Watu waliomkufuru Mungu wakafariki dunia

if m not mistaken john lennon alisema yesu akirudi atashangaa mana amekuwa maarufu zaid yake
duuu!!!!! basi ni balaaa, mnatisha nyinyi, sasa na sisi tunaolumbana humu mara hakuna mungu si balaaa hi.i
 
Mungu bwana, Anampambanisha Shetani na mwanadamu a.k.a Kiumbe dhaifu ilihali anaujua uwezo wa shetani kiutendaji ni sawa na yeye tu.......
na ndiyo maana ukiwa una sali sana , hasa kama dini ya kiislam shetani anakuwa mbali na wewe , tofauti na wakristo wao wanahitaji nguvu ya yesu ,ambapo muda mwingi ni kazi na sala za kutwa mara moja au 2 majaribu yanakuwa mengi sana mwisho wake inabidi umtegemee mchungaji tu , wakati waislam ni mara 5 kutwa na usiku kuna tahajjud(sala ya usiku),
 

Shimo linalotenganisha Ukristo na Uislam ni kubwa mno kwa MTU kujaribu kufananisha uislam kama dini na Ukristo ambao ni imani , ninyi kwenu ni mungu wakati katika ukristo ni Shetani. Kujaribu
Kulinganisha ni sawa na kulinganisha nuru na Giza...
 
Shimo linalotenganisha Ukristo na Uislam ni kubwa mno kwa MTU kujaribu kufananisha uislam kama dini na Ukristo ambao ni imani , ninyi kwenu ni mungu wakati katika ukristo ni Shetani. Kujaribu
Kulinganisha ni sawa na kulinganisha nuru na Giza...
jaribu kuwa na heshima kwa imani za wenzako..mungu wako tukimwita shetani utajisikiaje?
 
Bado kingunge si muda atakufaaa,,,,,,,! Anaona wivu wa sifa za bwana,,,,,anasema hakuna NA hapendi salaam ya bwana yesu asifiwe au tumsifu yesu kristo anasahau kuwa yeye ndiye kamfinyanga yahana sura ya kwanza.....
 
Kwa upeo wa kupima na kijiko sishangai kwanini dini uliyopo hata hujui kwanini upo huko..ndio maana una sababu za kuungaunga na ulinganifu wa kuwa wapa wengine viwango vidogo ili unachoamini kihalalishwe? Shetani ana akili sana kuliko nyie.....km una dhani wakristu ndio wanafutawa na vishawishi ni wazi unasema kuwa shetani anajua wengine keshashika na kuwanunua..na hakuna anayenunua mali yake. Hakuna proof kuwa ukiswalis ana ndio kuna marrks zaidi, walio vilema na mabubu watapewa points ngapi? Halafu kusema kuwa wanategemea nguvu za Yesu halafu unasema kuwa ianabidi wamtegemee mchungaji..ni very illogical aisee ni fikra ahat mnyama hawezi fikiri hivyo......sasa km wanategemea Nguvu za Yesu...iweje wamtegemee mchungaji?Nguvu za Yesu zitakwenda wapi,au zimeisha Lini..km Jina Lake kila siku linafanya maajabu...na Wakristu wanalijua na wanalitumia kwanini tena watafute nguvu za mchungaji? Kweli mnayo shida..ila hizi habari zza kufikirika zimejaa sana ktk historia ya uislam dhini ya wengine..ktk hadithi pia wayahudi wanasingiziwa kuwatoa kafara watoto.wengine kuwa Wakrsitu wanasema Mungu alilala na maria kumpata Yesu,ndio maana wanapata sana kuelewa au kufikiri kuwa Yesu ni mwana wa Mungu bila kujisikia wamekufuru.....
 
Bado kingunge si muda atakufaaa,,,,,,,! Anaona wivu wa sifa za bwana,,,,,anasema hakuna NA hapendi salaam ya bwana yesu asifiwe au tumsifu yesu kristo anasahau kuwa yeye ndiye kamfinyanga yahana sura ya kwanza.....
Haha..nilimsikia...Hizi ndizo Laana za ujamaa..Ujama haukuwa ukipinga chochote zaidi ya Ukristu kwa mgongo wa kupinga ubeberu...Wajamaa km ni uovu waliuwa watu kuliko hata vita za kidini.Kingunge alichoshindwa tambua ni kwamba ujamaa uliingi amakataba na uislam kwa vile wote wana misingi fulani ya kutawala watu kifikra na kimaisha.Nyerere alijitahidi sana kutengeneza version ya ujamaa wa Kiafrica akaishia kufanya kazi ya magaidi duniani..akajikuta akipewa asababua za kijamaa za kupinga waliofanikiwa zikifanana sana na sababu za magaidi kuua watu hovyo duniani, na hofu ya uhuru wa binadamu na uhuru wa habari.
 


