Watu waliomkufuru Mungu wakafariki dunia

Maswali yangu ni kati yangu mimi na huyo Mungu nnayemwamini na hayahusiani na uwepo wake. Kwamba yupo, naamini kabisa. Na nakushukuru kwa kuelezea kwa ufasaha na ufundi suala la imani linapokuja suala la Mungu.
 
Hujajibu kama mungu ni questionable au unquestionable bado.
 
Hujajibu kama mungu ni questionable au unquestionable bado.

Nimeshakwambia namwamini Mungu muumba mbingu, nchi na vitu vyote anayejidhihirisha mwenyewe kwa nguvu na uweza wake. Huyo questinable na unquestionable wa kupatikana kwa hoja sitaki kumfahamu.

Mbona kitu rahisi, maswali yangu sio kuhusu uwepo wa Mungu. Na nimeshaweka wazi ni baina yangu na huyo Mungu, sio wewe wala yeyote anayeweza kuyajibu isipokuwa yeye Mungu nnayemwamini ambaye uwezo na nguvu zake hauthiriwi na Samaritani, Kiranga au yeyote yule amesema nini kuhusu yeye.

Hili hapa jibu lako mkuu

I just simply don't believe in god created through arguments (questionable or unquestionable god)
 
If you do not believe in neither the questionable nor the unquestionable god, then you do not believe in god at all.
 
If you do not believe in neither the questionable nor the unquestionable god, then you do not believe in god at all.

Ni kweli, siamini kabisa mungu wa if....then tena simtaki. Huyo binadamu mwenye uwezo wa kutengeneza logic na argument na kumwelezea Mungu kwa ufasaha yuko wapi?
 
Ni kweli, siamini kabisa mungu wa if....then tena simtaki. Huyo binadamu mwenye uwezo wa kutengeneza logic na argument na kumwelezea Mungu kwa ufasaha yuko wapi?

Hujaelewa nilichoandika.

Sijaongelea mungu wa if..then.

Nimekuuliza is god, the one that you believe in, questionable or not?

Hujaweza kujibu hili swali.
 
Hujaelewa nilichoandika.

Sijaongelea mungu wa if..then.

Nimekuuliza is god, the one that you believe in, questionable or not?

Hujaweza kujibu hili swali.

Umeyaandika haya tukiwa tunamuongelea Mungu. Na kwa mantiki hiyo mimi ni atheist, kitu ambacho sio.

If you do not believe in neither the questionable nor the unquestionable god, then you do not believe in god at all.

Nimekujibu, tofautisha kutoweza kujibu na kupata majibu unayoyataka au kuyatarajia wewe.
Unaposema questionable god unaamnisha nini? Questionable kwenye uwezo wake, uwepo wake, utendaji wake wa kazi, ufahamu wake au kitu gani. Au unataka majibu ya yes/no?
 
Questionable kwenye chochote.

Is your god questionable or not?
 
Kwa hiyo unataka majibu ya yes/no?
Unaposema kitu chochote unamaanisha hadi uwepo wake?

Chochote namaanisha chochote, jua tofauti ya chochote na vyote. That is, the difference between anything and everything.

Chochote = anything.
Vyote = everything.

It doesn't have to be uwepo wake.

Is your god questionable at all?
 
Chochote namaanisha chochote, jua tofauti ya chochote na vyote. That is, the diffgerence between anything and everything.

Chochote = anything.
Vyote = everything.

It doesn't have to be uwepo wake.

Is your god questionable at all?

Thanks for the good lecture.

Back to your tyrannical question,

It depends.
 
Kwa hiyo unataka majibu ya yes/no?
Unaposema kitu chochote unamaanisha hadi uwepo wake?

Nitendee haki basi kwa kujibu na mimi aina ya majibu unayoyataka?

Chochote namaanisha chochote, jua tofauti ya chochote na vyote. That is, the difference between anything and everything. Chochote = anything.
Vyote = everything.

It doesn't have to be uwepo wake.

Is your god questionable at all?

Japo sijibu unavyotaka wewe lakini najibu maswali yako.
 
Nitendee haki basi kwa kujibu na mimi aina ya majibu unayoyataka?

Japo sijibu unavyotaka wewe lakini najibu maswali yako.

Unaweza kusema tu "my god is questionable" au "my god is not questionable".

I am not sure you understand the question though.
 
Unaweza kusema tu "my god is questionable" au "my god is not questionable".

I am not sure you understand the question though.

Nimeshakujibu swali lako hapo juu. Japo na wewe hujasema kwamba unataka majibu ya Yes/No tu?
 
Nimeshakujibu swali lako hapo juu. Japo na wewe hujasema kwamba unataka majibu ya Yes/No tu?

Hapo ndipo mashaka yangu kama umeelewa swali yanapozidi.

Unaweza kuona umejibu swali kumbe hujalielewa. Umejibu kitu tofauti na swali uliloulizwa.

Naomba post number, si lazima jibu liwe la Yes/No, inagwa hilo nalo, kwa swali la "is your god questionable" linaweza kutosha kabisa.
 
Sasa vitisho gani vinavokutisha na ww huamin uwepo mungu.
 
Post no 532 mkuu.
Nimekujibu kwamba inategemea, kwa sababu hadi sasa hivi Mungu nnayemwamini sio wa kdhihirika through logical/illogical arguments kama tulivyoona na wewe ukalikubali hilo.

Mungu ambaye uwezo wake haubadilishwi na Kiranga, Samaritani au yeyote yule anasema nini kuhusu Mungu. Sasa unaponiletea haya maswali ya questionable na unquestionable, na mimi napata mashaka kama umenifuatilia vizuri toka mwanzo. Kwa maana hiyo ukishaanza kuleta maswali yako kwangu ya yes/no tayari unaanza kuniaminisha kwa mungu anaetokea kwa ushindi wa mabishano ya hoja.

Kusema nna maswali mengi kuhusu Mungu, nimeweka wazi ni kati yangu na huyo Mungu kwa sababu najua hakuna narudia tena hakuna binadamu yeyote anayeweza kumwelezea Mungu wala uweza wake wote.

Hadi hapo, kama tunayemuongelea ni Mungu nnayemwamini mimi, ni vyema akajibu yeye kwamba ni questionable au unquestionable. Kwa sababu Mungu wangu ni wa kujidhihirisha mwenyewe kwa namna yake mwenyewe.
 
Thanks for the good lecture.

Back to your tyrannical question,

It depends.

Again, you did not understand the question.

Mtu akikuuliza, unakula viazi?

Kama unakula viazi vya kukaangwa tu, that is a condition, lakini jibu ni "ndiyo nakula, lakini vya kuchemsha tu".

"It depends" does not remove ukweli kwamba vya kukaanga unakula.

"It depends" is a wishy washy, fence sitting chameleonism that is only geared towrds not identifying yourself with any particular position in order to avoid hard questions and responsibility.

In short, it is irresponsibly dodgy.
 
Soma post namba 538 utajua kwa nini nilikwambia it depends kabla ya kuja na hizo tuhuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…