa akisema " ukristo utakufa na kutoweka duniani, siwezi kuwa na wasiwas na hilo kwa kuwa Nina uhakika nalo. Huyu naye baada ya mda alikutwa amekufa nyumbani kwake
5. Tancredo neves (rais wa brazil)
Alisema kwamba endapo angeshinda kura laki tano katika uchaguzi mkuu Brazil na kuwa rais , hata mungu asingeweza kumtoa katika urais huo. Akafanikiwa akapata kura zaidi ya laki tano akashinda uchaguzi, siku moja kabla ya kuapishwa akafariki dunia.

Bado Kiranga
 
Last edited by a moderator:
SURA 4. SURAT AN-NISAAI AYA 171.
Enyi Watu wa Kitabu! Msipite kiasi katika dini yenu, wala msimseme Mwenyezi
Mungu ila kwa lilio kweli. Hakika Masihi Isa mwana wa Maryamu ni Mtume wa
Mwenyezi Mungu, na neno lake tu alilo mpelekea Maryamu, na ni roho iliyo toka
kwake. Basi Muaminini Mwenyezi Mungu na Mitume wake. Wala msiseme: Utatu.
Komeni! Itakuwa kheri kwenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mungu mmoja tu. Ametukuka
Yeye na kuwa na mwana. Ni vyake Yeye vyote viliomo katika mbingu na katika
ardhi. Na Mwenyezi Mungu ni Mtegemewa wa kutosha.

Ametukuka yeye na Kuwa na Mwana!
 
Umeielewaje hiyo mistari?
Mistrai yenyewe inajichangaya, inaongea kama inashauri, na km inalazimisha,ila haijithibitishi kuwa ipo sahihi...ni msomaji kujaribu kuona kwa mapana zaidi.Msomaji pia anahitaji kuunganisha haraka na mistari mingine ya kurani yake ili ajitendee haki.Huwezi fuata hiyo mistari halfu bado Ukasoma Injil na bado ukabaki ..na ule mstari kwa kwanza wa Nguzo ya uislam.hakuna mungu ila allaha na mohamed ni mtume wake.Km tumekubaliana kuwa Yesu ni mbegu ya Neno la Mungu...na Mungu ana Neno Moja tuu, then tukakubaliana(hat Quran nayo) kuwa Injil ni Neno la Mungu....Yesu ni Injil....Na si kwa logic hiyo tuu,ila hata ukisoma..Injil inamsema Yesu,ni maelezo ya alichofanya na Kusema Yesu. NI ngumu sana kuwa Muislam huku ukiifuata Injil, lakini Pia Quran nayo inasema Huwezi kuwa Muislam kamili bila kuisoma Injil...mwenye akili hapa kuna shida. Na by far....Quran is all about allah..na muhamad....na jinsi anavyowekwa kwa mwenye akili ataona kuwa Muhamad kajiweka sana at par na Mungu(......na imetumika sana pale allaha anapopewa sathili zake....)..Naamini unaweza soma na utakuwa umesoma hilo ktk nakala yako.Cha kujiuliza waislam wa kweli waliochagua dini kwa hiari yao huwa wanatazama hilo vipi?
 
tehe..teh....una vipimo vyake vy ukatoliki wake kabla,na akiwa kiongozi na baada ya kufa km ulikuwa uleule....? ">>>>>>>>>>>Adolf Hitler[edit] Adolf Hitler (1889 – 1945) was an Austrian-born German politician and the leader of the National Socialist German Workers Party, commonly known as the Nazi Party. You see, it's been our misfortune to have the wrong religion. Why didn't we have the religion of the Japanese, who regard sacrifice for the Fatherland as the highest good? The Mohammedan religion [Islam] too would have been more compatible to us than Christianity. Why did it have to be Christianity with its meekness and flabbiness?[4] I can imagine people being enthusiastic about the paradise of Mohammed, but as for the insipid paradise of the Christians! In your lifetime, you used to hear the music of Richard Wagner. After your death, it will be nothing but hallelujahs, the waving of palms, children of an age for the feeding bottle, and hoary old men. The man of the isles pays homage to the forces of nature. But Christianity is an invention of sick brains: one could imagine nothing more senseless, nor any more indecent way of turning the idea of the Godhead into a mockery. A n***** with his taboos is crushingly superior to the human being who seriously believes in transubstantiation.[5] Had Charles Martel not been victorious at Poitiers -already, you see, the world had already fallen into the hands of the Jews, so gutless a thing Christianity! -then we should in all probability have been converted to Mohammedanism [Islam], that cult which glorifies the heroism and which opens up the seventh Heaven to the bold warrior alone. Then the Germanic races would have conquered the world. Christianity alone prevented them from doing so.[6] The best thing is to let Christianity die a natural death. A slow death has something comforting about it. The dogma of Christianity gets worn away before the advances of science... The instructions of a hygienic nature that most religions gave, contributed to the foundation of organized communities. The precepts ordering people to wash, to avoid certain drinks, to fast at appointed dates, to take exercise, to rise with the sun, to climb to the top of the minaret — all these were obligations invented by intelligent people. The exhortation to fight courageously is also self-explanatory. Observe, by the way, that, as a corollary, the Moslem was promised a paradise peopled with sensual girls, where wine flowed in streams — a real earthly paradise. The Christians, on the other hand, declare themselves satisfied if after their death they are allowed to sing hallelujahs! ...Christianity, of course, has reached the peak of absurdity in this respect. And that's why one day its structure will collapse. Science has already impregnated humanity. Consequently, the more Christianity clings to its dogmas, the quicker it will decline.![7]>>>>>>>>>>>>>>>>"
huoni hapo ni njama ya kulisafisha kanisa?hitler,pope piusXI na musolini lao lilikua moja na walikua na mkataba kabisa wa utawala wa hitler kuwapa support vatican,pia ujue kuwa enzi hizo rais wa italy dictator musolini alikua upande wa hitler.