It is common sense that most of us humans are rational people who follow logic. Christians like to claim Jesus is God, so let us test this, and let us put ourselves in the time of Jesus as a believing person. We will quote passages from the NT and you decide for yourselves if you would take Jesus as God if you witnessed these events.


Let us now take a journey into the NT:

John 20: 16-18

[SUP]16 [/SUP]Jesus saith unto her, Mary. She turned herself, and saith unto him, Rabboni; which is to say, Master. [SUP]

17 [/SUP]Jesus saith unto her, Touch me not; for I am not yet ascended to my Father: but go to my brethren, and say unto them, I ascend unto my Father, and your Father; and to my God, and your God.

[SUP]18 [/SUP]Mary Magdalene came and told the disciples that she had seen the LORD, and that he had spoken these things unto her.



If someone told you they have a God, would you honestly believe that man is God?

Think logically, will you take the man as your God, or will you worship his God?

Logic tells you that you should be worshiping his God.




Mark 24: 32-36:


32 Now learn a parable of the fig tree; When his branch is yet tender, and putteth forth leaves, ye know that summer is nigh:

33 So likewise ye, when ye shall see all these things, know that it is near, even at the doors.

34 Verily I say unto you, This generation shall not pass, till all these things be fulfilled.

35 Heaven and earth shall pass away, but my words shall not pass away.

36 But of that day and hour knoweth no man, no, not the angels of heaven, but my Father only



If a man told you he does not know the last hour, would you really believe this man could be God? Think logically.


Jhn 7:16 Jesus answered them, and said, My doctrine is not mine, but his that sent me

If someone told you the doctrine he teaches you is not his, but belongs to someone else, would you believe this person is God?

Think logically. It's like God saying the Bible is not from me, but from someone else. In fact that is what Christians say!




Hebrews 5:1-8:

1 For every high priest taken from among men is ordained for men in things pertaining to God, that he may offer both gifts and sacrifices for sins:

2 Who can have compassion on the ignorant, and on them that are out of the way; for that he himself also is compassed with infirmity.

3 And by reason hereof he ought, as for the people, so also for himself, to offer for sins.

4 And no man taketh this honour unto himself, but he that is called of God, as was Aaron.

5 So also Christ glorified not himself to be made an high priest; but he that said unto him, Thou art my Son, to day have I begotten thee.

6 As he saith also in another place, Thou art a priest for ever after the order of Melchisedec.

7 Who in the days of his flesh, when he had offered up prayers and supplications with strong crying and tears unto him that was able to save him from death, and was heard in that he feared;

8 Though he were a Son, yet learned he obedience by the things which he suffered



If you saw a man crying and praying non stop in fear, would you really take this man as God? Think logically please.

Matthew 6: 5-8:

And when thou prayest, thou shalt not be as the hypocrites are: for they love to pray standing in the synagogues and in the corners of the streets, that they may be seen of men. Verily I say unto you, They have their reward.

[SUP]6 [/SUP]But thou, when thou prayest, enter into thy closet, and when thou hast shut thy door, pray to thy Father which is in secret; and thy Father which seeth in secret shall reward thee openly.

[SUP]7 [/SUP]
But when ye pray, use not vain repetitions, as the heathen do: for they think that they shall be heard for their much speaking.

[SUP]8 [/SUP]Be not ye therefore like unto them: for your Father knoweth what things ye have need of, before ye ask him.




If a man told you to pray to someone else, not himself, would you believe this man is God? Think logically. A man is telling you pray to God, and teaching you how, he is not telling you to pray to him, so would you believe this man is God?

Acts 2:22:

[SUP]22 [/SUP]Ye men of Israel, hear these words; Jesus of Nazareth, a man approved of God among you by miracles and wonders and signs, which God did by him in the midst of you, as ye yourselves also know:




If you heard this statement would you honestly believe Jesus is God?

