Watu waliomkufuru Mungu wakafariki dunia

Soma post namba 538 utajua kwa nini nilikwambia it depends kabla ya kuja na hizo tuhuma.

Ukisema "it depends" tu, ushakubali kwamba mungu wako ni questionable. The very idea of your worldview entertaining scenarios by which your god can be questioned renders your god questionable from your perspective.

The very idea kwamba unakula viazi vya kukaanga, hata kama huli vingine vyote vya kuchemsha na kuchoma, ishakufanya uwe unakula viazi. Unaweza ku qualify ulaji wako wa viazi kwa kusema "ndiyo, nakula viazi lakini vya kukaanga tu"

Lakini hilo haliondoi ukweli kwamba unakula viazi, kwa maana hata vya kukaanga navyo ni viazi.

Ndiyo maana nakwambia hiyo "it depends" ni malarkey.
 
Ukisema "it depends" tu, ushakubali kwamba mungu wako ni questionable.

Ndiyo maana nakwambia hiyo "it depends" ni malarkey.

Si ndio haya niliyoyasema toka mwanzo? Nimekwambia inategemea, Mungu wangu anajitetea mwenyewe na nikakwambia Mungu wangu sio wa logic zako wala za mtu yeyote, nikaongezea simtaki Mungu questionable au unquestionable ukasema eti inamaana siamini mungu yeyote.

Sasa hapo ulikubali nini na ulikataa kitu gani nilipokwambia mungu wa if...then simtaki, ukasema hujasema hivyo. Na mwisho unakuja na if.....questionable....then....malarkey. It depends yangu ilimaanisha nani anamhoji au anamuuliza nani? Kwangu, mimi kutaka Mungu ajibu maswali yangu ni sawa lakini sio binadamu mwingine kujibu maswali kuhusu Mungu kitu ambacho najua hakiwezekani. Hiyo ndio it depends yangu ilimaanisha. You totally missed the point!

Acha nihitimishe kwa kukumbusha niliyoyasema kuhusu Mungu ninayemwamini tangu mwanzo:-
1. Sio Mungu wa kutokana na arguments.
2. Uwepo wake, uweza wake na nguvu zake haiathiriwi na binadamu amesema au kuwaza nini juu yake.
3. Anajidhihirisha mwenyewe.

Sasa kama tumekubaliana hayo huko mwanzo, huyo mungu questionable hayupo na wala haingii sehemu yeyote kwenye hivyo vigezo vya Mungu wangu.
 

The question you skirted was very simple and straightforward.

Is your god questionable?

Unakuja kuhadaa watu na "it depends" wakati ushasema una maswali ya kumuuliza?

Everything "depends", so your "it depends" is, of course, a given.

But is your god questionable under any circumstance? Any circumstance at all.

The answer is either yes or no. If you have to qualify you can qualify, but that does not remove that answer.

Unapojiumauma "it depends" wakati ushapanga maswali ya kumuuliza unaonekana una intellectual dishonesty.
 

Nimemuhadaa nani? Umeielewa it depends yangu?

Kitu nnachokupa hongera ni mtu msomi na mwenye kufuatilia mambo, na huenda ukawa na uelewa mkubwa wa mambo mengi lakini, they have nothing to do kumwelezea Mungu. Mungu anajithibitisha mwenyewe. Maswali yangu nimekwambia ni yangu na juu yake, what is your problem? Najua fika hakuna mwanafalsafa,msomi, au mjuzi anayeweza kuyajibu zaidi yake. Au ulitaka nisiseme kama nna maswali juu ya Mungu? Sikutaka mambo ya argument kwa sababu najua ni kupoteza nguvu na wakati bure kwa sababu tutakua tunaongelea mungu nisiyemwamini mkuu.

Mungu muumba mbingu, na vitu vyote naamini yupo na ataendelea kuwepo, nguvu na uweza wake vitaendelea kuwepo na kujidhihirisha kadri ya uwezo na kwa namna yake.

