Haha...umejiumiza bure bila sababu.Huwezi reason Ukristu km hujui IDIOMS zao.....Kukusaidia tuu.....naona uangalie Bunge wanaanza na kanuni kwanza ...ambazo baadae zitaleta sense na kugaidi reasoning ,na muendendo mzima wa Bunge.........pengine utafunguka kidogo.Akili za kiislam na atheist hazitoshi ktk Christian theology..na ndio maana Judeo Christina Will Rule Forever.....hata rules za maths..zimeanzia ktk idioms...ndipo mengine yakaenda.HUjawahi jiuliza mambo mengi..ndio hujui mengi ya kutosha kusaidia hata kujua nini unaongea.
Sisi tunashangaa sana wakati tunaposoma Biblia, tunaona Biblia inamfedhehesha Yesu Kristo vibaya sana.
Licha ya kuwa Mtume wa Mungu sawa na Biblia, Bwana Yesu haonekani hata mtu mwenye ukoo safi, bali tunalazimika kumtafautisha Isa a.s. na Yesu.
Biblia inasema kwamba:
1. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi mwana wa Ibrahim. (Mathayo 1:1).
2. Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu. (Mathayo 1:5) Rahabu alikuwa kahaba (Yoshua 2:1).
3. Yuda alimzaa Peresi na Zera kwa Tamari (Mathayo 1:3). Tamari alikuwa kahaba na mzinifu. (Mwanzo 38:13-18).
4. Daudi alimzaa Sulemani kwa yule mke wa URIA (Mathayo 1:6). Beth Sheba mkewe URIA alipata mimba ya zinaa. (2 Samuel 11:2-5).
Hawa mabibi wote wa Yesu Kristo walikuwa makahaba na wazinifu. Lakini sisi hatukubaliani na Biblia bali tunaona kwamba ni taka taka zilizoongezwa katika Biblia.
Na kama Wakristo wanang'ang'ania usahihi wa Biblia, basi wajuwe kwamba Biblia inasema:
"Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano wa Bwana. (Kumb. la Torati 23:2).
Enyi ndugu Wakristo! Kama mnaona kwamba Biblia bado ni sahihi basi mjue kwamba Yesu ni kizazi cha wazinifu, hawezi kuingia katika mkutano wa Mungu.
Kama hawezi hata kuingia katika mkutano wa Mungu, ninyi mnamtegemea nini?
Karibuni, Muhammad s.a.w. mfano wa Musa anawakaribisheni kwa mikono miwili.
Kama mnaona kwamba Yesu Kristo ni mtakatifu lakini Biblia imechafuka kwa mikono ya waandishi, karibuni katika dini ya Kiislamu.
Qur'an kitabu cha Mungu kitawatoshelezeni.
Hakuna njia ya kusalimika isipokuwa katika dini ya Kiislam.
Kwahiyo karibuni sana.