A MAN approved of God, obviously logic tells you this man is not God.

It also says that God gave him the miracles and wonders etc. So think logically, would you still take this man as God? If you are illogical you then will. It also doesn't take a brain genius to figure this out.



Acts 3:13:

[SUP]13 [/SUP]The God of Abraham, and of Isaac, and of Jacob, the God of our fathers, hath glorified his Son Jesus; whom ye delivered up, and denied him in the presence of Pilate, when he was determined to let him go


Would you take this man as God?

Note how it starts off saying the God of Abraham, and Isaac, and of Jacob, and the God of our fathers, it then says this God has glorified his son who is Jesus. So as we can see, there is a distinction made, and that Jesus cannot possibly be the God of Abraham, Isaac, nor Jacob.

Think logically, the text makes it clear that the God of Abraham and of Isaac and of Jacob is NOT Jesus.




There is much more that could be shown. However so this is enough, now its up to you to use your brain or not.

 
jaribu kuwa na heshima kwa imani za wenzako..mungu wako tukimwita shetani utajisikiaje?

Simple

Sisi Wakristo tunamuita Yesu Mungu lakini nyie mnadai ni binadamu
Unadhani kuna dharau gani kubwa zaidi ya hiyo mnayoifanya hapa kila siku?

If you want your religion to be respected you have to respect other religion too

Tatizo lenu kuheshimu mnakutafsiri kwa namna ya ajabu sana!
 

Uvivu wa kusoma tu, historia iko wazi Allah wa Waislam ni mungu wa wapagani wa Makkah aliyekuwa akiishi ndani ya Kaaba akiwa na miungu wadogo wappatao 360 na mabinti watatu na mkewe al-alat.
Muhammad akamkarabati NCAA kubaki allah mmoja asiye mwana wala mke wala wa kufanana nae. Kama ulikuwa hujui pole.
Sio dhambi kutumia ubongo kwenye dini by.nimemsahau id yake
 
Haha...umejiumiza bure bila sababu.Huwezi reason Ukristu km hujui IDIOMS zao.....Kukusaidia tuu.....naona uangalie Bunge wanaanza na kanuni kwanza ...ambazo baadae zitaleta sense na kugaidi reasoning ,na muendendo mzima wa Bunge.........pengine utafunguka kidogo.Akili za kiislam na atheist hazitoshi ktk Christian theology..na ndio maana Judeo Christina Will Rule Forever.....hata rules za maths..zimeanzia ktk idioms...ndipo mengine yakaenda.HUjawahi jiuliza mambo mengi..ndio hujui mengi ya kutosha kusaidia hata kujua nini unaongea.
 

Sisi tunashangaa sana wakati tunaposoma Biblia, tunaona Biblia inamfedhehesha Yesu Kristo vibaya sana.

Licha ya kuwa Mtume wa Mungu sawa na Biblia, Bwana Yesu haonekani hata mtu mwenye ukoo safi, bali tunalazimika kumtafautisha Isa a.s. na Yesu.

Biblia inasema kwamba:

1. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi mwana wa Ibrahim. (Mathayo 1:1).

2. Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu. (Mathayo 1:5) Rahabu alikuwa kahaba (Yoshua 2:1).

3. Yuda alimzaa Peresi na Zera kwa Tamari (Mathayo 1:3). Tamari alikuwa kahaba na mzinifu. (Mwanzo 38:13-18).

4. Daudi alimzaa Sulemani kwa yule mke wa URIA (Mathayo 1:6). Beth Sheba mkewe URIA alipata mimba ya zinaa. (2 Samuel 11:2-5).

Hawa mabibi wote wa Yesu Kristo walikuwa makahaba na wazinifu. Lakini sisi hatukubaliani na Biblia bali tunaona kwamba ni taka taka zilizoongezwa katika Biblia.

Na kama Wakristo wanang'ang'ania usahihi wa Biblia, basi wajuwe kwamba Biblia inasema:

"Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano wa Bwana. (Kumb. la Torati 23:2).


Enyi ndugu Wakristo! Kama mnaona kwamba Biblia bado ni sahihi basi mjue kwamba Yesu ni kizazi cha wazinifu, hawezi kuingia katika mkutano wa Mungu.

Kama hawezi hata kuingia katika mkutano wa Mungu, ninyi mnamtegemea nini?