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Je, kama kwa majadiliano haya ningeweza kuja na sentensi nzuri za kujibu questionble/unquestionable kwa kiwango cha wewe kuridhika, ingekua sababu ya wewe kukubali uwepo wa Mungu?
-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Nikutakie usiku mwema (Kama tupo kwenye nyakati zinazofanana majira)
 

Bado unakimbia kujibu swali.

Is your god questionable?

It is a rather simple yes or no type of question, qualifications notwithstanding.

Yet you are still skirting it like a lepers colony.
 
Bado unakimbia kujibu swali.

Is your god questionable?

It is a rather simple yes or no type of question, qualifications notwithstanding.

Yet you are still skirting it like a lepers colony.

Sasa kama Mungu wangu anajitetea mwenyewe, na anajidhirisha mwenyewe, na maswali yangu namuuliza mwenyewe. Huyo unayetaka nikwambie kwamba ni questionable au sio questionable namtoa wapi? Kama unamaanisha huyu Mungu nnayemwamini mimi, rahisi sana muulize kwa sababu anaweza kujibu mwenyewe.

Mimi nakuuliza wewe

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Je, kama mtu akatoa logic, argument au maelezo yoyote kuhusu Mungu kiasi cha wewe kuridhika, itakua ni sababu ya wewe kukubali uwepo wa Mungu?
-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
 

Bado hujajibu swali kama mungu wako ni questionable au si questionable.

Tofauti kati yako wewe na mimi ni kwamba mimi natafuta majibu ya maswali ya msingi, na wewe unajifurahisha unavyotaka wewe kwa imani yako tu.

Swali kama "is god questionable" ni swali la msingi kabisa lisilojali any special circumstance.

Kwa sababu mungu wenu mnamsema ni primary mover, haifai kuuliza maswali ambayo si fundamental, hivyo suala zima la "inategemea" linamfanya mungu wenu awe kama mdoli ambaye anategemea mabetri.

Nikiuliza mdoli huyu anaimba, naweza kujibiwa "inategemea kama ana betri".

Sasa mungu naye anategemea nini?

Swali lako la kwamba kama nikipewa logic kuonesha mungu yupo nitakubali ni zuri sana.

Linaonyesha uongo na kujikanganya kwamfumo wa Judeo-Christian.

Kwa msingi, kama mtu ninayeongozwa na logic natakiwa nikipewa logic ya kuonyesha kwamba mungu yupo 100% bila shaka, natakiwa nikubali.

Si nimepewa logic ninayotaka?
Lakini hapo hapo kuna kitu kinachoitwa "Catch 22".

Mungu wenu alivyoandikwa na kuwa designed, ni mungu ambaye hahakikishiki.

Kwa sababu, ukiweza kutumia logic na ku prove kwamba mungu yupo 100%, utakuwa tayari umekwishaweza kutumia logic ku prove kwamba mungu hayupo 100%

Kwa sababu kwa jinsi mlivyomsuka mungu wenu ni kwamba, hawezi kuwa contained na system yoyote ile, kwa sababu yeye ndiye muunda systems zote.

Kwa hiyo mpaka hapo utaona ni jinsi gani ujanja ujanja uliotumiwa kumsuka huyu mungu umemfanya awe katika nyanja za imani daima, hakuna mtu atakayeweza kuthibitisha kwamba mungu yupo.

Kwa sababu ukithibitisha tu kwamba mungu yupo, kuthibitisha huko kwamba mungu yupo kutakuwa kimsingi ni kuthibitisha kwamba unayemsema mungu si mungu, kwa sababu ameweza kuthibitika kwa mfumo fulani.

Matahalani, ukiweza kupiga hesabu mpaka ukafikia sehemu hesabu zikakupa uhakika wa 100% kwamba mungu yupo, huyo uliyemthibitisha atakuwa si mungu tena, kwa maana kaweza kuthibitishwa 100% na hesabu, amekuwa contained na kanuni za hesabu.