Na ni musolini ndo aliingia mkataba na papa ili vatican iwe taifa huru ndani ya mji wa Rome,ITALY.
Sasa kama hitler aligeuka kwanini vatican ikaendelea kuwasapoti Nazi officials na kufacilitate utorokaji wao toka germany wakati vita ikielekea mwishoni?
 
huoni hapo ni njama ya kulisafisha kanisa?hitler,pope piusXI na musolini lao lilikua moja na walikua na mkataba kabisa wa utawala wa hitler kuwapa support vatican,pia ujue kuwa enzi hizo rais wa italy dictator musolini alikua upande wa hitler. Na ni musolini ndo aliingia mkataba na papa ili vatican iwe taifa huru ndani ya mji wa Rome,ITALY. Sasa kama hitler aligeuka kwanini vatican ikaendelea kuwasapoti Nazi officials na kufacilitate utorokaji wao toka germany wakati vita ikielekea mwishoni?
Haha..kumbuka hiki ndicho kipindi wapalestina nao wanagombania na wayahudi kuachiwa nchi na mwingereza..na ?Hembu niambie na Sheikh mkuu wa Yerusalem...aliingiaje ktk mkataba na wote watatu..akiwepo HItler km Partner no moja?Kipindi HItler anaongea mazuri sana kuhusu uislam..? Hivi unajua kipindi hicho catholic na waislam walikuweje ktk mashariki ya kati....?bado kumbukumbu ya crusade haikuwa imekwisha..sasa wangingia mkataba gani tena.... Shida yako na wengine huwa mnaweka hisia, na vitu vya kusadikika ..ndio maana huwa mnafail sana ktk kukomboa fikra na watu wenu ktk hii dunia.hata mahali ushindi upo machoni penu.
 
Ametukuka yeye na Kuwa na Mwana!

Katika maneno yote hayo umeona hapo tu?

TAFSIRI YAKE:
Kuzaa na Kuzaliwa ni sifa za viumbe.

Ametukuka: Ina maanisha yeye ni wa level nyingine, si wa kumfananisha na viumbe.
 
Mistrai yenyewe inajichangaya, inaongea kama inashauri, na km inalazimisha,ila haijithibitishi kuwa ipo sahihi...ni msomaji kujaribu kuona kwa mapana zaidi.Msomaji pia anahitaji kuunganisha haraka na mistari mingine ya kurani yake ili ajitendee haki.Huwezi fuata hiyo mistari halfu bado Ukasoma Injil na bado ukabaki ..na ule mstari kwa kwanza wa Nguzo ya uislam.hakuna mungu ila allaha na mohamed ni mtume wake.Km tumekubaliana kuwa Yesu ni mbegu ya Neno la Mungu...na Mungu ana Neno Moja tuu, then tukakubaliana(hat Quran nayo) kuwa Injil ni Neno la Mungu....Yesu ni Injil....Na si kwa logic hiyo tuu,ila hata ukisoma..Injil inamsema Yesu,ni maelezo ya alichofanya na Kusema Yesu. NI ngumu sana kuwa Muislam huku ukiifuata Injil, lakini Pia Quran nayo inasema Huwezi kuwa Muislam kamili bila kuisoma Injil...mwenye akili hapa kuna shida. Na by far....Quran is all about allah..na muhamad....na jinsi anavyowekwa kwa mwenye akili ataona kuwa Muhamad kajiweka sana at par na Mungu(......na imetumika sana pale allaha anapopewa sathili zake....)..Naamini unaweza soma na utakuwa umesoma hilo ktk nakala yako.Cha kujiuliza waislam wa kweli waliochagua dini kwa hiari yao huwa wanatazama hilo vipi?

