ngoja nikurudie kuhusu huyo shehe wa jerusalem. Amin husein kama sijakosea,kumbe mtu mwenyewe alichagulia na british colonial goverment.awe muft wa jerusalem.kumbuka kipindi hicho nchi za masharikh ya kati including jerusalem zilikua under british colonial rule na huyo mufti aliwekwa hapo na waingereza.check. Pia hapa hata kama alipata kutana na hitler,lazma ujue kuwa waingereza walikua ni wakoloni hapa enemy of your enemy is your friend ina apply.hakuna la ajabu hapa,kama hitler alionekana angeweza kuwapiga waingereza unadhani kina amin wasingefurahi?. Kipindi hicho waingereza walikua wamekula mkataba na wayahudi ili warudi palestine na walikua wanazidi kuchukua maeneo,automaticaly mtu kama amini atajaribu kutafuta msaada popote.at least amin alikua mteule wa wakoloni. Ni sawa na hapa,mteule wa bakwata aliepigiwa debe na dola useme eti anawakilisha waislamu wote duniani. Lakini vatican hadi imekiri kuwa kuna mambo yalifanyika hayakutakiwa yawe. Pia mkuu shurti ujue hitler hana tofauti na bush,reagan,kagame,mseven,netanyau,obama,putin etc wote hawa ni watu ambao wana damu za watu mikononi mwao.