The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Nishatoka huko kwenye ku uphold argument kabisa. Umesema uko beyond argument, nimekubali.
Sasa sielewi kwa nini unarudi kurudia kusema uko beyond argument wakati mimi nishakukubalia kwamba uko beyond argument.
In fact ulichokisema, kwamba uko beyond argument, ndiyo perfect definition ya perfect faith.
Faith does not need arguments, it allows someone to take things as the truth without questioning.
Mpaka hapo nimekuelewa.
Tatizo linakuja unapojikanganya na kuanza kusema una maswali magumu kwa mungu kuliko mimi.
Ukishasema hutaki argument ili kumkubali mungu, maana yake mungu ni unquestionable.
Ukishasema una maswali magumu ya kumuuliza mungu, maana yake mungu ni questionable.
You are unwiqittingly taking two opposing positions at the same time and creating a contradiction.
Is your god questionable or unquestionable?
Maswali yangu ni kati yangu mimi na huyo Mungu nnayemwamini na hayahusiani na uwepo wake. Kwamba yupo, naamini kabisa. Na nakushukuru kwa kuelezea kwa ufasaha na ufundi suala la imani linapokuja suala la Mungu.