Watu waliomkufuru Mungu wakafariki dunia

ni kuwa hitlar na musolini wao ndo walikua pamoja na japan dhidi ya dunia nzima kwenye vita vya pili vya dunia,meaning walikuwa washirika.then hapa kuna mkataba kati ya hitler na papa pius wa ushirikiano.

Then kuna mkataba kati ya musolini na vatican kuipa madaraka kamili ya kinchi vatican.see?.
Then hitler hapo anapigana na waingereza,marekan,russia ambao hawakua roman catholic,unadhani kanisa hapa lingeegamia wapi kama si kwa italy na germany?.
Then siku za karibuni ndo ikawa wazi kuwa vatican na Nazi walikua in a relationship.
Kuhusu huyo muft wa jerusalem nimesema ntarisech
 
Achana na hii mistari haiwezi mshawishi mtu mwenye akili...weka logic hapa..Sasa hihi mistari nikisoma ..naona hata bila aibu mnapinga Yesu halafu bado Neno masiha mkalibeba....kwa mapana yake MASSIh...na SILIMU(JISALIMISHA) ..ni vitu tofauti na vinavyopingana sana.Kwanza hiyo mistari tuu imebeba hisia za kujaribu shwishi..huku ikikosa kujiamini....ikikosa mamlaka ya kuwa ya kweli..ndio maaka wakati masheikh wanaisoma lazima wajaribu hata sauti kuiweka km vile wanalia kwa uzini, km wanashawishi kwa hisi mtu kuikubali.Km unabisha ukiingia next time msikiti au kusikiliza mawaisha sikia jinsi maskheikh wanaoweza changanya hisia na maneno wanavyofanikiwa washawishi waislam huku wakiabana kuwa na maswali ya msingi ktk kuijua imani na kuwa waumini bora.
 
Nashukuru kwa kuzidi thibitisha....ndio maana nikakuambia Yesu alikuja kw anjia bora kuonyesha kuwa kila alichokifnaya ni possible kwa binadamu..na si kwa malaika au kwa wengine walio ktk roho. Wafarisayo wacoppy kwa nini wakati hawakuwa upande wa Yesu....?
 
Haha..kwanza umemaliza na kukubaliana na wengine kuhusu Mazazi na Nature ya Yesu kabla hujahitimisha kirahisi hivi?Km hukuweza jibu hoja za Uzazi nini..ni wazi utakuja haya mambo ya kurudiarudia forever.. Hembu niambie Babake ni nani?au hana Baba..?

Hana Baba
 


Pole sana!
 
naona sasa unaandika tuu kukamilisha siku ....ok.Malizia siku tuendeleee na thread yetu ya waliokufuru.
 
wewe utaona wanampinga as long as hawaamini kama wewe unavyoamini kwamba yesu ni mungu,wao wanaamini yesu ni mtume,wayahudi wao hawaamini hata kuwa yesu ni masiya,na bado wanamgojea masiha wao arudi kuliunganisha taifa la israel.

Haya mambo ya imani hayanaga kuforce mtu,ndo maana walokole waligundua wakaja kwa style ya miujiza ili wawapate watu.
 
sidhani km haya yanahitaji jibiwa hapa..ila hilo la sheikh wenu unalolikimbia linahitaji majibu kwani issue hapa ni ushiriki wa waislma ktk maangamizi ya wayaudi na Shauku ya wasilams iku ifikie wayahudi wauwawe hadi wkaijificha ktk jiwe jiwe liwataje..na hili ndilo Hitler alilitamani sana ..akashirikiana na huyu sheikh mkuu ili andiko la Quran litimie.Sasa naona mnalitafuta tena ndio maana mnataka sana jenga maizngira watu waseme kuwa hawakuuwawa. Kwa atamshi yako unajichanganya tena..Ulisema ni kisingizio, sasa unakubali walikuwa hembu chagua moja.
 
naona sasa unaandika tuu kukamilisha siku ....ok.Malizia siku tuendeleee na thread yetu ya waliokufuru.
we utaona hivyo lakini uzi unasomwa na maelfu ya watu na kila mtu anajudge who is talking for the sake of talking.
 