Nioneshe inapojichanganya.
Nioneshe hiyo aya inapingana na aya ipi ya injili.
Niambie kwanini unaona kwamba inatofautiana na nguzo ya kwanza ya uislamu.
 
Ametukuka yeye na Kuwa na Mwana!
quran 4:171.

O people of scripture,do not commit excess in your religion or say about Allah except Truth.The messiah,jesus the son of mary was but a messenger of Allah and his word which he directed to mary and a soul(created at command) from him.
So beliave in Allah and his messengers and DO NOT SAY''three'' desist is better for you.indeed Allah is but one God,EXALTED IS HE ABOVE HAVING A SON.
To him belongs whatever is in the heaven and whatever is on earth.and sufficient is Allah as Dispaser of affairs.
 
Katika maneno yote hayo umeona hapo tu? TAFSIRI YAKE: Kuzaa na Kuzaliwa ni sifa za viumbe. Ametukuka: Ina maanisha yeye ni wa level nyingine, si wa kumfananisha na viumbe.
-Kuzaliwa ni entry roho ktk mwili ili kuwa sifa za kidunia....na kufa ni kuondoka.... -Yesu asingekuwa mwalimu bora km angefanya yote kwa wanadamu akiwa na sifa za malaika..halafu akatuambia kuwa yeye ni mfano bora wetu.....ingekuwa too obvious kuwa aliyofanya ni malaika tuu wanaweza.Ila laifanya ktk mwili wa Binadamu...haha..sijui mohamed nini kilimkuta kwa CV yake mhh......sidhani km kila kitu kilikuwa mfano bora.
 
Cha kujifunza ni kwamba pamoja na makosa mengi mtu unayoweza fanya jitahidi sana usimkane Yesu yesu kutaka mdhalilisha...kwani kala kicheko hakijaisha utakuwa umeshindwa bila jijua. Hata hapa bongo wapo watu kibao wana enjoy sana kuwadhalilisha wakristu au kufanya mizaha sana ktk Jina la Yesu....wengine ni wakristu wa siasa kali ila hupata mapigo mabaya mapema sana. Kwanini ktk mizaha yako Yesu awe sehemu ya mizaha?Km humtaki si umwache,kwani kumtukana kwa km mbadala wa mfuasi wake kunakusaidia nini?
 
Kwa tafsir yako hii inamaanisha nini?
Kwamba yesu ni Mungu au Malaika?
 
Haha..kumbuka hiki ndicho kipindi wapalestina nao wanagombania na wayahudi kuachiwa nchi na mwingereza..na ?Hembu niambie na Sheikh mkuu wa Yerusalem...aliingiaje ktk mkataba na wote watatu..akiwepo HItler km Partner no moja?Kipindi HItler anaongea mazuri sana kuhusu uislam..? Hivi unajua kipindi hicho catholic na waislam walikuweje ktk mashariki ya kati....?bado kumbukumbu ya crusade haikuwa imekwisha..sasa wangingia mkataba gani tena.... Shida yako na wengine huwa mnaweka hisia, na vitu vya kusadikika ..ndio maana huwa mnafail sana ktk kukomboa fikra na watu wenu ktk hii dunia.hata mahali ushindi upo machoni penu.
mkataba naosema ni kati ya papa pius,hitler na baadae musolini ndo ametoa ok vatican iwe nchi,haya mambo mbona yako documented ?wakati wa utawala wa hitler hapakuwepo na harakati za mapambano kati ya wapalestina na wayahudi,kipindi hicho wayahudi walikua wakirudi palestina na kununua ardhi za wapalestina kiustarabu,kumbe ilikua gia ya kuingilia,walipokua wengi na wakaanzisga mapambano ya silaha na wapalestina,hapo ni miaka ya 1946-1948 lilipoundwa taifa la israel,kipindi hicho hitler kafa siku nyingi.

Kuhusu muft wa jerusalem pengine ndo wakimtumia kuwezesha uvamizi wa ardhi nitaresearch nipate data za kumhusu.
 
Cha kujifunza ni kwamba pamoja na makosa mengi mtu unayoweza fanya jitahidi sana usimkane Yesu yesu kutaka mdhalilisha...kwani kala kicheko hakijaisha utakuwa umeshindwa bila jijua. Hata hapa bongo wapo watu kibao wana enjoy sana kuwadhalilisha wakristu au kufanya mizaha sana ktk Jina la Yesu....wengine ni wakristu wa siasa kali ila hupata mapigo mabaya mapema sana. Kwanini ktk mizaha yako Yesu awe sehemu ya mizaha?Km humtaki si umwache,kwani kumtukana kwa km mbadala wa mfuasi wake kunakusaidia nini?
hivi kuna watu wanaomkashifu yesu kuzidi wakristo na wayahudi?..hivi we jamaa intanet unaitumia kuingia jf peke,maana ni kama vile hujui hasa what is going on.maandiko ya wakristo kwa mamilioni yapo online yanamkashifu yesu,kuna hadi picha zinamwonyesha yesu as a gay,zote source ni huko kwa nduguzo wazungu.kuna mabilioni ya article we google,lakini huwezi ona site toka kwa waislamu ikimpaint yesu kwa dharau.