This goes in line with your argument kwamba hutaki mungu wa argument (ingawa hata ukisema hutaki mungu wa argument ushachagua kwenda na mungu wa argument kwamba mungu kapita level ya argument, kwa hiyo essentially bado unaye mungu wa argument, the argument being god transcends all arguments)

Kwa hiyo si tu unakwepa swali la "is your god questionable" bali pia tunaona unajidanganya kwamba unamtambua mungu aliye beyond arguments wakati kumtambua mungu huyo ni to make an argument that god is beyond arguments, and in making that argument, you are dragging god in the realm of non-argument argument like a passive aggressive maniac.
 
Bado hujajibu swali kama mungu wako ni questionable au si questionable.


Ulitaka nikujibu jibu gani, zaidi ya hilo nililokupa hapo juu?

Tofauti kati yako wewe na mimi ni kwamba mimi natafuta majibu ya maswali ya msingi, na wewe unajifurahisha unavyotaka wewe kwa imani yako tu.

Tofauti kati yako wewe na mimi sio tu katika maswali na majibu ya msingi, ni kubwa kuliko hiyo, wewe hauamini uwepo wa Mungu wakati mimi naamini kwamba Mungu yupo. Wakati huohuo ukiwa hauamini uwepo wa Mungu unata ka athibitishwe kwa maandishi au mahesabu, tofauti kabisa na Mungu wangu anayejithibitisha mwenyewe.


Nikuhadae wewe au yeyote kuhusu Mungu kwa kipi wakati huna na wala huwezi kuelezea chochote kuhusu Mungu.
Mungu wetu na nani? ameandikwa au kuwa designed na nani? mungu wa kuwa designed sio wangu na simwamini.
Kwanza kwa huu mlolongo woote ni kwa ajili ya nini? Tayari unarudi palepale. Nikikuuliza maelezo yoote haya unataka kuonyesha nini kuhusu Mungu? Nimeshaweka wazi toka mwanzo Uwepo wa Mungu wangu hauathiriwi na hoja zako licha ya kwamba zana uzuri kiasi gani.

Nimumunye maneno kwako for what? wakati chochote utakachosema hakina impact yeyote kuhusu Mungu. Jaribu kuelewa na kufuatilia Mungu niliyemuelezea, sitaki umuamini wala usadiki uwepo wako, hiyo ni kazi kubwa sana kwangu, sio tu siiwezi bali sio kazi yangu.

Mbona rahisi tu kuelewa kwa nini nikuulize wewe au yeyote maswali kuhusu Mungu wakati najua huna majibu? Ni yeye tu ndio anayeweza kunijibu. Lakini siwezi kushangaa kuendelea kuuliza hilo swali kwa sababu sijui uelewa wako wa huyo mungu wako wa logic usiyeamini uwepo wake lakini unataka athibitishwe kwa maadishi au mahesabu ni kitu gani, ila huyo sio ninayemwamini mimi.
 

Is your god questionable?

Yes or No?
 
Hahaha, mimi sikubali kwamba yupo kwa hiyo siwezi kumuuliza. Nakuuliza wewe unayesema yupo.

Inaoekana hata humjui, unajiridhisha kuamini kabla ya kuelewa.

Dah! hii inavutia sana, uko sahihi kama huamini kama yupo why bother? na mimi sina tatizo na wewe kutokuamini.
Acha mimi nnayemwamini niendelee nae, hii ni kwa ajili yangu mimi na yeye.

Hapo kwenye nyekundu hata sijui umetumia kanuni gani kufikia na hilo hitimisho. Haunifahamu mimi na hauamini uwepo wa Mungu umewezaje kufikia hilo hitimisho? Unafikiri unaweza kunielewesha? Hii ni zaidi ya elimu yako yote, wala hakuna mwanasayansi au mwanafilosofia yeyote anaweza kufanya hivyo.
 

Why bother? Kwa sababu kuna mtu ka shove in my face some bull.shit in this thread about "watu waliomkufuru mungu wakafariki dunia".

Kanuni niliyoitumia ni definition ya imani.

By definition ukiamini umekubali kitu kabla ya kukielewa. Na wewe kwa kusema una masali kwa mungu wako unayemkubali inaonyesha unazunguka mulemule, umemkubali kabla hujamuelewa.