-Kipi ni kufuru zaidi...Kumwita Yesu mwana wa Mungu au kumwita hana Baba? Yesu pia hakuwa na Mtoto, la azizi

Ndio Yesu hakuwa na mtoto, lakini ana Mama. Unataka kusema nini?

Unakumbuka maswali yangu? Nasubiri majibu naona unanihamisha, nilidhani nikikujibu kuhusu Baba wa Yesu utanipatia majibu badala yake unakwepa maswali yangu unaleta ya kwako.
 
Ndo huyo huyo!!!!

Swali lingine?

Mkuu Eiyer ..Umenijibu Mungu ni Mmoja..

1.Mungu Yesu..
2.Mungu Baba
3.Mungu Roho mtakatifu

Hawa si Watatu??

Mungu Yesu alibatizwa..Nini maana ya ubatizo?

Mungu Yesu Alikuwa akimuomba nani kifo kimuepuke?
 
Last edited by a moderator:
nyosha maelezo bana,naöna kama hueleweki..

Huyo shehe wa jerusalem ngoja nikamsearch,lakini pia ujua baada ya ottoman empire,uislamu hauna tena centralized leadership kama zilivyo dini za kikristo.so huyo shehe kama kweli alideal na hitler he was on his own,hakuna chain of command tangu kuanguka kwa ottoman empire.
 
Katika maneno yote hayo umeona hapo tu?

TAFSIRI YAKE:
Kuzaa na Kuzaliwa ni sifa za viumbe.

Ametukuka: Ina maanisha yeye ni wa level nyingine, si wa kumfananisha na viumbe.


Maandiko ndani ya Quran yamesema "Ametukuka yeye na Kuwa Na Mwana"

Maana yake hapo Mungu anamiliki mtoto! Sasa Hiyo tafisiri yako tena iliyokwenda tofauti kabisa umeitoa wapi?

Ndani ya Hiyo aya kumeandikwa lugha nyepesi kabisa ya kuonesha Kua Mungu anamiliki mtoto!

Hapa Naona unajaribu kukana tu andiko lako lkn hui ndio ukweli!
 

Kama ndivyo ulivyoelewa ndio hivyo pole.

Hebu rudia tena: "Ametukuka kuwa na mwana" Naona kiswahili kinakupiga chenga, Nicholas mtafsirie mwenzio huo mstari unamaanisha nini.
 
Last edited by a moderator:
wala siwaoni vibaya kwani hapa nataka hoja..ila nimewaambia tuu wasipoteze muda na haya zisizo na mvuto km wanavyodhani,kwa vile wanasomewa na maskeikh wanaojua kulia na kutisha..wakizisoma kwa hisia za ajabu.Kwa free minded people hazina vinango.
 
Kama ndivyo ulivyoelewa ndio hivyo pole.

Hebu rudia tena: "Ametukuka kuwa na mwana" Naona kiswahili kinakupiga chenga, Nicholas mtafsirie mwenzio huo mstari unamaanisha nini.

Exalted is he above having a son

Ametukuka yeye na Kuwa na Mwana


Km ktk huo mstari haukubali Km Mungu yuko na Mwana mbona ktk huu mstari unawatenganisha "I and My Father are one"

Mbona hapo Yesu Anadai Kua Ni mmoja na babaake alafu Wewe unasema Ni vitu tofauti?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Eiyer ..Umenijibu Mungu ni Mmoja.. 1.Mungu Yesu.. 2.Mungu Baba 3.Mungu Roho mtakatifu Hawa si Watatu?? Mungu Yesu alibatizwa..Nini maana ya ubatizo? Mungu Yesu Alikuwa akimuomba nani kifo kimuepuke?
maji,mvuke, solid,na plasma,neutrons ni matter tofauti 3....?sayansi inakwenda waacha gizani sana miaka hii.
 
Last edited by a moderator:
kwa heri...naona tumefikia level tusiyoendana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…