Karibuni, Muhammad s.a.w. mfano wa Musa anawakaribisheni kwa mikono miwili.

Kama mnaona kwamba Yesu Kristo ni mtakatifu lakini Biblia imechafuka kwa mikono ya waandishi, karibuni katika dini ya Kiislamu.

Qur'an kitabu cha Mungu kitawatoshelezeni.

Hakuna njia ya kusalimika isipokuwa katika dini ya Kiislam.

Kwahiyo karibuni sana.
 

Mkuu kuhusu John Lennon ni kuwa alipigwa risasi na mtu anaitwa Mark Chapman ambaye hakuwa na akili timamu. Sababu alizotoa muuaji ambaye alikuwa mpenzi wa muziki wa Lenon na ambaye alijiita Lennon ni kuwa "haiwezekani kuwa na Lennon wawili".
 
Kijana naona unajitia wazimu ambao huna...Mungu wa waislam ndo Mungu uyo uyo wa kina Ibrahim na yaakubu...Nafikiri nyinyi mna Mungu Mwengine ambae amekuamrisheni wanaume kwa wanaume Muoane.....

Q2:132
Na Ibrahim akawausia wanawe, na pia Yaaqub: Enyi wanangu! Hakika Mwenyezi Mungu amekuteulieni Dini hii; basi msife ila nanyi mmekuwa Waislamu, wanyenyekevu.
Q2:133
Je! Mlikuwapo yalipo mfikia Yaaqub mauti, akawaambia wanawe: Mtamuabudu nani baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is- hak, Mungu Mmoja tu, na sisi tunasilimu kwake

Usiwatie Ibrahim na Vizazi vyake katika ukiristo ambao hauwahusu....Endeleeni kujizonga Pekee yenu
 
Tena mbaya zaidi alimkufuru Mungu wa Ibrahim, Is aka, Yakobo na Mungu wa Israel afadhari angekuwa mungu wa waarabu-allah.

unadhani ukosahihi?? badili fikra na uwe na mawazo mapana.
 
Kijana naona unajitia wazimu ambao huna...Mungu wa waislam ndo Mungu uyo uyo wa kina Ibrahim na yaakubu...Nafikiri nyinyi mna Mungu Mwengine ambae amekuamrisheni wanaume kwa wanaume Muoane.....
Well,kuna nguvu mbili tu duniani zinazofanya kazi
1: Mungu anaeitwa NIKO AMBAE NIKO,Mungu huyu anapatikana kwenye Biblia tu na ndie Muumba wa vyote
2:mungu anaeitwa Shetani,lakini huyu ana majina mengine ambayo yanamtambulisha ili watu wajikute wanamuabudu bila kujua,fuatilia utajua mwenyewe

Mmoja kwake kuingiliana kimapenzi watu wa jinsia moja ni laana
Mwingine kwake hakuna kibaya hata kama watu wa jinsia moja wakiingiliana kimapenzi lakini huyu anajidai wakati mwingine kujibadilisha na kuiga utaratibu wa yule wa kwanza

Sasa jiulize wewe unamuabudu yupi
Nilidhani Quran ni maneno ya Allah sasa mbona naona kama Ibrahimu anapiga story na wanae akiwemo na mjukuu wake?
Au Quran sio maneno ya Allah?
Usiwatie Ibrahim na Vizazi vyake katika ukiristo ambao hauwahusu....Endeleeni kujizonga Pekee yenu
Wewe unaweza kuwa umelewa kashata na kahawa

Hata sisi wafuasi wa Mungu mwenye nguvu kuu ajulikanae kuwa muumbaji wa kila kilichopo ulimwenguni tunajua kuwa sio kila mtu akiitwa Jakaya ni rais

Kwenye kitabu chako kuna Ibrahimu hiyo haina maanahuyo ni Ibrahimu wa kwenye Biblia
Tunajua hao ni tofauti na hawana mahusiano kabisa

Usipoteze muda kutumia nguvu kuzungumza jambo ambalo hata sisi tunalijua!
 

Je, dogo aliyemkufuru Allah kwa kukojolea Quoran amekufa? Kiranga kila leo anasema hakuna Mungu! Kwa hiyo kwa mjibu wako wewe mwandishi nini kitamtokea? CC: everlenk, Pasco, Samaritan, Lady niece, faizfoxy, Eiyer, LORDVILLE
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…