Na huwezi kumuelewa kwa sababu hayupo.

Kama yupo thibitisha.

Oh, wait.

Hata ukithibitisha kwamba yupo utakuwa umethibitisha kwamba hayupo.

Kwa sababu hatakiwi kuwezekana kuthibitishika kwa mfumo wowote.

A hilariously dodgy godhead geared at milking suckers and deepening hustlers pockets
 
Muulize yeye

Mkuu nimekua nikifuatilia majadiliano yako na huyo jamaa na nimejifunza vitu
Nasema vitu kwakuwa sio kimoja ni zaidi ya hapo

Nimejikuta nikitafakari na kujiuliza kuhusu uwezo wa kufikiri wa wanaotafuta uwepo wa Mungu kwa wanadamu

Ni sawa na Kiranga aibe halafu nikamuulize Samaritan sababu ya Kiranga kuiba
Hii itakuwa ni zaidi ya kituko

Kama kuna watu wana haja ya kujua kama yupo haina haja ya kukimbizana na binadamu wanaojua na kuamini uwepo wake bali wakamuulize yeye ndipo atawajibu

Kama wanataka kujua sababu ya Shetani kuumbwa wakamuulize aliemuumba,kumuuliza ambae hata wakati anaumbwa hakuwepo ni sawa na kumuuliza kunguru sababu ya Simba kuwa na miguu minne

Na hili linaonesha tu kuwa shida ya hawa watu sio kujua uwepo wa Mungu bali wanataka watu waache kuamini na kujua kuhusu uwepo wa Mungu

Kwasababu kama mtu anasema hayupo au anajua kabisa Mungu akithibitishwa kwa mahesabu au Logic huyo anakuwa sio Mungu unajihangaisha ili nini wakati unajua kabisa haiwezekani?

Tafakari ya haya mambo ni muhimu sana!
 

Hata sijui narudia hii kwa mara ya ngapi, MUNGU WANGU ANAJITHIBITISHA MWENYEWE sio kazi yangu.
 
Kanuni niliyoitumia ni definition ya imani.
Umeitoa wapi?
By definition ukiamini umekubali kitu kabla ya kukielewa.
Sio kweli
Na wewe kwa kusema una masali kwa mungu wako unayemkubali inaonyesha unazunguka mulemule, umemkubali kabla hujamuelewa.
Hizi ni porojo kwakuwa hazina hata chembe ya ukweli
Na huwezi kumuelewa kwa sababu hayupo.
Kisichoeleweka hakipo?

Inawezekana huwezi kumuelewa kwasababu huna huo uwezo na sio kwasababu hayupo
Kama yupo thibitisha.
Kama hayupo thibitisha
Oh, wait.

Hata ukithibitisha kwamba yupo utakuwa umethibitisha kwamba hayupo.

Kwa sababu hatakiwi kuwezekana kuthibitishika kwa mfumo wowote.
Kinakukera nini kama unalijua hili?
Ni sawa na kujua kabisa kuwa huwezi kupaa angani bila kutumioa vifaa maalum halafu unaendelea kuhangaika kutaka kupaa bila vifaa maalum

Are you okey?
A hilariously dodgy godhead geared at milking suckers and deepening hustlers pockets
Really?
 
Tena mbaya zaidi alimkufuru Mungu wa Ibrahim, Is aka, Yakobo na Mungu wa Israel afadhari angekuwa mungu wa waarabu-allah.

Unaweza kutoa maoni yako bila kukashifu watu wa makundi mengine , kama kweli umesoma basi elimu yako haijakutoa ujinga
 

Tofautisha kum debunk mungu na kutafuta uwepo wa mungu kwa wanadamu.

Kama ningekuwa nataka kumtafuta mungu kwa wanadamu JF is not the place.

Rafiki yangu mmoja anakuwa ordained kuwa a Baptist minister kesho, mwingine ni Buddhist monk, so it's not like natafuta watu wa kunielewesha kuhusu mungu, more like I am.debunking a hoax upheld up in here.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…