Unajua talmud ya wayahudi inasema nini kuhusu yesu?..GOOGLE
 
Kwa tafsir yako hii inamaanisha nini? Kwamba yesu ni Mungu au Malaika?
Haha..hembu rudia nilichoandika......(Nimesema angekuja na mfano wa Malaika)..Mungu hana umbile maalumu kihivyo..hata malaika ingawa malaika wanakuja kwa maumbile fulani ili kuwafikia binadamu. Point hapa si ama Malaika ama Mungu...ila angakuja kwa umbile lisilo la kibidamu..kama watu wangesema ndio maana wao hawawezo fuata matendo yake, ama wangamfuata kwa woga... Nikupe mfano rahisi..Hivi unaonaje Leo Ritz akija mitaani kula ugali kwa chumvi...?Si itakuwa too artificial?
 
Sasa niambie...
Yesu ni Mungu au
Ni kiumbe tu wa Mungu ambaye ana cheo cha Utume kwa Mungu au
Ni mtoto wa Mungu biological au
Yote hapo juu.
 
mkataba naosema ni kati ya papa pius,hitler na baadae musolini ndo ametoa ok vatican iwe nchi,haya mambo mbona yako documented ?wakati wa utawala wa hitler hapakuwepo na harakati za mapambano kati ya wapalestina na wayahudi,kipindi hicho wayahudi walikua wakirudi palestina na kununua ardhi za wapalestina kiustarabu,kumbe ilikua gia ya kuingilia,walipokua wengi na wakaanzisga mapambano ya silaha na wapalestina,hapo ni miaka ya 1946-1948 lilipoundwa taifa la israel,kipindi hicho hitler kafa siku nyingi. Kuhusu muft wa jerusalem pengine ndo wakimtumia kuwezesha uvamizi wa ardhi nitaresearch nipate data za kumhusu.
Sasa umeanza uongo kw amaslahi ya dini..mkataba wa Roma ukamhusu Hitler...?Mbona hujajibu Sheikh mkuu wa ala Aqsa wa Jerusalem naye alikuwa ktk mkataba wa kuipa uhuru Vatican?Unakwepa nini sasa. Ni km leo Pengo alivyo concerned na usalama wa minority Zenj km zenj itajitenga, km hapa Tuu wakristu si salama.Halafu akijaribu watorosha wakristu watakoanza geuzwa kuwa Chambo km Syria ktk vita za waislam..nae aamabiwe anamsaidia mbabe wa Zenj.Km Leo Catholic waambiwe wanamsaidia Assad wakati magaidi wa Kiislama ktk nchi ya KIIslam bil aibu wanateka Masista wa Kikristu na kuwafanya chambo ktk ugonvi wa kiislam...Kweli Ukristu ni Ukombozi.....Ukristu ni sarafu..
 
-Kuzaliwa ni entry roho ktk mwili ili kuwa sifa za kidunia....na kufa ni kuondoka.... -Yesu asingekuwa mwalimu bora km angefanya yote kwa wanadamu akiwa na sifa za malaika..halafu akatuambia kuwa yeye ni mfano bora wetu.....ingekuwa too obvious kuwa aliyofanya ni malaika tuu wanaweza.Ila laifanya ktk mwili wa Binadamu...haha..sijui mohamed nini kilimkuta kwa CV yake mhh......sidhani km kila kitu kilikuwa mfano bora.
hivi unajua kuwa Elisha alifufua watu(kwa mjibu wa bible)?.

Elisha alilisha watu weeengi mikate michache na wakala na kusaza.
Pia wajua kuwa elia alipaa mbinguni?(bible).
Hivi haiwezi kuwa waandishi na mafarisayo walicopy na kupaste baada ya kufanya editing toka masimulizi ya zama za akina elisha?
 
Sasa niambie... Yesu ni Mungu au Ni kiumbe tu wa Mungu ambaye ana cheo cha Utume kwa Mungu au Ni mtoto wa Mungu biological au Yote hapo juu.
Haha..kwanza umemaliza na kukubaliana na wengine kuhusu Mazazi na Nature ya Yesu kabla hujahitimisha kirahisi hivi?Km hukuweza jibu hoja za Uzazi nini..ni wazi utakuja haya mambo ya kurudiarudia forever.. Hembu niambie Babake ni nani?au hana Baba..?
 
Back
Top Bottom